Kati ya Taasisi ambazo zitafanyiwa reformation kubwa au kuvunjwa kabisa na kuundwa upya baada ya CCM kutoka Mahakamani hapo October nambaWabunge wa CHADEMA leo wameanza kuwasili katika ofisi za TAKUKURU jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa. Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amekuwa wa kwanza kufika
TAKUKURU ilisema itawahoji wabunge 69 wa chama hicho kufuatia malalamiko juu ya matumizi ya fedha za makato katika mishahara
Hii imejitahidi!Kati ya Taasisi ambazo zitafanyiwa reformation kubwa au kuvunjwa kabisa na kuundwa upya baada ya CCM kutoka Mahakamani hapo October namba
1. TISS
2. Takukuru
3. Polisi
4. Magereza
Naona JWTZ ndo taasisi pekee itakayoepuka mkono huu maana ndo taasisi pekee iliyofanikiwa kujitenga na siasa uchwara za CCM
Atakayebainika kudanganya kwa maslahi ya Mbowe nae ashitakiwe kwa uongo!Wabunge wa CHADEMA leo wameanza kuwasili katika ofisi za TAKUKURU jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa. Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amekuwa wa kwanza kufika.
TAKUKURU ilisema itawahoji wabunge 69 wa chama hicho kufuatia malalamiko juu ya matumizi ya fedha za makato katika mishahara.
Wakimaliza waende na CUF ya Lipumba, CAG alisema walivuta mil 300 wakaweka kwenye account binafsi kinyume na utaratibu.
JINSI TIMU LIPUMBA ILIVYOLAMBA MIL. 300/- | Mtanzania
Naona huu ni mwezi wa saba! Bado miezi miwili utakuwa sawa!Atakayebainika kudanganya kwa maslahi ya Mbowe nae ashitakiwe kwa uongo!
Duh.... Mbowe ndio wanammaliza hivyo...... Sugu na mchungaji Msigwa siyo watu wa kuwaamini kabisa!Hii ni wakati akiingia kuhojiwa kutokana na wito wa TAKUKURU wa kuwahoji wabunge wa Chadema kwa Tuhuma za kutengezwa na mamluki za matumizi ya fedha za michango ya wabunge wa chama hicho
Huu uzi lazima utakuwa umeandikwa na Erythrocyte na si mwingine.
Mbowe ndiye mwanasiasa anayetajwa zaidi na wanaccm kuliko hata anavyotajwa Magufuli .Duh.... Mbowe ndio wanammaliza hivyo...... Sugu na mchungaji Msigwa siyo watu wa kuwaamini kabisa!
Tunasubiri utukane tena kama ulivyozoeaHuu uzi lazima utakuwa umeandikwa na Erythrocyte na si mwingine.