Tuhuma kwamba Mhe. Lowassa anatumia pesa sasa zikome

Umesema kweli mkuu mbona wanaojifanya wazalendo kama mzee six wanatumia mabasi maalumu ya kifahari huku wakitudanganya kuwa wao hawatumii fedha. Hatudanganyiki sisi ni lowasa tu kwenda mbele.

Unashangaa? Viongozi wa CCM ni watu wasio na fikra...leo watasema hiki kesho wanabadilisha mawazo. Kumbuka kauli mbiu hii..."Ari mpya, nguvu mpya, maisha bora kwa kila Mtanzania." Miaka kumi ya utawala wa Kikwete na kauli mbiu yake hii kali, imetufikisha wapi? Nafikiri jibu unalo.
 
Wananchi gani bana....hao wenye matezi...??? Mnywa gongo nahh afadhali kama ni hivyo awe yule anaevimbiwa na kuuchapa usingizi huku kgs kadhaa za udenda zikichuruzika !!
Ukiwauliza mpaka sasa Watanzania Rais ni Nani?Rais wao washa mjua anatembelea mikongojo ya gari wananchi wanamchangia mafuta...huyo ndio Rais wao...tembea kote wahsajua FISADI ni kina nani na nani Mwenzao.Makongoro njia nyuepeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
maneno kuwa lowassa anatumia pesa sasa zinaonekana ni majungu tu ya watu waliochelewa kujipanga kiraslimali kushindana naye,sababu ni hizi:

1. Watia nia wote wanatumia pesa kulipia matangazo ya mikutano yao kwenye tv na radio - tena wengine kama january makamba wameenda mbali zaidi na kutumia karibu kila njia ya mawasiliano iliyopo duniani kwa sasa kujitangaza

2. Kwamba lowassa alipeleka watu arusha kuhudhuria mkutano wake - wachongaji haohao leo wamesafirisha watu kutoka pande zote za nchi kwenda kwenye mikutano yao lindi na mlimani city dar es salaam,tena wameenda mbali zaidi kwa kuchapisha mabango makubwa ya kampeni ( bila shaka ccm wameona hili) - mabasi yao yamepambwa kwa picha kubwa zinazopamba basi zima.

3. Watu wamenunua mabasi maalum ya kifahari yenye vyumba vya kulala na ofisi - mi najiuliza haya mabasi hayauzwi wamepatiwa bure?au kwamba bei zake ni sawa na baiskeli?

Rasmi,tuhuma za matumizi ya pesa hazilipi tena wapinzani wa lowassa ongezeni ubunifu kwenye mikakati yenu mtaweza kushindana kuliko kutumia siasa za majitaka mkitumaini kumshinda lowassa - he is by far and large the pace-setter and the agenda-setter!
#
ccm mwaka huu lazim ife
 
Team Lowasa wako tayari hata kufisadi maisha ya watu ili mradi waingie Ikulu, jamaa ni wa kuogopwa kama ukoma.
 
... Ccm Hakuna Msafi Hata Mmoja, Wote Ni Mapakacha Mabovu. Suluhu Ni Ukawa Tu
 
Maneno kuwa Lowassa anatumia pesa sasa zinaonekana ni majungu tu ya watu waliochelewa kujipanga kiraslimali kushindana naye,sababu ni hizi:

1. Watia nia wote wanatumia pesa kulipia matangazo ya mikutano yao kwenye TV na Radio - tena wengine kama January Makamba wameenda mbali zaidi na kutumia karibu kila njia ya mawasiliano iliyopo duniani kwa sasa kujitangaza

2. Kwamba Lowassa alipeleka watu Arusha kuhudhuria mkutano wake - wachongaji haohao leo wamesafirisha watu kutoka pande zote za nchi kwenda kwenye mikutano yao Lindi na Mlimani City Dar es Salaam,tena wameenda mbali zaidi kwa kuchapisha mabango makubwa ya kampeni ( bila shaka CCM wameona hili) - Mabasi yao yamepambwa kwa picha kubwa zinazopamba basi zima.

3. Watu wamenunua mabasi maalum ya kifahari yenye vyumba vya kulala na ofisi - mi najiuliza haya mabasi hayauzwi wamepatiwa bure?au kwamba bei zake ni sawa na baiskeli?

Rasmi,tuhuma za matumizi ya pesa hazilipi tena wapinzani wa Lowassa ongezeni ubunifu kwenye mikakati yenu mtaweza kushindana kuliko kutumia siasa za majitaka mkitumaini kumshinda Lowassa - he is by far and large the pace-setter and the agenda-setter!

The guy is a thief.
 
Wananchi gani bana....hao wenye matezi...??? Mnywa gongo nahh afadhali kama ni hivyo awe yule anaevimbiwa na kuuchapa usingizi huku kgs kadhaa za udenda zikichuruzika !!
Ukiona matusi mengi jua hapo hakuna hoja...
 
Maneno kuwa Lowassa anatumia pesa sasa zinaonekana ni majungu tu ya watu waliochelewa kujipanga kiraslimali kushindana naye,sababu ni hizi:

1. Watia nia wote wanatumia pesa kulipia matangazo ya mikutano yao kwenye TV na Radio - tena wengine kama January Makamba wameenda mbali zaidi na kutumia karibu kila njia ya mawasiliano iliyopo duniani kwa sasa kujitangaza

2. Kwamba Lowassa alipeleka watu Arusha kuhudhuria mkutano wake - wachongaji haohao leo wamesafirisha watu kutoka pande zote za nchi kwenda kwenye mikutano yao Lindi na Mlimani City Dar es Salaam,tena wameenda mbali zaidi kwa kuchapisha mabango makubwa ya kampeni ( bila shaka CCM wameona hili) - Mabasi yao yamepambwa kwa picha kubwa zinazopamba basi zima.

3. Watu wamenunua mabasi maalum ya kifahari yenye vyumba vya kulala na ofisi - mi najiuliza haya mabasi hayauzwi wamepatiwa bure?au kwamba bei zake ni sawa na baiskeli?

Rasmi,tuhuma za matumizi ya pesa hazilipi tena wapinzani wa Lowassa ongezeni ubunifu kwenye mikakati yenu mtaweza kushindana kuliko kutumia siasa za majitaka mkitumaini kumshinda Lowassa - he is by far and large the pace-setter and the agenda-setter!

Kwa uchunguzi wangu huru nimegundua kuwa Lowassa anapigwa vita na wagombea wengi wa CCM, na muhimu wakijiita wao ni wasafi.
 
Maneno kuwa Lowassa anatumia pesa sasa zinaonekana ni majungu tu ya watu waliochelewa kujipanga kiraslimali kushindana naye,sababu ni hizi:

1. Watia nia wote wanatumia pesa kulipia matangazo ya mikutano yao kwenye TV na Radio - tena wengine kama January Makamba wameenda mbali zaidi na kutumia karibu kila njia ya mawasiliano iliyopo duniani kwa sasa kujitangaza

2. Kwamba Lowassa alipeleka watu Arusha kuhudhuria mkutano wake - wachongaji haohao leo wamesafirisha watu kutoka pande zote za nchi kwenda kwenye mikutano yao Lindi na Mlimani City Dar es Salaam,tena wameenda mbali zaidi kwa kuchapisha mabango makubwa ya kampeni ( bila shaka CCM wameona hili) - Mabasi yao yamepambwa kwa picha kubwa zinazopamba basi zima.

3. Watu wamenunua mabasi maalum ya kifahari yenye vyumba vya kulala na ofisi - mi najiuliza haya mabasi hayauzwi wamepatiwa bure?au kwamba bei zake ni sawa na baiskeli?

Rasmi,tuhuma za matumizi ya pesa hazilipi tena wapinzani wa Lowassa ongezeni ubunifu kwenye mikakati yenu mtaweza kushindana kuliko kutumia siasa za majitaka mkitumaini kumshinda Lowassa - he is by far and large the pace-setter and the agenda-setter!

Two wrongs don't make a right!

Huwezi ukamfanya Lowasa kuwa msafi kwa vile tu mabaya alofanya, yamefanywa na wengine.

Ungeandika "Wengine warudia makosa ya Lowasa"
Ningekuelewa.
 
Mtu mgonjwa asiyeweza hata kusimama kwa dk 5. Kichwani hamna kitu, mwizi pasipo shaka, unatarajia huo umati unampenda au unahongwa?
 
Matatizo yako usiyagawe kwa watz wote bro. Kama kwako maisha yamedunda kwa wenzio yamepaa. Sasa usiongee kama watz wote mmepanda meli moja.
 
mbona membe akiwa mambo ya nje kama waziri pesa za ziara ya rais zilipotea na hakuna aliyewajibika akiwamo membe
 
Kuwa shabiki wa Lowassa lazima uwe mwenda wazimu,LOWASSA ni FISADI PAPA ananuka rushwa ndio maana ni bubu wa kukemea rushwa
 
Umesema kweli mkuu mbona wanaojifanya wazalendo kama mzee six wanatumia mabasi maalumu ya kifahari huku wakitudanganya kuwa wao hawatumii fedha. Hatudanganyiki sisi ni lowasa tu kwenda mbele.

Waambie wanafikaje kupata wadhamini nchi nzima kwa muda mfupi. Gharama ni sehemu ya maandalizi na sio kila MTU anatangaza nia.
 
Back
Top Bottom