Mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) unazidi kuwa mbaya baada ya kufikia visa 5,515 na vifo 2,642, huku visa vipya 51 vikibainishwa Ituri na Kivu Kaskazini.
Janga hilo la 17 nchini humo ndilo baya zaidi katika historia ya DRC, na WHO limelitangaza kuwa dharura ya kimataifa inayohusisha pia Uganda. Kutokana na kasi yake inayotishia kupita mlipuko wa Afrika Magharibi wa 2014–2016, Papa Leo ametoa wito wa hatua za haraka za kimataifa.
Soma pia: Mlipuko wa Ebola DRC: Idadi ya Waathirika Yazidi Kuongezeka Mashariki mwa Nchi
Kiwango cha vifo kimepanda kutoka asilimia 20 mwezi Juni hadi karibu asilimia 48 hivi sasa, ikimaanisha karibu nusu ya walioambukizwa wanafariki. Hata hivyo, ufuatiliaji wa watu waliokutana na waathirika umeimarika kwa kiasi kikubwa na kuzidi asilimia 85 kutoka asilimia 30 ya mwanzo.
Ugonjwa huu pia umeua wafanyakazi wa afya 45 kati ya 160 walioambukizwa. Wakati huo huo, juhudi za udhibiti zinaendelea kutatizwa na migogoro ya silaha, uhamaji wa watu, ukosefu wa miundombinu, na mashambulizi dhidi ya vituo vya afya.
==========
The Ebola outbreak in the Democratic Republic of the Congo (DRC) has reached 5,515 confirmed cases of infection and killed 2,642 people, with 51 new cases detected in Ituri and North Kivu provinces, according to the latest government figures.
The update on Sunday came as Pope Leo called for international action to help contain the epidemic, which is now the deadliest Ebola outbreak in the DRC’s history.
Declared in mid-May, it is the DRC’s 17th Ebola epidemic and was designated a Public Health Emergency of International Concern by the World Health Organization (WHO), its highest alert level, also covering neighbouring Uganda.
The outbreak is now on track to surpass the deadliest Ebola epidemic on record, which was the 2014–2016 outbreak in West Africa that killed more than 11,000 people.
According to government figures, the case fatality rate in the DRC has climbed from about 20 percent in early June to nearly 48 percent now, meaning almost one in two people infected are dying.
Contact tracing, however, has improved sharply, from 30 percent in June to more than 85 percent.
The disease has also proved deadly for those fighting it. About 160 health workers have been infected, and about 45 have died, according to the WHO.
Efforts to contain the outbreak, however, have been hampered by armed conflict in the affected provinces, displacement, attacks on medical personnel and facilities, a mobile working population and a lack of critical infrastructure.
Source: Al jazeera