Tuhuma za Mengi kwa jeshi la Polisi zilizimwaje?

We are so cowards, wanasheria, wanaharakati wa haki za binadamu, na hata Mengi mwenye kimyaaa!? Mtu akikukanyaga kidole cha mguu, usipopiga kelele atandelea kukuumiza. Watanzania tunatakiwa kujenga utamaduni wa kudai haki zetu.
 
Mbona tuhuma za Mengi zilishajibiwa kwa vitendo siku nyingi mkuu? Walipeleleza walikuta ni kweli wakahamua kuchukua hatua za kistaarabu kwasababu wote ni vigogo. Hatua zenyewe ni hizi...........
1. Wamemhamisha yule kamanda Nzowa ambaye alikuwa mkuu wa kitengo cha unga pale airport na kumrudisha central
2. Mkumbo aliyekuwa mkuu wa upelelezi k'ndoni (ambaye anadaiwa na Mengi kwenda na Rav 4 kuchukua pesa) aliondolewa kwenye post hiyo na kurudishwa central
3......mwenye data zaidi atujuze............
Ndo adbahu xa kibkubwa hizo angekua constable angefukuzwa kazi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom