TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Habari wadau..!
Najua humu ndani kuna greater thinkers wengi ,kama jambo tutalipitisha hapa basi bungeni watalitafakari kwa kina.
Nchi nyingi duniani zimehalalisha matumizi ya bange na wanatengeneza pesa ndefu sana .
Kwa kwetu pamba,korosho ,kahawa naona zinasuasua kwa nn basi tusipigie chapuo kilimo cha bangi kwa biashara (only export) nadhani great thinkers mmenielewa au mnaonaje?