Ushauri Kwa CCM: Tumieni wanasheria wa Chama kumsaidia Hashimu kupata haki yake mahakamani dhidi ya udhalilishaji aliofanyiwa na Gekul

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,603
Ninaiamini Serikali ya Rais Samia kwenye kulinda haki na uhuru wa watu dhidi ya vitendo vya udhalilishaji ndio maana hatua za awali zimechukuliwa na Rais Samia Kwa aliyekuwa Naibu Waziri Gekul dhidi ya tuhuma za udhalilishaji Kwa kijana Gekul.

CCM kinatakiwa kinawe mikono Kwa kumchukulia hatua Kali za kinidhamu na kimaadili Gekul na baada ya hapo CCM ishirikiane na Hashimu Kwa kumsaidia kumpatia wanasheria wa Chama wakamsaidie kupata haki yake mahakamani.
 
CCM haiwezi kumsaidia ila inaweza kimlinda huyo Mama kwani kwa CCM ni shujaa

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Wadau nawasabahi.SAKATA la MBUNGE GEKUL kuendelea kuwa Huru licha ya kutuhumiwa kuwatuma Vijana wake kumuingiza Chupa Ndugu HASHIMU sehemu ya haja kubwa bado linatushangaza Watanzania tulio wengi .Jana Mh.RAIS Ametengua UNAIBU Waziri wa GETUL kutokana na Tukio hilo kitendo ambacho kinathibitisha kuhusika kwa huyo NAIBU WAZIRI .Najiuliza JESHI la POLISI linasubiri nini kumkamata GEKUL na Kimfungulia Mashtaka? Au HALIAMINI kuwa kahusika?
Ukweli Ukimya wa JESHI la POLUSI Unatupa Mashaka Makubwa sana Wananchi.Au kwa kuwa ni KADA wa CCM?Je angekuwa Kamanda wa Chadema angekuwa huru mpaka muda huu au angekuwa Kaozea Mahabusu?Tunalitaka JESHI la POLISI Liwajibike ipasavyo juu ya JINAI ya huyo NAIBU WAZIRI.Mamlaka ya TEUZI imekwishafanya kazi yake kilichobaki ni JESHI la POLISI nalo Kumkamata na Kumfungulia MASHTAKA Kinyume chawa Wananchi tutakosa imani na JESHI la POLISI na kuamini kuwa lina MLINDA MHALIFU.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Ninaiamini Serikali ya Rais Samia kwenye kulinda haki na uhuru wa watu dhidi ya vitendo vya udhalilishaji ndio maana hatua za awali zimechukuliwa na Rais Samia Kwa aliyekuwa Naibu Waziri Gekul dhidi ya tuhuma za udhalilishaji Kwa kijana Gekul.

CCM kinatakiwa kinawe mikono Kwa kumchukulia hatua Kali za kinidhamu na kimaadili Gekul na baada ya hapo CCM ishirikiane na Hashimu Kwa kumsaidia kumpatia wanasheria wa Chama wakamsaidie kupata haki yake mahakamani.
Gekul hana makosa, sababu ni mbili. Mosi, chupa ya cocacola haiwezi kuingia shimo Hilo bila operation ya upasuaji bila ngazi ya nusukaputi. Huo ni uongo wa kwanza. Pili, Paulina Gekul ni Mkristu, alipatizwa na Padri walisoma na Dr Slaa (kabla nguvu za Shetani kumshinda na kuai). Eti anasema huyo Kijana alikuwa anamroga, uongo mkubwa. Mkristu harogwi.
 
Which CCM are you talking about?
 
Vichaa mpo wengi hata wewe
 
Back
Top Bottom