Congo imethibitisha visa 9,144 vya ugonjwa wa Ebola

Congo imethibitisha visa 9,144 vya ugonjwa wa Ebola

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
956
Reaction score
1,977
Mamlaka za afya nchini DRC zimeripoti visa 9,144 vilivyothibitishwa vya Ebola pamoja na vifo 4,410 tangu kuanza kwa mlipuko huo mwezi Mei. Kituo cha udhibiti wa magonjwa Africa CDC kimeuelezea mlipuko huo kuwa wa kasi zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya ugonjwa huo barani Afrika.

Wataalamu wa afya wanaendelea kuonya kuhusu hatari ya maambukizi mapya huku juhudi za kudhibiti ugonjwa huo zikiendelea.

Wakati huo huo pia chama cha wahudumu wa afya nchini Kongo kimeitisha mgomo wa nchi nzima, katikati mwa mlipuko mkubwa wa Ebola katika eneo la mashariki.
==================
KINSHASA, Oct. 14 (Xinhua) -- Ebola outbreak in the Democratic Republic of the Congo (DRC) shows early signs of slowing, but new hotspots are complicating response efforts, authorities said Wednesday.

"For the past two weeks, we have seen the curve starting to decline," said Jean Kaseya, director-general of the Africa Centers for Disease Control and Prevention (Africa CDC), at a press briefing in Kinshasa.

The outbreak's epicenter was gradually shifting from Ituri Province, where the epidemic is believed to have first emerged in the country's east, toward neighboring North Kivu Province, Kaseya noted.
Despite the encouraging trend, Kaseya stressed that significant gaps remain in disease surveillance and contact tracing, hampering efforts to break chains of transmission.
International pledges to support the Ebola response have reached 3.045 billion U.S. dollars, up from 1.656 billion dollars in June, figures presented by Kaseya showed. However, only 962.66 million dollars, or 31.6 percent of the total pledged, has been disbursed.

Kaseya also called for greater transparency in the use of the funds.
Declared on May 15, the outbreak, caused by the Bundibugyo ebolavirus, is the deadliest ever recorded in the DRC and the second-largest Ebola outbreak worldwide, after the epidemic that struck West Africa between 2014 and 2016.
According to the latest epidemiological report released Wednesday by Congolese health authorities, the DRC had recorded 9,144 confirmed cases, including 4,410 deaths, as of Oct. 12, representing a case fatality rate of 48.2 percent.
Chanzo:Xinhua
 
Back
Top Bottom