Tuchezeni upatu wa vifaa vya ujenzi

Tuchezeni upatu wa vifaa vya ujenzi

Mimi naona kama bora mngeanza kwanza kununuliana viwanja katika mzunguko wa kwanza halafu mkishahakiki kuwa kila mmoja wenu Ana kiwanja mnaingia awamu ya pili kununuliana vifaa vya ujenz mpaka nyumba ikamilike
Ni mtazamo wangu tu maana mkisema mnunuliane vifaa vya ujenz wakat wengine hawana hata kiwanja mtashindwa kuyafikia malengo
Wanaojiunga wawe na viwanja na tutasimamia kuhakkisha unajenga HATUNA MCHEZO KTK HILI
 
ni wazo zuri ila sasa kuna wengine wamepanga nyumba na wanakuwa na mkataba wa kukodi nyumba hizo je endapo mtakuwa mnatembeleana na kujuana mnapoishi halafu itokee siku huyo mtu akawa amehama mahali hapo mtafanyaje au mtachukua hatua gani
 
Lzm tutaitaji mdhamin mwenye makaz ya kudumu...hatuwez endrsha kienyeji kias hcho
 
Habar za asubuh wakuu...kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu nimeona sio mbaya nikiwasilisha wazo hili kwenu.. Kama kunawatu wako interesting na hili basi tujiorganise then tucheze mchezo wa vifaa vya ujenzi...tunakubaliana tufahamiane vizur alafu tuanzishe huu mchezo. Nadhan utatuokoa. Kama kuna walio tayar watupie namba ili tufungue group kwa whatsap ili kufahamiana zaid. Kuepusha matapeli..

Note : kufahamiana huko ni pamoja na kufahamu makaz ya kila Mmoja wetu au kitu chochote cha kujiridhisha..I hope tutapeana mawazo zaidi ni namna gani tufahamiane
Habar zenu wadau wa maendeleo...group imeanzishwa na inaendelea vizur..japo tulipata changamoto za matapeli tulikabiliana nazo. Tunazid kuwakaribisha zaidi na zaidi...ili kufanikisha ndoto zetu...nitumie namba ili niku add ili upate muongozo wa vikao na mengineyo mengi...

Karibuni sana
 
Mimi naona kama bora mngeanza kwanza kununuliana viwanja katika mzunguko wa kwanza halafu mkishahakiki kuwa kila mmoja wenu Ana kiwanja mnaingia awamu ya pili kununuliana vifaa vya ujenz mpaka nyumba ikamilike
Ni mtazamo wangu tu maana mkisema mnunuliane vifaa vya ujenz wakat wengine hawana hata kiwanja mtashindwa kuyafikia malengo
Tena hati zote asikabidhiwe mpka amalize kulipa,

Swal je atapewa kulingana na nyumba yake au kutokana na michango iliyokusudiwa?

Swali je kila mtu ana aina ya nyumba anayotaka au kupenda je tutagawanyikaje au kipi kitafanyika kuweka ulinganifu kwa wote?

Labda ungesema kama ni kiwanja watu hawana ananhnuliwa kiwanja kulingana na hela zichangwazo,,kama ni milion 5 ananunuliwa then anaanza kurejesha kwa wanachama wengine kwa uwiano sawa,,kuwe na limit ya gharama maana kiwanja chanika sio sawa na kinyerez..

Wazo zur ila linahitaji hesab sahihi na watu sahihi kwa wakat sahihi na sababu makin kuweka uwiano sawa...
 
Nimependa sana ushaur wako...upo makini sana..na unajua kuchanganua mambo...naomba uwe Mmoja wetu
 
Hatujapanga bado Nani awe wa kwanza Nani wa mwisho ..mm hata nikiwa wa mwisho sina shida ..na kama unania hyo ni tumie namba yako niku add kwa group
Ili kuondoa usumbufu ikusanywe yote afu mgao uwe siku moja kwa watu wote
Habar za asubuh wakuu...kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu nimeona sio mbaya nikiwasilisha wazo hili kwenu.. Kama kunawatu wako interesting na hili basi tujiorganise then tucheze mchezo wa vifaa vya ujenzi...tunakubaliana tufahamiane vizur alafu tuanzishe huu mchezo. Nadhan utatuokoa. Kama kuna walio tayar watupie namba ili tufungue group kwa whatsap ili kufahamiana zaid. Kuepusha matapeli..

Note : kufahamiana huko ni pamoja na kufahamu makaz ya kila Mmoja wetu au kitu chochote cha kujiridhisha..I hope tutapeana mawazo zaidi ni namna gani tufahamiane
 
Wazo zuri lkn umbali ndo shida me naona kwe uzi wa uyu kiongozi tnaweza taftana wa mikoa mbalimbali kila mkoa wakafanya wazo lao me nipo arusha ebu wa arusha wote tukutane hapa kufanyia kazi wazo la jamaa ce tuanze na viwanja
 
Wamikoan wapo kiongozi..karibu...arusha tunae MTU tayar.lengo ni kugusa Nchi nzima
 
Back
Top Bottom