Tunazidi kuomba ccm mzidi kutuletea madhaifu yenu kusudi ukawa tumuue tembo kwa ubua
lowasa n chaguo la mungu naamin lowasa atapita bila shaka kwan ccm inatambua hilo la sivyo itaangusha na ukawa
Mimi sio Team Lowasa...lakini kampeni inahitaji pesa...
Tuache siasa mchwara...kila mtangaza nia anatumia pesa
Kuwa shabiki wa Lowassa lazima uwe mwenda wazimu,LOWASSA ni FISADI PAPA ananuka rushwa ndio maana ni bubu wa kukemea rushwa
muogope mungu...na uache uongo...hao wagombea wengine wametambulisha mpaka watu wa zanzibar..hao wameogelea?? lowasa akiwalipia nauli rafiki zake ni nongwa...Suala la kutumia pesa liko wazi,ni lazima watangania watatumia. Hoja hapa sio kutumia au kutotumia, hoja ni unatumia namnagani? Kutumia kwa kusafiri ni bayana kwa sababu utaenda kutafuta wadhamini katika mikoa isiyopunga 15. Ama utatumia usafiria wa jumuia basi, utahitaji kulipa nauli, kama utatumia usafiri binafsi utahitaji kuweka mafuta ukarabati nk. Matumizi hayo siyo yanayohojiwa, msijifanye hanazo, hoja ni pesa za kuwahonga wapitisha maamuzi ili kuwashawishi wawapigie kura ya kuwakubali. Hoja dhaifu kama ya Rais mstaafu Benjamini William Mkapa ya kubariki rushwa kwa sababu wote wametumia rushwa tofauti ni kiasi, ni kauli ya kukwepa kuwajibika. Hii ndiyo kauli iliyomruhusu Kikwete kuendelea kugombea kupeperusha bendera ya CCM 2005 licha ya kutuhumiwa na kama za siasa za mikoa kuwa alitumia kiasi kikubwa cha fedha kuwashawishi wapiga kura. Viongozi hawana wanajinadi kuwa wanawatu hawana fedha baada kuzibadilisha pesa na kuwa watu. Ni rahisi kuzibadili pesa kuwa ama nyumba ama gari ama mahindi. Siku hizi watu pia hunulika kama bidhaa hasa wajumbe wa CCM. Wapo watu ambao wanauita msimu wa uchaguzi kama msimu wa mavuno. Mtu yeyote anayejifanya haoni na wala hasikii ana matatizo ya akili
muogope mungu...na uache uongo...hao wagombea wengine wametambulisha mpaka watu wa zanzibar..hao wameogelea?? lowasa akiwalipia nauli rafiki zake ni nongwa...
k!nembe mbona unajitoa ufahamu? Jitu jizi la nin mnataka kuiba mpaka nchi? Aah manamaye.
muogope mungu...na uache uongo...hao wagombea wengine wametambulisha mpaka watu wa zanzibar..hao wameogelea?? lowasa akiwalipia nauli rafiki zake ni nongwa...
kwa hiyo kwa hao wengine waliungwa mkono ila waliowaunga mkono wakawa hawana nauli wakapewa.......kwa upande wa lowasa wewe una assume walikuwa na nauli lakini jamaa akawaoñgezea...mnyonge mnyongeni..binafsi naona hajakoseaUsilazimishe dhana ya rushwa ipewe tafsiri kulingana na matakwa yako. Watu wametoa rushwa msikitini, makansani, vikundi vya bodaboda, michezo, kwa wajumbe wa kamati za mamuzi. Utalinganishaje na mtu ambaye amemlipia nauli mtu ambaye ameonyesha nia ya kumuunga mkono isipokuwa amekosa nauli ya kufika penye mkutano. Ni nini kimeanza kushawishiwa au kumuunga mkono mgombea hadi ndipo umsafirishe? Mgombea mmoja kafanya vyote hivyo na mwingine kafanya kimoja tu na katika mzingira gani? Generalization has to be taken with great care. Usichukue kikasuku tu. Najua unaelewa tunachokieleza hapa, lakini kama Biblia takatifu inavyosema 'Rushwa hupofusha macho ya watoa haki wasiione haki ilipo'. Yawezekana hata wewe siyo ridhaa yako bali umefanywa ufikiri hivyo unavyofikiri na watu wanaoweza kuibadili akili yako ikawa akili yao. Hivyo unazungumza maneno yao siyo yako.
Mkuu hapo umekosea kwa Mustakabali wa mambo yanavyokwenda mpaka sasa ukiacha Vyama vya upinzani, umefika wakati sasa wa UWT kuchagua mtu wa kushika nafasi ya ukuu wa nchi kwani mpaka sasa wote wanaotangaza nia wanaonekana kuhatarisha Usalama wa Nchi na chama chao cha CCM kwa makundi yao.......Mtu kama Shein anaweza kupendekezwa katika dakika za mwisho na kuweka mambo sawa.....................(Mambo ya Ankula huuuuuuuuu................)EL lazima apitishwe kuokoa mpasuko ndani ya CCM.
k!nembe mbona unajitoa ufahamu? Jitu jizi la nin mnataka kuiba mpaka nchi? Aah manamaye.
View attachment 258291Maneno kuwa Lowassa anatumia pesa sasa zinaonekana ni majungu tu ya watu waliochelewa kujipanga kiraslimali kushindana naye,sababu ni hizi:
1. Watia nia wote wanatumia pesa kulipia matangazo ya mikutano yao kwenye TV na Radio - tena wengine kama January Makamba wameenda mbali zaidi na kutumia karibu kila njia ya mawasiliano iliyopo duniani kwa sasa kujitangaza
2. Kwamba Lowassa alipeleka watu Arusha kuhudhuria mkutano wake - wachongaji haohao leo wamesafirisha watu kutoka pande zote za nchi kwenda kwenye mikutano yao Lindi na Mlimani City Dar es Salaam,tena wameenda mbali zaidi kwa kuchapisha mabango makubwa ya kampeni ( bila shaka CCM wameona hili) - Mabasi yao yamepambwa kwa picha kubwa zinazopamba basi zima.
3. Watu wamenunua mabasi maalum ya kifahari yenye vyumba vya kulala na ofisi - mi najiuliza haya mabasi hayauzwi wamepatiwa bure?au kwamba bei zake ni sawa na baiskeli?
Rasmi,tuhuma za matumizi ya pesa hazilipi tena wapinzani wa Lowassa ongezeni ubunifu kwenye mikakati yenu mtaweza kushindana kuliko kutumia siasa za majitaka mkitumaini kumshinda Lowassa - he is by far and large the pace-setter and the agenda-setter!
NI JAMBO NINALOLISHANGAA SANA MF MIMI BINAFSI NILIENDA MWENYEWE ARUSHA,HAKIKA SIKUONA AU KUSHUHUDIA ATI KUNA MTANZANIA YEYOTE AMELIPIWA NAULI NOP.
TUACHE PROPAGANDA CHAFU / HAZIJENGI KAMWE.
***Vijana ni Bomu litakaloweza kulipuka wakati wowote endapo hazitatengenezwa Sera mahususi---LEGENDARY LOWASSA***
Wewe jamaa ni ----- kweli na pesa zitawaua,nachokiona mwaka huu kuna watu mtaolewa na LOWASSA.Katika akili yako ya kawaida unamtetea Lowassa kwamba hatumii pesa. Nakupa mfano hai leo watu wanaojiita walimu wamefanya maandamano yasiyo na kibali Dodoma wakiwa na mabango wakidai wanamuunga mkono fisadi Lowassa walipobanwa wakasema walipewa pesa ili wafanye hivyo.Niambie mgombea gani kafanya hivyo kama siyo Lowassa tu.Acheni unazi mtaolewa mwaka huu.