Natafuta dada wa kuuza duka la Vifaa vya ujenzi ajue computer (Word , Excel)

Edem Construction

New Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
4
Reaction score
3
AJIRA😀ada wa kuuza duka la Vifaa vya ujenzi ajue computer ( word , Excel)

Nafasi (1): Dada wa kuuza duka

Sifa:

- Awe anaishi sinza , mwenge , kijitonyama , ubungo , magomeni , manzese tu
- Awe yuko tayari kupumzika jumamosi tu kwa wiki.
-Umri : miaka 18 - 25
- Awe na uwezo wa kutumia kumputa kwa ufasaha i.e Ms word , Excel (lazima)
- Awe na uwezo wa kutumia INTERNET and e-mail kwa ufasaha.(lazima)
- Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea. (lazima)
-Anae zingatia na kuvaa mafadhi ya heshima.
-Mwenye uzoefu na bishara ya bidhaa za ujenzi ( si lazima)
- Anae fundishika
- Mchangamfu
- Mwenye uwezo wa kujieleza kwa kiingeraza na kiswahili kwa ufasaha.
- Mwenye mtandao wa mafundi , wakandalasi ( muhimu lakini si lazima)
- Awe na muonekana mzuri
-Anaezingatia kazi yake muda wote wa kazi

Kazi za kufanya :

- kuuza bidhaa za ujenzi za Edem
- kutumia mitandao ya kijamii kutangaza bidhaa za ujenzi za Edem i.e Facebook , Instagram , WhatsApp n.k
-Kuwasiliana na wateja wa Edem ili kutafuta oda mpya.
-kutuma bidhaa ndani na nje ya dar es salaam.
-Kufanya manunuzi ya bidhaa za Edem kwa wauzaji wengine.
- kuandaa report za mauzo , matumizi na manunuzi ya kila siku kwa njia ya kumputa.
-kuanda report ya mauzo , matumizi na manunuzi kila mwisho wa mwezi.
-kutuma Z-report TRA kila siku jioni mwishoni wa masaa ya kazi
- kufanya uhakiki wa mali/bidhaa za kampuni kila mwisho wa mwezi i.e kuhesabu bidhaa za Edem kila mwisho wa mwezi
- Kujaza stock card kila unapo fanya mauzo ili kuonyesha idadi ya bidhaa zilizo baki na zilizouzwa.
- Kuandaa Proforma invoice na kumpatia mteja nakala ngumu au kwa njia ya mitandao i.e Email au Whatsapp
- Kuandaa na kutoa EFD receipt , Tax Invoice na Delivery note kwa mteja kwa kutumia kumputa na kutoa nakala ngumu.
- Kuhifandi mawasiliano ( jina , namba , e-mail), aina ya bidhaa iliyo nunuliwa ya wateja wapya kila siku.
-kuwakumbusha wateja oda zao ili kukamilisha mauzo.
- kukalibisha wateja
-kufanya usafi wa ofisi
- kutunza kumbukimbu zote za ofisi kwa ufasaha.
- kujifunza bidhaa za Edem
- kutunza ofisi na mali zake

SIKU ZA KAZI:

Jumatatu - Ijumaa : saa 2:00 asubuhi - 12:00 jioni

Jumapili : saa 4:00 asubuhi - 10:00 jioni

Jumamosi : Mapumziko

MSHAHARA : 200,000 kwa mwezi

Jinsi ya kutuma maombi:

1.Barua ya maombi ya kazi kwa kiswahili au kiingeraza
2.Wasifu wako i.e yenye wazamini 3
3.cheti cha kidato cha nne
4.Nakala ya cheti cha kuzaliwa

Tuma kwa

Mkurugenzi
Edem Construction Material
S.L.P 32132
Sinza makaburini
Kinondoni , Dar es salaam
Tanzania.

kwa

1. E-mail :

edemconstructionmaterial@gmail.com

2.Whatsap : 0767 919 520

Maombi ya mkono hayata pokelewa

Mwisho wa kupokea maombi: Tarehe 14/04/2019 saa 12:00 jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au unatafuta mke!?

Yani mtu moja wa form 4 tena msichana mdogo afanye kazi za na naGraduate 4 arafu amlipe 200, 000 kwa mwezi kweli biashara imekua ngumu....Jpm hapana

Wengine vigezo wanavyo lakini shida c wadada.
Hapo unawasidiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kutoa ajira
Kwann lazima awe mdada
 
Mshahara hauendani na majukumu. Ratiba ya kazi inaonyesha mmiliki ni msabato, sasa sijui haoni kama ni dhambi kumlipa mtu laki 2 kwa shughuli zote hizo. Inaonekana akina dada ni cheap laborers ndio maana amewatarget wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwandiko wa kisabato afu sasa ni ngumu kumpata mchapa kazi mwenye sifa zote, ebu fanya kazi boss mbona dangote hakuwa hivi, wapo vijana wengi mtaani wenye nguvu, wewe unasema kuwa utampa laki 2 mbona pesa kubwa kwa biashara ya ujenzi yenye faida ndogo cement bag moja 1000 kwa vifaa bado TRA huyo lazima ni mke unamsaka muraa
 
Yaani hayo majukumu ni Kama ya branch manager kabisa ambayo ilitakiwa mshahara iwe si chini ya 1.5m.
Ila kwa sababu biashara yako pengine si kubwa sana Basi inabidi angalau iwe laki 6 ndio itaendana na hayo majukumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom