Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

Tumebakisha kuuana tu na kwa haya yanayoendelea tutauana tu.niwatakie vifo vyema
 
Mmeona watu hawajaichukulia serious sasa mmeitungia mpaka thread ya huruma yenye lengo la kishetani. Mashetani wakubwa nyie
 
Ndoto za lowasa na gwajima kugeuza misikiti iwe sunday schools tunazizika rasmi juma pili hii.
 
wewe Juliana inabidi siku moja nikutafute ingawa sitajitambulisha kwako. Maandishi na hoja zako zimejaa busara sana. Congratulations. Hata mimi nachukia udhalilishaji hasa ndani ya JF na kwenye majukwaa ya siasa. Kwa mfano, mimi hata kama natofautiana na Lowassa kisiasa sipendi kabisa namna wanavyomtukana kwenye majukwaa ya siasa na kwenye JF. Yule ni mtu mzima inabidi tumheshimu. Kusema kuwa ameji..... ni kukosa heshima. Yule ana watoto na amewahi kuwa kiongozi wetu ndani ya CCM na hata serikali....
 
Jaman tuache unafiki sometimes kuna watu wanasema alikaa kimya ila kuna video inaonyesha akimtwanga yule kaka baada ya kufanya hicho kitendo.. Kwa nn hyo video wachangia mada hamuisem mnaisema hyo nyingne tu?? Na ww Juliana hyo video ya mama akijidefend ina maana hujaiona umeona mbaya tu?
 
Hivi huu mjadala una faida gani kwa wanasiasa hata uendelee kubaki kwenye jukwaa la siasa kwa zaidi ya siku tatu mfululizo..???
 
Wewe Juliana Shonza,kumwita Mzee Maxoni Chizii "mwizi maarufu wa kura" sio uzalilishaji wa wazi kabisa huo?
Ukizingatia yule ni mtu mzima,kiongozi na mwenye kuheshimika.
Wewe upo sahihi?Nawe inatakiwa ukaombe radhi.Watu kama wewe ndio mnaosababisha nchi inapewa kisogo na Mwenyezi Mungu kwa laana mnazozisababisha.
 
Mama na yeye ajifunze kutokunywa hvyo hovyo kwa sababu the way unavyojiheshimundivyo unavyo heshimiwa
 
Wewe Juliana Shonza,kumwita Mzee Maxoni Chizii "mwizi maarufu wa kura" sio uzalilishaji wa wazi kabisa huo?
Ukizingatia yule ni mtu mzima,kiongozi na mwenye kuheshimika.
Wewe upo sahihi?Nawe inatakiwa ukaombe radhi.Watu kama wewe ndio mnaosababisha nchi inapewa kisogo na Mwenyezi Mungu kwa laana mnazozisababisha.

Chizi mwizi kweli nakila mtu hilo analijua bila kupapasa wala kuoopa yule fundi na anaogopeka
Hapo kwa chizi juiana kaongea kweli
 
Huo upuuzi ulioandika hapo hauna maana tofauti na nlichokisema kwenye post iliyopita

Wewe unataka kujustify nini hapa ..all of a sudden umekua malaika au ??
Comments zako Jamii Forum kwamba hazionekani au
ID yako tu ni uzalilishaji Easther nilyemsoma kwenye vitabu vya dini alikua na hekima

Hekima ya mwanadamu ni UPUMBAVU mbele za Mungu. Usijione mwenye Hekima MACHONI pako mwenyewe....
Soma Mithali 8;9 na 10

Queen Esther
 
Aliyempiga dole Mama Lowassa ni kijana wa CHADEMA, tangu Lowassa aje CHADEMA kuna wanachama wenzetu wanafanya kila wawezalo ili wamuangushe Lowassa. Hii siyo adabu hata kidogo, yule ni sawa na Mama zetu wengine tunaoishi nao kwenye jamii zetu.

Kama humtaki Lowassa bora ukae kimya au ukimbie kama walivyokimbia wanachama wengine wakaenda fisiemu. Jana mumempiga dole, najua ipo siku nyingine mutamfanyia kitu kikubwa zaidi, sijui munategemea nini mtu aliyewahi kupigwa dole hadharani siku moja akisimama kama 1st lady.

hivi hii siasa imekuwa kama watu wamelogwaq? haiingii akilini
 
Naona hii vita kati ya ccm na ukawa katika uchaguzi huu ilipiganwa kijitali zaidi.hii tunaita THE MANIPULATION OF PUBLIC OPINION THROUGH PROPAGANDA kwa kutumia main stream media na social media na internet. Kazi ya ma Troll farmers
 
Back
Top Bottom