Tuhuma kwamba Mhe. Lowassa anatumia pesa sasa zikome

Halafu huyu six anatufanya sisi mafala sana. Amedai eti mtot wake ndo alibuni kwa kuchukua fenicha za nyumbani na kuzipachika katika basi !! Yaani kweli unajiunganishia mninga ktk basi tena kwa barabara zenyewe hizi..??
viti vya ngozi vya kinyamwezi na makaniki yao!!!! katufanya wajinga
 
ni yupi mpaka sasa kati ya watia nia wa ccm ambaye amefika hata robo ya hela za lowasa ( ambaye tetesi zinadokeza kwamba kishatumia bil 10 hadi muda huu )

Kwanza achana na tetesi mnazotengeneza wenyewe kwenye kambi zenu, pili matumizi ya hela ni yale yale aliyetumia 1000 na aliyetumia 300 wote wametumia hela,hakuna cha afadhari flani wote ni wale wale,lazima muuwane huko Lumumba
 
ni yupi mpaka sasa kati ya watia nia wa ccm ambaye amefika hata robo ya hela za lowasa ( ambaye tetesi zinadokeza kwamba kishatumia bil 10 hadi muda huu )
We syo erythrosyte tu bali ni konokono.hizo bilion 10 unazosema we ulipata ngapi.akili makapi
 
Maneno kuwa Lowassa anatumia pesa sasa zinaonekana ni majungu tu ya watu waliochelewa kujipanga kiraslimali kushindana naye,sababu ni hizi:

1. Watia nia wote wanatumia pesa kulipia matangazo ya mikutano yao kwenye TV na Radio - tena wengine kama January Makamba wameenda mbali zaidi na kutumia karibu kila njia ya mawasiliano iliyopo duniani kwa sasa kujitangaza

2. Kwamba Lowassa alipeleka watu Arusha kuhudhuria mkutano wake - wachongaji haohao leo wamesafirisha watu kutoka pande zote za nchi kwenda kwenye mikutano yao Lindi na Mlimani City Dar es Salaam,tena wameenda mbali zaidi kwa kuchapisha mabango makubwa ya kampeni ( bila shaka CCM wameona hili) - Mabasi yao yamepambwa kwa picha kubwa zinazopamba basi zima.

3. Watu wamenunua mabasi maalum ya kifahari yenye vyumba vya kulala na ofisi - mi najiuliza haya mabasi hayauzwi wamepatiwa bure?au kwamba bei zake ni sawa na baiskeli?

Rasmi,tuhuma za matumizi ya pesa hazilipi tena wapinzani wa Lowassa ongezeni ubunifu kwenye mikakati yenu mtaweza kushindana kuliko kutumia siasa za majitaka mkitumaini kumshinda Lowassa - he is by far and large the pace-setter and the agenda-setter!

lowasa hili la hela litamsumbua sana huwezi kuliondoa vichwani mwa watanzania kwa post yako hii uchwara
 
Ukiwauliza mpaka sasa Watanzania Rais ni Nani?Rais wao washa mjua anatembelea mikongojo ya gari wananchi wanamchangia mafuta...huyo ndio Rais wao...tembea kote wahsajua FISADI ni kina nani na nani Mwenzao.Makongoro njia nyuepeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Umesema kweli mkuu mbona wanaojifanya wazalendo kama mzee six wanatumia mabasi maalumu ya kifahari huku wakitudanganya kuwa wao hawatumii fedha. Hatudanganyiki sisi ni lowasa tu kwenda mbele.
Jamani sasa mlitaka watembee kwa miguu kuthibitisha umaskini wao
 
Mamvi kanunuliwa wazalendo wenzagu,tutakuwa hatuna chetu, kama kweli mtu anavalisha bodaboda nguo za wachungaji wa kiprotestant wampe hi.kazi kweli. Usalama wa Taifa utatusaidia tudipokua na akili. Tutauzwa.
 
Maneno kuwa Lowassa anatumia pesa sasa zinaonekana ni majungu tu ya watu waliochelewa kujipanga kiraslimali kushindana naye,sababu ni hizi:

1. Watia nia wote wanatumia pesa kulipia matangazo ya mikutano yao kwenye TV na Radio - tena wengine kama January Makamba wameenda mbali zaidi na kutumia karibu kila njia ya mawasiliano iliyopo duniani kwa sasa kujitangaza

2. Kwamba Lowassa alipeleka watu Arusha kuhudhuria mkutano wake - wachongaji haohao leo wamesafirisha watu kutoka pande zote za nchi kwenda kwenye mikutano yao Lindi na Mlimani City Dar es Salaam,tena wameenda mbali zaidi kwa kuchapisha mabango makubwa ya kampeni ( bila shaka CCM wameona hili) - Mabasi yao yamepambwa kwa picha kubwa zinazopamba basi zima.

3. Watu wamenunua mabasi maalum ya kifahari yenye vyumba vya kulala na ofisi - mi najiuliza haya mabasi hayauzwi wamepatiwa bure?au kwamba bei zake ni sawa na baiskeli?

Rasmi,tuhuma za matumizi ya pesa hazilipi tena wapinzani wa Lowassa ongezeni ubunifu kwenye mikakati yenu mtaweza kushindana kuliko kutumia siasa za majitaka mkitumaini kumshinda Lowassa - he is by far and large the pace-setter and the agenda-setter!

kwahiyo umeamua kulinganisha gharama alizotumia EL toka kwenye michango yote,kwa muda wote unalinganisha na membe,sita au january siku ya kutangaza nia?au umekuja kutupima akili zetu?
 
Lowasas' wish is to become a 5th president of Tz. I wish Nape could come out with his views!
 
Pesa walizopora zinaonekana kama hukupora usithubutu kutangaza nia maana hali ya UFISADI **WIZI **WA MALI YA UMA mtawaona mmoja baada ya mwingine labda japo viwango vinaweza kutofautiana japo wengine eti wao hata nia hawakutangaza walichukua fomu kimyakimya lakini wakasau wanahabari wakatutangazia kwanini hawakuwakatazi ili iwe kweli kimya au ndio hawataki tujue wakichonacho hiindio Nananga rafiki
 
Bwana ki mun acha utoto yeye mwenyewe kakili tena kasema ni za marafiki zake na atazirudisha akiwa ikulu halafu wewe kama nani
 
Back
Top Bottom