Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,372
- 7,983
Tuanze na wewe uko wapi na unauza nini.Hellow dear members,. Hope mko poa na kila kitu nikaenda vizuri na kwa wale ambao mna changamoto Jah awafanyie wepesi.
Leo bhana nikasema nipitie nyuzi zangu na za baadhi ya members na zote tu ambazo hukuwaga trending mara nyingi,. Nimeona viewers ni wengi mnooo.. Na sitaki kuamini kama hao viewers ni robots na watu walioko nje ya nchi,. Naamini wengi tupo hapahapa Tz,.
Your girl nikaja na wazo,. Why wafanya biashara na wajasiriamali tusitumie hii fursa,. Na nina imani itawork out... Em tuambie uko wapi?? Na unauza kitu gani ??( hapa unaweza ukaweka hata picha moja ya bidhaa unazouza na bei ) Au unatoa huduma gani??,. Unaweza kupata wateja wengi humu pia naamini watu wapo na wataona na watakutafuta,..
Kwa watoa huduma em jaribu tu kuielezea huduma yako tu vizuri bila kuweka links ( hii kuepukana na utapeli au hackers) .. Just nadi tu huduma yako atakayevutiwa nayo akutafute Pm na mje mtupe mrejesho mambo yalikwendaje??..
I promise to be your first customer from JF/JA nikivutiwa na bidhaa au huduma yako,.
Uwanja ni wenu.....
Hellow dear members,. Hope mko poa na kila kitu nikaenda vizuri na kwa wale ambao mna changamoto Jah awafanyie wepesi.
Leo bhana nikasema nipitie nyuzi zangu na za baadhi ya members na zote tu ambazo hukuwaga trending mara nyingi,. Nimeona viewers ni wengi mnooo.. Na sitaki kuamini kama hao viewers ni robots na watu walioko nje ya nchi,. Naamini wengi tupo hapahapa Tz,.
Your girl nikaja na wazo,. Why wafanya biashara na wajasiriamali tusitumie hii fursa,. Na nina imani itawork out... Em tuambie uko wapi?? Na unauza kitu gani ??( hapa unaweza ukaweka hata picha moja ya bidhaa unazouza na bei ) Au unatoa huduma gani??,. Unaweza kupata wateja wengi humu pia naamini watu wapo na wataona na watakutafuta,..
Kwa watoa huduma em jaribu tu kuielezea huduma yako tu vizuri bila kuweka links ( hii kuepukana na utapeli au hackers) .. Just nadi tu huduma yako atakayevutiwa nayo akutafute Pm na mje mtupe mrejesho mambo yalikwendaje??..
I promise to be your first customer from JF/JA nikivutiwa na bidhaa au huduma yako,.
Uwanja ni wenu.....
Ungenitajia size kamiki uliyofunga kwenye Noah yako, mana size 14 zipo nyingi na kila moja ina bei yakeTyre dogo namba kumi na nne kaka ,la Noah kwako napata kwa shilingi ngapi ? Nimeliuza tyre spea jana maana mshahara umekawia na koo haliko likizo ndugu
Sawa Rafiki tumeona,.Nauza friji na friza, nipo kariakoo pitieni uzi huu mnisapati wakuu
INAUZWA - Tunauza Friji na Freezer kwa bei nafuu
NB:Angalia post za mbele kwa fridge latest na Bei mpya Uzi huu ni kwaajili ya friza na friji za aina zote. Friji za kawaida kwaajili ya nyumbani✅ Fridge za biashara (showcase fridge)✅ Freezer za kawaida✅ Freezer za kioo (show case freezer)✅ Tupo kariakoo mtaa wa Ndanda 📍 Whatsapp au kawaida...www.jamiiforums.com
Asante,.View attachment 3341013Nauza vibadilisha Ngozi..
Jumla na rejareja
Online shop
Nafanya delivery
Ukihitaj njoo PM
Mkuu umejuaje ndio hapo hapo bana karibu sana hapa..hapo njia panda ya KIU sio gentleman?🐒
Mie muda mwingi nipo humu jf kaka tunaweza wasiliana pmWeka namba mkuu kama huna bei sana tutafanya kazi
Hujataja location na number.Nauza kitumbua
Kwani ni lazima uvione au ununue vitu vyake? Ameshakuambia picha haiwezekani wewe bado wang'ang'ana kama super glue. Unahitaji hizo bidhaa nenda duka lililo karibu nawe. Over!Why picha iwe ngumu,. Inabidi tuone hiyo accessory ya 15k inafananaje? So we can pick??. Na vipi wauza kwa jumla au rejareja ??@Poor Brain
Abdul unamjuaNauza tyre za magari
Nauza rim za magari
Nauza battery za gari
Napatikana Kariakoo
0626 799 329
Naona mmeanza kuwatafuta kiaina wale Cyber Criminals wa jana ili muwateke siyo?Hellow dear members,. Hope mko poa na kila kitu nikaenda vizuri na kwa wale ambao mna changamoto Jah awafanyie wepesi.
Leo bhana nikasema nipitie nyuzi zangu na za baadhi ya members na zote tu ambazo hukuwaga trending mara nyingi,. Nimeona viewers ni wengi mnooo.. Na sitaki kuamini kama hao viewers ni robots na watu walioko nje ya nchi,. Naamini wengi tupo hapahapa Tz,.
Your girl nikaja na wazo,. Why wafanya biashara na wajasiriamali tusitumie hii fursa,. Na nina imani itawork out... Em tuambie uko wapi?? Na unauza kitu gani ??( hapa unaweza ukaweka hata picha moja ya bidhaa unazouza na bei ) Au unatoa huduma gani??,. Unaweza kupata wateja wengi humu pia naamini watu wapo na wataona na watakutafuta,..
Kwa watoa huduma em jaribu tu kuielezea huduma yako tu vizuri bila kuweka links ( hii kuepukana na utapeli au hackers) .. Just nadi tu huduma yako atakayevutiwa nayo akutafute Pm na mje mtupe mrejesho mambo yalikwendaje??..
I promise to be your first customer from JF/JA nikivutiwa na bidhaa au huduma yako,.
Uwanja ni wenu.....
asanti gentleman,Mkuu umejuaje ndio hapo hapo bana karibu sana hapa..
Tashukuru sana ukija maana wewe ni mtu na heshima zako
Tatzo lako unaweka vi emoji ila ungeacha kuweka hvi viemoj daah we jamaa ilibidi uwe mbunge kabisa anasanti gentleman,
nimefurahi unapambana kwa uhakika kiume sana