Na atapatikana soonHapa Kuna mtu anatafutwa.
Tafuta hela, narudia tafuta hela, Case ClosedJaman naombeni nisaidie ni mazoezi gani ya kunenepesha uume!?
Kuna kitabu, ngoja nikitafute nikikipata nikutumie kina maelekezo ya kuongeza 2 inches hopefully kitakusaidia kama uko seriously.
Weka video kwa faida ya members... Hahaha
Wanogewe na utramm subutuuu😁😁😁Weka video kwa faida ya members... Hahaha
Kizuri kula na nduguzo...Wanogewe na utramm subutuuu😁😁😁
Sio kwa yule msengge😁😁😁😁😁! Ule ufundi alooooooooooo🙌🙌🙌🤗🤗🤗Kizuri kula na nduguzo...
Kuna mambo yanafurahisha sana...Sio kwa yule msengge😁😁😁😁😁! Ule ufundi alooooooooooo🙌🙌🙌🤗🤗🤗
Mnooooooo yaniKuna mambo yanafurahisha sana...
Wewe ni ke ??? 😅
HIvi nyie mnaohangaika kuongeza vitendea kazi kwani mnamiliki inchi ngapi kiasi cha kuhangaika hivyo? Je mnahisi mungu alikosea kuwaumba hivyo mlivyo? Tuacheni wenye gobole tule mema ya nchi, nyie pambaneni na hali zenuJamani haya matangazo yamekuwa mengi sana kwenye mitandao. Dawa za kuongeza urefu na unene mpini. Kama huelewi kwa kiswahili tashdidu tunaita uume.
1. Je ni kweli zinafanya kazi?
2. Mabadiliko yanabaki permanent?
3. Nini side effects zake/madhara yake?
4. Hiyo nyama inayoongezea inatokea wapi?
5. Nguvu za kiume haziathiriki?
Je, ni wanawake wote wanapenda mpini mkubwa? Nmejiuliza haya maswali sababu naona kama eneo hilo serikali imelifumbia macho na matangazo yamekuwa mengi sana. Tupeane uzoefu jamani watu wasije wakaharibikiwa miaka ijayo.
Nimesikia pale kwa BMH huko Dodoma ni pesa yako tu. Kama una tatizo hilo nenda kawaone wataalamu wabobezi wa hiyo mitambo. Gharama yake ni takriban shilingi milioni sita tu za Kitanzania.Tatizo kubwa sasa hivi la nguvu za kiume ni diabetes 2 ama kisukari, msongo wa mawazo na punyeto iliyopitiliza.
Ukila vizuri tu kujiepusha na sukari na vyakula vya mafuta mafuta unaweza kutunza sana nguvu zako za kiume.
Mfano viagra inaweza isifanye kazi kabisa ukiimeza kama umeshatoka kula. Viagra inafanya kazi kwa ufanisi sana kama una njaa (empty stomach) kwa wale wenye shida ya nguvu ya kiume.
Kuna hili dude linaitwa penis pump. Linasaidia kudindisha mjolobe kwa wale wenyewe shida ya nguvu ya kiume. Ukisha pump gegedo linasimana nusu saa.View attachment 1824392
Pia kuna njia nyingine ya opereshen ama surgery. Wanasimika bomba kwenye mishipa ya poumbu na gegedo. Ukifanyiwa hii opereshen utadindisha hadi utakapokufa. Wataalamu hawashauri ufanye hii
Eendiwoooo ndiwooo!😶Wewe ni ke ??? 😅