infinix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 2,098
- 2,150
Ccm hoyeee!!Duh.... Mbowe ndio wanammaliza hivyo...... Sugu na mchungaji Msigwa siyo watu wa kuwaamini kabisa!
Ccm hoyeee!!Duh.... Mbowe ndio wanammaliza hivyo...... Sugu na mchungaji Msigwa siyo watu wa kuwaamini kabisa!
Safi Sana . wabunge lazima watatema nyongo
Nitashangaa kama PCCB hawatamtaka Zitto naye akatoe maelezo.Atakayebainika kudanganya kwa maslahi ya Mbowe nae ashitakiwe kwa uongo!
Wakimaliza waende na CUF ya Lipumba, CAG alisema walivuta mil 300 wakaweka kwenye account binafsi kinyume na utaratibu.
JINSI TIMU LIPUMBA ILIVYOLAMBA MIL. 300/- | Mtanzania
Safi Sana . wabunge lazima watatema nyongo
Wamesamehewa leo na mh raisKesi ya Kangi na wenzake imeishia wapi?
Mhusika ateremshe heavy ya mapato na matumiziNyongo ipi wao wanajua walikatwa fedha za mchango kama katiba invyosema lakini hawajui matumizi ya fedha hizo anaejua ni muhasibu ndio anatakiwa kukaguliwa
Hujasikia msamaha aliotangaziwa yule Mkuu wa zimamoto ujue ndio imeisha hiyoKesi ya Kangi na wenzake imeishia wapi?
Hakuna walipojinasua umemsikia yule Mkuu wao anavyoongeagaMkuu labda niulize; hawa JWTZ licha ya kumilikiwa na CCM wamewezaje kujinasua na makucha yao?
hiyo ya M10 niliisikiaga BungenNaam, wanahojiwa tu ingawa bado sijaelemewa kwanini wanahojiwa na chombo cha makosa ya rushwa wakati tuhuma ni matumizi mabaya ya fedha! Lakini pia tukumbuke kuwa kuna wakati zilitolewa tuhuma bungeni kuwa baadhi ya wabunge wetu wamepewa rushwa ya sh. 10m/= kila mmoja kipindi cha kuelekea kujadiliwa miswada ya sheria iliyokuwa na utata mkubwa. Kiti cha Spika kulizuia tuhuma hizi zisijibiwe bungeni. Baada ya muda Rais Magufuli alipokutana na vyombo vya habari kwa mara kwanza aliulizwa swali kuhusu tuhuma hizi hizi. Rais alijibu kuwa atakabidhi TAKUKURU. Hakuna mrejesho wowote uliotolewa kwa umma kuhusu tuhuma hizi nzito mno.
Bado tuu huko na Mbowe mwaka wa tano sasa !!??Atakayebainika kudanganya kwa maslahi ya Mbowe nae ashitakiwe kwa uongo!
Ni jambo jema sana. AmenSafi Sana . wabunge lazima watatema nyongo
Pole sana. Njozi huishia saa/dakika usingizi ulipokatika/isha.Duh.... Mbowe ndio wanammaliza hivyo...... Sugu na mchungaji Msigwa siyo watu wa kuwaamini kabisa!
Takukuru wanadili na rushwa na fedha za uma Sasa fedha za chadema ni zao hivyo kesi iende mahakamani Tena ifunguliwe na wanachadema sio waliohama nahisi harufu mbaya hapa vyama vingine hakuna ufisadiSafi Sana . wabunge lazima watatema nyongo
Takukuru wana akili sana bwashee wameanza na mropokaji!Pole sana. Njozi huishia saa/dakika usingizi ulipokatika/isha.
Kwani wewe hukuitwa? Kamwombe Ndugai akuunganishe ukapunguze sumu unayojitengenezea mwilini mwako.Atakayebainika kudanganya kwa maslahi ya Mbowe nae ashitakiwe kwa uongo!
Hakuna marefu yasiyo na ncha, yaisha na watang'aa kama dhahabuIla chadema kila siku wanabatizwa kwa MOTO