FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Haya ya pesa mimi nilishasema zamani, hayana mshiko, Tanzania ya leo ni ya kikapitalisti, tusitegemee mgombea uchaguzi kuwa atazunguka na mabasi ya abiria, ni lazima fedha zitatumika, amma za wagombe wenyewe amma za wafadhili. Viti vya ubunge tu watu wanatumia fedha nyingi sana itakuwa kgombea Urais.
Mimi nnam-disqualify Lowassa kwa afya yake tu, hakuna zaidi. Na nnam disqualify supu ya miguu ya ng'ombe kwa maadili yake tu si zaidi.
Mpaka sasa walionifurahisha ni Membe, Mwandosya, Muhongo wengine bado sijawasikiliza.