Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

binafsi naamini waanzilishi wa huu Muungano wallikuws na nia njema ila sasa kwa hawa tulionao wanautumia vibaya
Hivyo
HATUONI LOGIC YOYOTE YA MUUNGANO
HUU NI UTAPELI inabidi tupaze sauti zetu ili TUUVUNJE KILA MTU AENDESHE MAMBO YA NCHI YAKE
WA BARA AKAE BARA
NA ZNZ AKAE ZNZ NA MAMBO YAKE
Wanatuchukulia poa sana, hao
 
Sasa nani kakubana?
Ardhi mnamiliki.
Biashara mnafanya.
Na Hambaguliwi.
HESLB mnakopeshwa kwa Kodi za watanganyika.
Na Ajira mnapata huku Tanganyika
Wazanzibari ndo wanafaidika na huu muungano, ukivunjwa, ardhi zote mnanyanganywa, ajira zote mnapokonywa na hamtasomeshwa kwa hela za walipa Kodi wa Tanganyika.
Maana huko Zanzibar, Mtanganyika hawezi miliki ardhi, hawezi Jenga nyumba, biashara kule ni ngumu kufanya kwa Mtanganyika, Kuna ubaguzi wa kidini na wa kikabila kwa Watanganyika .
Sasa Muungano una Faida gani kwa Mtanganyika?

Uliisahau Huyu kijana wa Mkuranga huku anauza mpaka visiwa baada ya kuuwa watu.
Hivi kuna Mzanzibari aliyeuwa mtu kupata hivyo ulivyovitaja ?
 
Tunawapa kila kitu bado mnaleta dharau,majeshi yanawalinda ilu muwe na amani lakini hata shukrani hamna😡😡
#KataaMuungano,Muunganoni utapeli

Huu ndio ulinzi wa Majeshi yenu?

Uliisahau Huyu kijana wa Mkuranga huku anauza mpaka visiwa baada ya kuuwa watu.
Hivi kuna Mzanzibari aliyeuwa mtu kupata hivyo ulivyovitaja ?
Unamaanisha kijana yupi?
Mi naongea Wazanzibari wote simaanishi mtu mmoja.
Watanganyika wote hawana faida wanayopata kwenye muungano huu.
Wakienda Zanzibar wanawekwa kwenye kipengele Cha "foreigners " wanaoruhusiwa kufanya investment, what the hell is this?
Alafu Wazanzibari wakija huku hawafanywi kama maforeigners ila Wana Haki sawa na wazawa.
 
Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.

Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.

Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
Mi nilikuwa najua zenji wote ni Waislam na wewe unajua bara wate ni Wakristo?
 
Unamaanisha kijana yupi?
Mi naongea Wazanzibari wote simaanishi mtu mmoja.
Watanganyika wote hawana faida wanayopata kwenye muungano huu.
Wakienda Zanzibar wanawekwa kwenye kipengele Cha "foreigners " wanaoruhusiwa kufanya investment, what the hell is this?
Alafu Wazanzibari wakija huku hawafanywi kama maforeigners ila Wana Haki sawa na wazawa.

Sasa inakuwaje mnaweka Majeshi kila mtaa na ukija uchaguzi mnauwa watu ? Yaani mbakie foreigners hapa Zanzibar ? Akili gani hii ?
 
Sasa inakuwaje mnaweka Majeshi kila mtaa na ukija uchaguzi mnauwa watu ? Yaani mbakie foreigners hapa Zanzibar ? Akili gani hii ?
Hujui kuwa huko watanganyika wote wanahesabiwa kama wakenya au foreigners?
Kuhusu suala la jeshi sio tatizo mbona mkija huku mnyanyakua ardhi bila shida yoyote?
Mbona mnachukua mikopo ya elimu ya juu bila shida yoyote?
Mbona mnafanya biashara bila shida yoyote?
Ni heri majeshi kuzunguka hapa Tanganyika kuliko hiki kitu Cha ajabu Cha kutuhesabia tuko kundi Moja na wazungu alafu huku nyie ni wazawa na mnajenga na kuuza viwanja.
 
Mzanzibari hauwi mtu wala kutia mtu kilema kuchukuwa hivyo vitu , inakuwaje nyinyi mnakuja kuuwa watu
Ili Mzanzibari apewe hivyo vitu ????😝😝
 
Tutandike jamvi chini,

Ndoa yoyote lazima iwe na manufaa kwa wanandoa wote ili kudumisha Muunganiko, kama mmoja anataka awe tu mmufaika pasina kutimiza wajibu au kuwa mbinafsi basi hiyo ndoa haina Maisha au haina uhai,na iwapo itaendelea kuna maafa mbeleni.

Hebu tuje labda mnijuze mm sioni Umuhimu wa Muungano .Sibezi jitihada za nyerere na Karume kwenye hili la kuangalia jicho la kiusalama zaid,lakini hilo kwa sasa halina mantiki.

Si lazima adui atokee zanzibar tu, maana tumepatana na kenya,rwanda,burundi,congo n.k kwanini asitokee huko?
Tekinologia imeendelea si lazima vita vipiganwe ana kwa ana...!!kuna silaha kutoka bara hadi bara hivyo ishu ya usalama imepitwa na wakati.

-Ishu ya kijamamii, haiwezekani huu Muungano, mmoja ale chako tu chake hakitaki kiguswe ,ardhi yake ni yake yetu ni ya pamoja hamna Muungano wa hivyo huo ni ujinga, fursa za Ajira za kwake ni zake ,za kwetu ni za Muungano na kisiasa pia, pia kwenye ndoa hawa watu ni wabaguzi kweli kweli hata kwa binti zao kwa wabantu.

-Kiuchumi- haiwezekani leseni ya bara iwe ya bara tu,ila ya zenji ni ya Muungano uwo ni ushuzi, .kwenye kodi huku utalipia kodi ukiingiza kule utalipia pia mantiki ya kuungana ni nini?

-Kisiasa-mtanganyika hana haki ya kisiasa kule hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, mzanzibar ana haki zote hata kuingia ikulu

-Kiutamaduni-
Sisi ni wabantu wao wanajiita waarabu ingawa waarabu wanawakataa

-geographical location kila nchi ina mipaka yake iliyojiwekea na nchi nyingine ina dai eneo kwa nchi nyingine,ushuzi huu.

-Utalii- ndo hoja yao kuu ,ila cha kushangaza sisi tuna resources kuzidi wao, sasa umuhimu wao upo wapi..

- Kidini- Kule ni udini tu wamekalia hoja za kidini-.pia ni wabaguzi kwa wasio wa islam.

Faida kwa mbara; nisiwe mnafiki kwakeli hamna ,na hili muulize mwananchi yoyote wa bara hivi kuwepo kwa Muungano kunasaidia nn Mtanganyika naamini asilimia 98%Watakwambia hamna.

Zaidi ya kunyonya resource zetu,kuchukua ardhi,kutubagua,na kuuza bandari zetu,na kuleta udini.
Mimi naomba niwe muasisi wa Kampeni ya #Kataa Muungano.

Muungano ni utapeli,unyonyaji,udini, n.k na hauna faida
#
 
Kweli muungano hauna faida kwa Tanganyika.
 
Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.

Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.

Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
hatutaki hata huo wa mkataba mkwende zenu huko mmekalia udini tuu
 
Mzanzibari anakuja bara anafanya biashara,anapata ajira za serikali,anapata teuzi ana miliki ardhi ila Kwa mtanganyika hiyo kitu haipo..
KATAAA MUUNGANO..
kabisa nakazia kwa mtu ambae hajaikanyaga zanzibar hawezi elewa hata kupanga tuu ni kizungumkuti.
 
Punguza chuki !

Ubaguzi wa kikanda hata hapa Tz upo ,Vunjeni muungano ,then gaweni majimbo na ukanda pwani wote upewe zenji mkitaka usawa then uone huko kweny mapori yenu nana atakuja.

Unaongelea mzenji ambaye huku bara mnamuita "shoga" kama wa kiume huoni huu ni ubaguzi .

Mimi binafsi swala na kuvunja muungano bora mvunje ila sipo tayar kuongozwa na raisi anayetokea Chadema na kaskazini kwa ujumla bora mzanzibar.

Vunjeni kanda zote tuone ngoma iwe draw kama umetokea kanda ya kati basi hata ajira uajiriwe huko huku kwengine usifike.

Really ,watu wanachukiana hakuna la kupinga .
hapo tayari ushaonesha ukanda sisi tunaongelea manufaa ya muungano kwetu sisi watanganyika wewe unaleta maswala ya ukanda utakua mulugo std7
 
binafsi naamini waanzilishi wa huu Muungano wallikuws na nia njema ila sasa kwa hawa tulionao wanautumia vibaya
Hivyo
HATUONI LOGIC YOYOTE YA MUUNGANO
HUU NI UTAPELI inabidi tupaze sauti zetu ili TUUVUNJE KILA MTU AENDESHE MAMBO YA NCHI YAKE
WA BARA AKAE BARA
NA ZNZ AKAE ZNZ NA MAMBO YAKE
kabisa
 
Ohhho tukivunja MUUNGANO mwarabu atakuja kiko wapi Sasa huyo mwarabu YUPO LOLIONDO yupo IKULU uwongooooo umeanikwa
 
Back
Top Bottom