OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Lowassa anazd kuchanja mbuga
Mimi sio Team Lowasa...lakini kampeni inahitaji pesa...
Tuache siasa mchwara...kila mtangaza nia anatumia pesa
makongoro ni mganga njaa....hatuwezi kuongozwa na mleviMleta mada...hao wote wanatofautiana rushwa na fisadi mkuu ana ndege...UNGEKUWA mkweli kama katika haya mambo na Makongoro angekuwemo....Maana Mako ndio tegemeo pekee la wana CCM...
EL lazima apitishwe kuokoa mpasuko ndani ya CCM.
Atalipa vipi fedha hizi anazowalipa ili mumpe promo? Au atawwka nchi reheni
Sawa basManeno kuwa Lowassa anatumia pesa sasa zinaonekana ni majungu tu ya watu waliochelewa kujipanga kiraslimali kushindana naye,sababu ni hizi:
1. Watia nia wote wanatumia pesa kulipia matangazo ya mikutano yao kwenye TV na Radio - tena wengine kama January Makamba wameenda mbali zaidi na kutumia karibu kila njia ya mawasiliano iliyopo duniani kwa sasa kujitangaza
2. Kwamba Lowassa alipeleka watu Arusha kuhudhuria mkutano wake - wachongaji haohao leo wamesafirisha watu kutoka pande zote za nchi kwenda kwenye mikutano yao Lindi na Mlimani City Dar es Salaam,tena wameenda mbali zaidi kwa kuchapisha mabango makubwa ya kampeni ( bila shaka CCM wameona hili) - Mabasi yao yamepambwa kwa picha kubwa zinazopamba basi zima.
3. Watu wamenunua mabasi maalum ya kifahari yenye vyumba vya kulala na ofisi - mi najiuliza haya mabasi hayauzwi wamepatiwa bure?au kwamba bei zake ni sawa na baiskeli?
Rasmi,tuhuma za matumizi ya pesa hazilipi tena wapinzani wa Lowassa ongezeni ubunifu kwenye mikakati yenu mtaweza kushindana kuliko kutumia siasa za majitaka mkitumaini kumshinda Lowassa - he is by far and large the pace-setter and the agenda-setter!
Maneno kuwa Lowassa anatumia pesa sasa zinaonekana ni majungu tu ya watu waliochelewa kujipanga kiraslimali kushindana naye,sababu ni hizi:
1. Watia nia wote wanatumia pesa kulipia matangazo ya mikutano yao kwenye TV na Radio - tena wengine kama January Makamba wameenda mbali zaidi na kutumia karibu kila njia ya mawasiliano iliyopo duniani kwa sasa kujitangaza
2. Kwamba Lowassa alipeleka watu Arusha kuhudhuria mkutano wake - wachongaji haohao leo wamesafirisha watu kutoka pande zote za nchi kwenda kwenye mikutano yao Lindi na Mlimani City Dar es Salaam,tena wameenda mbali zaidi kwa kuchapisha mabango makubwa ya kampeni ( bila shaka CCM wameona hili) - Mabasi yao yamepambwa kwa picha kubwa zinazopamba basi zima.
3. Watu wamenunua mabasi maalum ya kifahari yenye vyumba vya kulala na ofisi - mi najiuliza haya mabasi hayauzwi wamepatiwa bure?au kwamba bei zake ni sawa na baiskeli?
Rasmi,tuhuma za matumizi ya pesa hazilipi tena wapinzani wa Lowassa ongezeni ubunifu kwenye mikakati yenu mtaweza kushindana kuliko kutumia siasa za majitaka mkitumaini kumshinda Lowassa - he is by far and large the pace-setter and the agenda-setter!
lowassa kaanza kumwaga pesa mda mrefu nyuma,kwenye msikiti hadi kwenye makanisa,Je! majuzi alipowaita mahariri wa magazeti Dodoma hakuwawezesha? Lowassa anatumia pesa sana kupita kiasi
tuambie nani ambaye hajatumia pesa badala ya kubwabwaja kama bomba la maji taka lililopasukaLisemwalo lipo, kama halipo laja! tuhuma za Edward kuhusu kutumiatumia vipesa katika kujijenga kisiasa zinamuandama tangu mwaka 1995! Ukiachilia mbali kauli ya Mwalimu kuhusu utajiri wa Edward miaka hiyo!! sasa wewe kutuwekea katazo tusikiseme tunachokiamini, kwanza uwezo huo huna na pili mshauri Edward azitolee ufafanuzi tuhuma hiyo pamoja Richmonduli, vinginevyo tutaendelea kumuanika mpaka watanzania nchi mzima wamuelewe kuwa Edward amefungua "Fremu ya kuuza na kununua kura"!!!
Chuki zimewajaa hadi wanajisahau kama na wao wanatumia pesa. Nimemsikiliza Membe alivyokuwa katoa mishipa kumuongelea Lowassa,hivi kuna Mtanzania anayeweza kuweka matumaini kwa mtu kama Membe😱😱
Mimi sio Team Lowasa...lakini kampeni inahitaji pesa...
Tuache siasa mchwara...kila mtangaza nia anatumia pesa
Lisemwalo lipo, kama halipo laja! tuhuma za Edward kuhusu kutumiatumia vipesa katika kujijenga kisiasa zinamuandama tangu mwaka 1995! Ukiachilia mbali kauli ya Mwalimu kuhusu utajiri wa Edward miaka hiyo!! sasa wewe kutuwekea katazo tusikiseme tunachokiamini, kwanza uwezo huo huna na pili mshauri Edward azitolee ufafanuzi tuhuma hiyo pamoja Richmonduli, vinginevyo tutaendelea kumuanika mpaka watanzania nchi mzima wamuelewe kuwa Edward amefungua "Fremu ya kuuza na kununua kura"!!!