Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

Wewe Utakuwa advocate of devil huenda uko nyuma ya pazia ya hiyo clip chafu!
 
kp_16032013.jpg
this sums what i meant to say

Ukishauza utumbo, lazima unuke m@vi tuuu
 
this sums what i meant to say

Ukishauza utumbo, lazima unuke m@vi tuuu
Basi nimekuelewa..,ndipo niliposema, Bora hekima kuliko nguvu, walakini hekima ya masikini hudharauliwa, wala maneno yake hayasikilizwi.

Mtakapoanza kunisikiliza na kunielewa, sitakuwa na nguvu, uwezo wala hamu ya kusema na kuandika tena.
Ahasante.
 
Umeanza na attacks tena personal, nashindwa kuelewa nini hasa kinakusumbua.,nikadhani labda ni chuki ama dharau.
Wewe unajishtukia sana, muda wote unawaza kua unachukiwa na kudharauliwa tu. Wewe ndio unasumbuliwa na infriority complex.
 
Basi nimekuelewa..,ndipo niliposema, Bora hekima kuliko nguvu, walakini hekima ya masikini hudharauliwa, wala maneno yake hayasikilizwi.

Mtakapoanza kunisikiliza na kunielewa, sitakuwa na nguvu, uwezo wala hamu ya kusema na kuandika tena.
Ahasante.

just look into mirror... and speak those words to yourself

Its intriguing how you can come up with such words of "wisdom" that should be directed to YOU!
 
Nashindwa kuelewa kama Julie umekua au basi tu leo Mungu wa haki kakutumia...

Anyway ni bora umeyaona haya na umetanguliza kwanza nafsi ya utu kabla ya siasa...

Kama hili umelimaanisha bila shaka hata udhalilishaji uliofanywa na Msukuma, Nape na wengineo utakuwa umekukera pia...

Isipokuwa sijui kwa nini watu hao walipomchafua Lowassa kwa makusudi hukuamka na kuwakemea pia au vile Lowassa si mwanamke?
Tatizo letu kubwa la sasa ni kudhani kuwa matatizo yetu yataondolewa na watu "special" ambao wameumbwa ili kutatua matatizo ya wengine...ni tatizo kubwa na tatizo hasa.

Ni kama vile imeandikwa,ama iko recommended kuwa anayepaswa kukemea udhalilishaji ni Julie tu, hivyo udhalilishaji ukifanywa na haujakemewa ni kosa la Julie..

Ebu nijuze, wewe ulifanyaje kukemea udhalilishaji huo unaosema kuwa ulifanyika na mimi sikukemea..?

Lakini kama sikukemea hapo mwanzo, hivyo sitakiwi kukemea hata sasa..???

By the way nimependa meseji yako; Ingawa tunatumia AVATARs na USERNAMEs ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU..
 
just look into mirror... and speak those words to yourself

Its intriguing how you can come up with such words of "wisdom" that should be directed to YOU!
I always DO...

i have been through alot..and everytime i made it up from one scenerio onto the other, its on the MIRROR that i stand front MEDITATING...
 
Kuna vitu vinaumiza Sana ,Maadili ya Taifa hili yameporomoka kuanzia kwenye uraisi mpaka kwenye familia
Labda ingeundwa Tume ichunguze ni wapi tumekosea na awepo kiongozi atakaye simamia kwa nia njema kabisa mapendekezo ya Tume...vinginevyo kupiga kelele mtu mmoja mmoja haitasaidia
Au iundwe wizara ndogo itakayo simamia maadili na utamaduni
 
Huyu Malaya SHUZI au kujamba, ameleta hii mada makusudi ili ijadiliwe kwani udhalilishaji ndio kitu anachofurahia. na kuna uwezekano mkubwa hata hao waliomfanyia udhalilishaji Mama Lowasa ni vijana wa CCM waliotumwa kumdhalilisha na ndio maana wakajiandaa na kuchukua video ambayo wanaisambaza. Na ukitafakari utagundua baada ya watu kuuliza alipo Mama Magufuli ndio wakaona wamdhalilishe Mama Lowasa ili kumpunguza kasi ya kuinadi UKAWA. Hawa watu wameishiwa hoja ndio maana wanatumia mbinu chafu.
 
I always DO...

i have been through alot..and everytime i made it up from one scenerio onto the other, its on the MIRROR that i stand front MEDITATING...

basi tunakumbushwa kupatana na jirani zetu kwanza... sidhani kama umepatana nao

iko shida kwako... wapo watu uliwashambulia hadi inner core... reach out to them in person kwanza la sivyo utabaki na mahangaiko yako
 
Duuh! wanadamu tunatofautiana,kweli kabisa mtu unajaribu kufanya hicho kitendo kwa kusingzia siasa! mi hata cwez kumhukumu huyo mtu....Mungu amhukumu,,,,kwa hiyo JK,na kina Kinana wakiona hiyo video wanafurahi? nimeshangaa sana,mi hata ningemchukia Magufuli au JK vp,cwez kumdhalilisha Janet au Salma
 
Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.

Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.

Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.

Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.

Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.
Juliana, serioudly, nimesoma maandiko yako ya leo umenigusa sana.... ila usilaani kwa vile aliyedhalilishwa ni mwanamke, bali ni binadamu anayestahili heshina na kuthaminiwa utu wake... kwa namna hiyo na kwa hisia hizohizo kemea na kwa pamoja tukemee kauli za
1. Nape na umarehemu
2. Kibajaji na matusi yake
3. Mkapa na yale maneno..wapumbavu, malofa, mbumbumbu na mimba kwa wanaume..

Na yeyote aliyewahi kumkashifu mwingine in the name of siasa
 
basi tunakumbushwa kupatana na jirani zetu kwanza... sidhani kama umepatana nao

iko shida kwako... wapo watu uliwashambulia hadi inner core... reach out to them in person kwanza la sivyo utabaki na mahangaiko yako
Nilishasema kule kwenye comment yangu ya mwanzo kuwa unaweza amua kunisikiliza ama kunipuuza..lakini nikasahau kukuambia kuwa unaweza kunishauri pia.

Kwa kuwa umelenga na kusudio lako hasa ni kunishauri kupatana na jirani, naomba nianze na wewe, lakini tupatane tukitambua kuwa kila mmoja wetu anazo values na maono ambayo ni tofauti na mwengine..kupatana kwetu usitegemee kuwa kutabadilisha mitazamo, fikra na maono yetu katika miamala yetu hasa katika siasa.

Naomba niendelee kukiri kwako na jirani wale wengine uliotaka nikaungame kwao, kuwa NINAAMINI hakuna KIONGOZI mbovu na wa hovyo kama FREEMAN AIKAELI MBOWE...na hili sio udhalilishaji bali ni UKWELI, its a fact.

Hivyo msitegemee kuwa msimamo huo umebadilika ama utabadilika hivi punde, hapana, msimamo huo utabadilika kutegemea mabadiliko ya MBOWE mwenyewe..

kama shida uliyoisema kwangu ni hii, kuwa kuna watu niliwashambulia mpaka inner core, watu hao ndio hawa..? kama ulimaanisha hawa naomba nikuombe radhi wewe kwa kunielewa tofauti kuhusu kupatana na hoja mzima ya udhalilishaji...

ALAMSIKI
 
Usilete mdomo wako kujifanya unaipenda sana UKAWA na unachukia udhalilishaji!! Au tuanze kutafuta post zako za huko nyuma!!???

UKAWA Tunashinda huu uchaguzi, na tutawanyoosha wote wenye hizo tabia, ukiwemo wewe!!
 
I always DO...

i have been through alot..and everytime i made it up from one scenerio onto the other, its on the MIRROR that i stand front MEDITATING...

Juliana,udhalilishaji haufai...hauna chama,,,tena ni mbaya sana anapofanyiwa mwanamke...usikubali kabisa kutumiwa na manyang'au kudhalilisha(simanishi umefanya hivo) wanawake wenzako....usijeshuhudia mabinti zako wanadhalilishwa mbele ya safari,ukaishia kujuta kwa kushiriki ufirauni,,,,kuwa jasiri ktk siasa,kemea ujinga...wanaume wa kweli watakupenda na kampani ya heshima utaipata
 
Ndiyo unayaona leo? Unasahau mbuyu umeanza kama mchicha? Katika wanaostahili kuwekwa utupu ni wewe kwa sababu upo mtupu.

Sasa hivi unataka kujitanabahisha mama Lowassa wakati CCM yako iko maji ya shingo?

Wewe baki na ujinga wako huko CCM. Tukutane baada ya 25 Oct bila kubadilisha ID
 
Ndiyo unayaona leo? Unasahau mbuyu umeanza kama mchicha? Katika wanaostahili kuwekwa utupu ni wewe kwa sababu upo mtupu.

Sasa hivi unataka kujitanabahisha na Mama Lowassa wakati CCM yako iko maji ya shingo?

Wewe baki na ujinga wako huko CCM. Tukutane baada ya 25 Oct bila kubadilisha ID
 
Back
Top Bottom