Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,418
- 23,467
- Thread starter
- #61
Kabisa na atapatikana tuHapa Kuna mtu anatafutwa.
Kabisa na atapatikana tuHapa Kuna mtu anatafutwa.
Huu si mtaji?Nimesikia pale kwa BMH huko Dodoma ni pesa yako tu. Kama una tatizo hilo nenda kawaone wataalamu wabobezi wa hiyo mitambo. Gharama yake ni takriban shilingi milioni sita tu za Kitanzania.
Aiseee nitafutie maana si kwa manyanyaso haya.mara kiba100 mara kidole cha mwishoKuna kitabu, ngoja nikitafute nikikipata nikutumie kina maelekezo ya kuongeza 2 inches hopefully kitakusaidia kama uko seriously.