- Thread starter
- #61
<br />Kwa ishu za kubambikiana namna hii basi hata Babu Seya na kina Papii Kocha ndo hivi hivi.... hii familia inaniuma sana!!
<br />
Sisi wote tunajua kuwa alipita wrong site
<br />Kwa ishu za kubambikiana namna hii basi hata Babu Seya na kina Papii Kocha ndo hivi hivi.... hii familia inaniuma sana!!
Ndo adbahu xa kibkubwa hizo angekua constable angefukuzwa kaziMbona tuhuma za Mengi zilishajibiwa kwa vitendo siku nyingi mkuu? Walipeleleza walikuta ni kweli wakahamua kuchukua hatua za kistaarabu kwasababu wote ni vigogo. Hatua zenyewe ni hizi...........
1. Wamemhamisha yule kamanda Nzowa ambaye alikuwa mkuu wa kitengo cha unga pale airport na kumrudisha central
2. Mkumbo aliyekuwa mkuu wa upelelezi k'ndoni (ambaye anadaiwa na Mengi kwenda na Rav 4 kuchukua pesa) aliondolewa kwenye post hiyo na kurudishwa central
3......mwenye data zaidi atujuze............