vunjajungu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 576
- 246
basi za ratco hzo wakuu,picha zinabandikwa tu tazameni mbele
Kama kuna fremu kama hizo na wewe fungua kwaajili ya mgombea wako
Nendeni naye huyo Lowasa wenu akawe Rais wa nyumbani kwenu.
basi za ratco hzo wakuu,picha zinabandikwa tu tazameni mbele
Kumsafisha na kumpigia debe Lowassa, na wapambe wake Rostam, Chenge, Karamagi, na Tibaijuka; inahitaji ujasiri wa mwendawazimu!!!!!!
NI JAMBO NINALOLISHANGAA SANA MF MIMI BINAFSI NILIENDA MWENYEWE ARUSHA,HAKIKA SIKUONA AU KUSHUHUDIA ATI KUNA MTANZANIA YEYOTE AMELIPIWA NAULI NOP.
TUACHE PROPAGANDA CHAFU / HAZIJENGI KAMWE.
***Vijana ni Bomu litakaloweza kulipuka wakati wowote endapo hazitatengenezwa Sera mahususi---LEGENDARY LOWASSA***
Mimi sio Team Lowasa...lakini kampeni inahitaji pesa...
Tuache siasa mchwara...kila mtangaza nia anatumia pesa
Kutumia pesa ni lazima, lakini je ni kwa kiwango gani, cha kufuru? Hapo ndipo penye tatizo.
Chuki zimewajaa hadi wanajisahau kama na wao wanatumia pesa. Nimemsikiliza Membe alivyokuwa katoa mishipa kumuongelea Lowassa,hivi kuna Mtanzania anayeweza kuweka matumaini kwa mtu kama Membe😱😱
wewe unatafuta nini humu?Mimi sishangai kuona unamsafisha eddo! Wapo wengi kama wewe tena walikuwepo sio walalahoi bali wenye vyeo vyao tena wakibeba dhamana ya watanzania, wanalamba asali chafu kwa Eddo, wanabwabwaja hata kwenye vyombo muhimu vya taifa hili, sembuse wewe na hicho kidogo tu ulichopata! Hebu uliza wenzako kwanza wamevuna ngapi kwa Eddo kama hujajiona mjinga kupoteza muda wako jf juu ya Eddo?
Mimi sishangai kuona unamsafisha eddo! Wapo wengi kama wewe tena walikuwepo sio walalahoi bali wenye vyeo vyao tena wakibeba dhamana ya watanzania, wanalamba asali chafu kwa Eddo, wanabwabwaja hata kwenye vyombo muhimu vya taifa hili, sembuse wewe na hicho kidogo tu ulichopata! Hebu uliza wenzako kwanza wamevuna ngapi kwa Eddo kama hujajiona mjinga kupoteza muda wako jf juu ya Eddo?
ametoa kwa moyo kwa upendo wake na imani yake....wewe unatoa sadaka halali?Je mbona umesahau makanisa na misikiti kama mmekula hela el. jibu sahih ni kwamba lowasa ni mwizi mkubwa anaongoza wengine unaowasema wanafuata upo mpaka hapo niambie source ya hela yake
Umesema kweli mkuu mbona wanaojifanya wazalendo kama mzee six wanatumia mabasi maalumu ya kifahari huku wakitudanganya kuwa wao hawatumii fedha. Hatudanganyiki sisi ni lowasa tu kwenda mbele.
Wanaomsifia na wanaomponda wote wanafanana katika suala la kupoteza muda, ila chuki si nzuri hata kidogo