Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

Acha gubu we wewee,ulikuwa unaforce uwe verified,kwani mods walichomoa?Ama yupo manzi alikuzingua humu😀
 
Huyu mdogo angu nimejikuta navutiwa naye ,sio kwa maandishi yake ila kwa psychology behind maandish yake, ni kama kuna namna watu wazima tunatakiwa tu kurekebisha vitu vichache ndani yake atakua vizuri sana. Shida yake kubwa kijana wangu de Gunner ni Ego ambayo ni dalili ya insecurity. Sasa sisi kaka zake tushapita huko ni yeye tu ubishi wa kusikiliza wakubwa
 
Nkajua ni platinum member Sasa 2021 si ni juzi hapo mbona umechoka mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…