Tuchezeni upatu wa vifaa vya ujenzi

Tuchezeni upatu wa vifaa vya ujenzi

Habar za asubuh wakuu...kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu nimeona sio mbaya nikiwasilisha wazo hili kwenu.. Kama kunawatu wako interesting na hili basi tujiorganise then tucheze mchezo wa vifaa vya ujenzi...tunakubaliana tufahamiane vizur alafu tuanzishe huu mchezo. Nadhan utatuokoa. Kama kuna walio tayar watupie namba ili tufungue group kwa whatsap ili kufahamiana zaid. Kuepusha matapeli..

Note : kufahamiana huko ni pamoja na kufahamu makaz ya kila Mmoja wetu au kitu chochote cha kujiridhisha..I hope tutapeana mawazo zaidi ni namna gani tufahamiane
Wazo zuri sana mkuu ila mimi kila nikimkumbuka MAMA ABDUL wa igizo liloitwa Mambo hayo sitamani kabisa huu mchezo wa upatu.
 
Hahahaha....inategemea na huyo anaeendesha huo mchezo anatumia kanuni zipi...pia decision is urs kucheza au kuacha...
 
Habar za asubuh wakuu...kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu nimeona sio mbaya nikiwasilisha wazo hili kwenu.. Kama kunawatu wako interesting na hili basi tujiorganise then tucheze mchezo wa vifaa vya ujenzi...tunakubaliana tufahamiane vizur alafu tuanzishe huu mchezo. Nadhan utatuokoa. Kama kuna walio tayar watupie namba ili tufungue group kwa whatsap ili kufahamiana zaid. Kuepusha matapeli..

Note : kufahamiana huko ni pamoja na kufahamu makaz ya kila Mmoja wetu au kitu chochote cha kujiridhisha..I hope tutapeana mawazo zaidi ni namna gani tufahamiane
Toa mfano upatu huo veeepee
 
Kwa maelezo zaid njoo pm au ni SMS namba hapo juu kwa maelezo zaidi...wengi wamenufaika kweli kwa njia hii ya ujenzi
 
Mimi naona kama bora mngeanza kwanza kununuliana viwanja katika mzunguko wa kwanza halafu mkishahakiki kuwa kila mmoja wenu Ana kiwanja mnaingia awamu ya pili kununuliana vifaa vya ujenz mpaka nyumba ikamilike
Ni mtazamo wangu tu maana mkisema mnunuliane vifaa vya ujenz wakat wengine hawana hata kiwanja mtashindwa kuyafikia malengo
 
Asante sana nimependa mno ushaur wako...tukibase kwa vifaa tu tutakuwa wabinafsi...
 
Karibuni sana wote mliojiunga ktk harakat hz za maendeleo...ni Tumain langu tutafk mbali sana
 
Wazo ni zuri ila linataka watu mnaojuana zaidi, mfano mnafanya kazi sehemu moja au mnaishi jirani or otherwise maana kwa hali ilivyo sasa utapeli mwingi watu wana identity feki kibao nani alijua kama kuna watanzania 9000s vyeti vyao havieleweki!!? Hii mambo ya kichangaiana na watu usio wajua vzr mliokutana kimjini mjini usishangae akishapokea mambo yakimuwia vigumu kuchangia mwenzie mkimtafuta alikopanga mtajibiwa "Alishahama" au mkimtafuta anapofanyia kazi mkaambiwa "ametumbuliwa, ana vyeti feki n.k"
Ushauri wangu mchezo mcheze watu mnafahamiana na zaidi ya yote muwe makini sana, Binadamu ni kinyonga ana rangi nyingi mno.
 
Asante sana kwa ushaur mzur...mm ninaujuz na mambo ya kumjua mtu..in and out...nakuhakikishia nitawajua wote kwanza alafu mambo mengine yatafuata...najua sana kuna watu watajarb kufanya uhuni uo..lkn ntawajua tu
 
Back
Top Bottom