Tuambie unataka kazi zipi

Tuambie unataka kazi zipi

Hii inafaa kama umejiajiri. Lakini kama umeajiriwa kutembeza sijui vyombo ni upuuzi na kupoteza muda. Maana hata hao waajiri wa hizo kazi nao ni choka mbaya
Hujawaona vijana wakitembeza barafu za tajiri mmoja, nchi nzima?
 
Hakuna degree isiyo na mashiko, ni ujinga tu wa watawala wa Africa kushindwa kuunda chumi zinazotoa fursa kwa makundi yote ya Wasomi.
Tatizo lililopo kwenye ajira, ni ajira ni chache wahitimu ni wengi; kwa hiyo tatizo la ajira halitaisha.
Kinachotakiwa kufanyika, ni kuwezesha sekta binafsi ili wengi waajiriwe na kujiajiri pamoja na kutafuta masoko nje ili uzalishaji ufanyike, na bidhaa zitoke.​
 
Back
Top Bottom