Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

Yanafanaikiwa kwa sababu ya Kukosa Elimu,
Ongezea na maandamano ya Mwenge hivi wakuu wa wilaya mikoa ,mawaziri wanafanya kazi gani hadi Mwenge ukazindue miradi mipya,na wenyewe ni wa kuukataa

Tunaitaji Katiba mpya ,ila serikali tatu ni kurudia kulekule hamna nchi ndani ya nchi ,either iwe nchi moja nyingine iwe jimbo ama tuuvunje
Hii pia ni hoja ndo maana ya rasimu... na ndotunayotakiwa kupambania na sii utoto wa hashtag
 
Punguza chuki !

Ubaguzi wa kikanda hata hapa Tz upo ,Vunjeni muungano ,then gaweni majimbo na ukanda pwani wote upewe zenji mkitaka usawa then uone huko kweny mapori yenu nana atakuja.

Unaongelea mzenji ambaye huku bara mnamuita "shoga" kama wa kiume huoni huu ni ubaguzi .

Mimi binafsi swala na kuvunja muungano bora mvunje ila sipo tayar kuongozwa na raisi anayetokea Chadema na kaskazini kwa ujumla bora mzanzibar.

Vunjeni kanda zote tuone ngoma iwe draw kama umetokea kanda ya kati basi hata ajira uajiriwe huko huku kwengine usifike.

Really ,watu wanachukiana hakuna la kupinga .
 
Tutandike jamvi chini,

Ndoa yoyote lazima iwe na manufaa kwa wanandoa wote ili kudumisha Muunganiko, kama mmoja anataka awe tu mmufaika pasina kutimiza wajibu au kuwa mbinafsi basi hiyo ndoa haina Maisha au haina uhai,na iwapo itaendelea kuna maafa mbeleni.

Hebu tuje labda mnijuze mm sioni Umuhimu wa Muungano .Sibezi jitihada za nyerere na Karume kwenye hili la kuangalia jicho la kiusalama zaid,lakini hilo kwa sasa halina mantiki.

Si lazima adui atokee zanzibar tu, maana tumepatana na kenya,rwanda,burundi,congo n.k kwanini asitokee huko?
Tekinologia imeendelea si lazima vita vipiganwe ana kwa ana...!!kuna silaha kutoka bara hadi bara hivyo ishu ya usalama imepitwa na wakati.

-Ishu ya kijamamii, haiwezekani huu Muungano, mmoja ale chako tu chake hakitaki kiguswe ,ardhi yake ni yake yetu ni ya pamoja hamna Muungano wa hivyo huo ni ujinga, fursa za Ajira za kwake ni zake ,za kwetu ni za Muungano na kisiasa pia, pia kwenye ndoa hawa watu ni wabaguzi kweli kweli hata kwa binti zao kwa wabantu.

-Kiuchumi- haiwezekani leseni ya bara iwe ya bara tu,ila ya zenji ni ya Muungano uwo ni ushuzi, .kwenye kodi huku utalipia kodi ukiingiza kule utalipia pia mantiki ya kuungana ni nini?

-Kisiasa-mtanganyika hana haki ya kisiasa kule hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, mzanzibar ana haki zote hata kuingia ikulu

-Kiutamaduni-
Sisi ni wabantu wao wanajiita waarabu ingawa waarabu wanawakataa

-geographical location kila nchi ina mipaka yake iliyojiwekea na nchi nyingine ina dai eneo kwa nchi nyingine,ushuzi huu.

-Utalii- ndo hoja yao kuu ,ila cha kushangaza sisi tuna resources kuzidi wao, sasa umuhimu wao upo wapi..

- Kidini- Kule ni udini tu wamekalia hoja za kidini-.pia ni wabaguzi kwa wasio wa islam.

Faida kwa mbara; nisiwe mnafiki kwakeli hamna ,na hili muulize mwananchi yoyote wa bara hivi kuwepo kwa Muungano kunasaidia nn Mtanganyika naamini asilimia 98%Watakwambia hamna.

Zaidi ya kunyonya resource zetu,kuchukua ardhi,kutubagua,na kuuza bandari zetu,na kuleta udini.
Mimi naomba niwe muasisi wa Kampeni ya #Kataa Muungano.

Muungano ni utapeli,unyonyaji,udini, n.k na hauna faida
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].. mimi mwenyewe huwa nacheka sana kuhusu huu muungano....
 
Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.

Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.

Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
Mkiwa mnaongolea maswala yenu ya muungano msituingizie dini yetu

Unavyosema watanganyika wanauchukia uislaam kwa Ku generalize, hujui pia Tanganyika kuna waislaam tena bilashaka waislaam wa Tanganyika wapo wengi kuliko waislaam walioko Zanzibar

ili jambo la kisiasa mlijadili kisiasa

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Nini kinawazuia kustawi. au bado una mentality ya kukosa misaada ya sultan wenu

##kataa muungano ni utapeli

Kinachotuzuia kustawi ni uvamizi ulioitwa muungano
Toka lini nchi iliyotawaliwa na mkoloni ikastawi?
 
Tutandike jamvi chini,

Ndoa yoyote lazima iwe na manufaa kwa wanandoa wote ili kudumisha Muunganiko, kama mmoja anataka awe tu mmufaika pasina kutimiza wajibu au kuwa mbinafsi basi hiyo ndoa haina Maisha au haina uhai,na iwapo itaendelea kuna maafa mbeleni.

Hebu tuje labda mnijuze mm sioni Umuhimu wa Muungano .Sibezi jitihada za nyerere na Karume kwenye hili la kuangalia jicho la kiusalama zaid,lakini hilo kwa sasa halina mantiki.

Si lazima adui atokee zanzibar tu, maana tumepatana na kenya,rwanda,burundi,congo n.k kwanini asitokee huko?
Tekinologia imeendelea si lazima vita vipiganwe ana kwa ana...!!kuna silaha kutoka bara hadi bara hivyo ishu ya usalama imepitwa na wakati.

-Ishu ya kijamamii, haiwezekani huu Muungano, mmoja ale chako tu chake hakitaki kiguswe ,ardhi yake ni yake yetu ni ya pamoja hamna Muungano wa hivyo huo ni ujinga, fursa za Ajira za kwake ni zake ,za kwetu ni za Muungano na kisiasa pia, pia kwenye ndoa hawa watu ni wabaguzi kweli kweli hata kwa binti zao kwa wabantu.

-Kiuchumi- haiwezekani leseni ya bara iwe ya bara tu,ila ya zenji ni ya Muungano uwo ni ushuzi, .kwenye kodi huku utalipia kodi ukiingiza kule utalipia pia mantiki ya kuungana ni nini?

-Kisiasa-mtanganyika hana haki ya kisiasa kule hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, mzanzibar ana haki zote hata kuingia ikulu

-Kiutamaduni-
Sisi ni wabantu wao wanajiita waarabu ingawa waarabu wanawakataa

-geographical location kila nchi ina mipaka yake iliyojiwekea na nchi nyingine ina dai eneo kwa nchi nyingine,ushuzi huu.

-Utalii- ndo hoja yao kuu ,ila cha kushangaza sisi tuna resources kuzidi wao, sasa umuhimu wao upo wapi..

- Kidini- Kule ni udini tu wamekalia hoja za kidini-.pia ni wabaguzi kwa wasio wa islam.

Faida kwa mbara; nisiwe mnafiki kwakeli hamna ,na hili muulize mwananchi yoyote wa bara hivi kuwepo kwa Muungano kunasaidia nn Mtanganyika naamini asilimia 98%Watakwambia hamna.

Zaidi ya kunyonya resource zetu,kuchukua ardhi,kutubagua,na kuuza bandari zetu,na kuleta udini.
Mimi naomba niwe muasisi wa Kampeni ya #Kataa Muungano.

Muungano ni utapeli,unyonyaji,udini, n.k na hauna faida
Halafu si nzani kama zanzibar inapata mapato makubwa sana ya utalii kuliko tanzania bara....

Zanzbar inaonekana ina watalii wengi kwa sabbu , zanzbar ina eneo dogo sana kulinganisha na bara, ndio maana watalii wanaonekana ni wengi..
 
Facts
 
Mimi kwa sasa nadhani Kampeni ya kuwakataa DP World harafu hizo zingine ndio zifuate moto ukiwa unawaka unazima wa karibu kwanza hautakiwi kuuruka huu ukazime wa katikati utaenda kufa huko...
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mkiwa mnaongolea maswala yenu ya muungano msituingizie dini yetu

Unavyosema watanganyika wanauchukia uislaam kwa Ku generalize, hujui pia Tanganyika kuna waislaam tena bilashaka waislaam wa Tanganyika wapo wengi kuliko waislaam walioko Zanzibar

ili jambo la kisiasa mlijadili kisiasa

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Igwee
 
Yote yameletwa na watu wasiokuwa na uchungu,huwezi kupewa uwalee watoto wa jirani ukasema uwatreat sawa na wanao,tusipo chukua hatua tutaleta madhara hata ya kumwagika damu.
#kataa Muungano,Muungano ni utapeli
Mimi kwa sasa nadhani Kampeni ya kuwakataa DP World harafu hizo zingine ndio zifuate moto ukiwa unawaka unazima wa karibu kwanza hautakiwi kuuruka huu ukazime wa katikati utaenda kufa huko...
 
Mkiwa mnaongolea maswala yenu ya muungano msituingizie dini yetu

Unavyosema watanganyika wanauchukia uislaam kwa Ku generalize, hujui pia Tanganyika kuna waislaam tena bilashaka waislaam wa Tanganyika wapo wengi kuliko waislaam walioko Zanzibar

ili jambo la kisiasa mlijadili kisiasa

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app

Waliokuja kuvamia 1964 wengi ni hawa wanaojiita waislamu, walimfuga nyoka Nyerere akawalaghai wakaona bora kafiri, wakashirikiana kuuwa waislamu kwa maelfu.
Huyu Kikwete alifanya nini 2015 baada CCM kushindwa?? Si slituletea jeshi akamlazimisha Jecha kufuta uchaguzi?
 
Back
Top Bottom