Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

Kwasababu mwanamke mwenzako amefanyiwa hivyo ndo umekuja kukemea hapa?
Wakati Lowasa anadhalilishwa ulikuwa wapi?
CCM mmeanzisha hizi siasa. Anza kuwakemea Nape na wenzake.
Huyu Binti namshangaa sana. Yaani yeye katika lifetime yake yote ya Siasa ameiona hii tu ya Mama Regina. Watu kila siku wanatukana humu, kwenye TV, radio, magazeti etc na hajasikika akiongea. Nina wasiwasi kama hizi hisia zake zinatoka moyoni au anatafuta kick tu.
 
Hivi ni kweli unamaanisha hicho kichwa cha thread yako ama bado unaendelea kudhalilisha watu. Unalia kilio cha mamba!
I real get hard time to understand what U people have in ur minds..!!! Hivi ni nini hasa kipo kwenye mioyo yenu, chuki, dharau au..?
 
Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.

Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.

Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.

Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.

Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.
sawa ni udhalilishaji kwa mama mtu mzima lakini hata yeye ni chanzo cha kudhalilishwa kwa sababu alichokuwa anaongea ni ujinga.
nasema ni ujinga kwa sababu yeye ndiye aliye anza kulewa na kujitapa kuwa amekunywa bia na kitendo cha kunywa bia walikuwa wamekutana na mlevi mwenzie,na ukiangalia scerio nzima yule jamaa hajaanza kumshika makalio tuu alianzia mikono mama akawa ametulia tuu,kwann hakuanza kureact alipoguswa kwa mara ya kwanza?
mama alijua anakwenda kwenye kikao cha mabadiliko kwanini anywe pombe wakati anaenda kwenye serious busness?
jamani kuna matatizo mengine unakuta chanzo chake ni mtu mwenyewe,kwa hili mama ndiye chanzo cha yote kwa sababu alilewa na kukutana na walevi wenzake na kukutwa anafanyiwa mambo yote hayo
 
Huyu Binti namshangaa sana. Yaani yeye katika lifetime yake yote ya Siasa ameiona hii tu ya Mama Regina. Watu kila siku wanatukana humu, kwenye TV, radio, magazeti etc na hajasikika akiongea. Nina wasiwasi kama hizi hisia zake zinatoka moyoni au anatafuta kick tu.

kweli kabisa

huyu nia yake anataka tu kuendeelea kuisambaza hiyo clip

Mambo ya Januari Makamba na unafiki wake

Unafiki mkubwa wa mafisadi ya ccm
 
Huyu Binti namshangaa sana. Yaani yeye katika lifetime yake yote ya Siasa ameiona hii tu ya Mama Regina. Watu kila siku wanatukana humu, kwenye TV, radio, magazeti etc na hajasikika akiongea. Nina wasiwasi kama hizi hisia zake zinatoka moyoni au anatafuta kick tu.
Wakati mwingine ni vigumu sana kuelewa anachowaza binadamu mwenzako na ngumu zaidi kutambua hisia zake za kweli..lakini niseme tu kuwa sijaridhishwa na comment yako.
 
NARUDIA TENA KUPOST JINA LAKE:::

Peter Kasera

JAMII IMTAMBUE KUWA HAWA NDIYO WANAOCHAFUA WATU MITANDAONI.
 
Hakika jamaa huyo alifanya kazi nzuri sana maana hata kama ningekuwa mimi ningemtia kidole tena laivuuu
 
Wakati mwingine ni vigumu sana kuelewa anachowaza binadamu mwenzako na ngumu zaidi kutambua hisia zake za kweli..lakini niseme tu kuwa sijaridhishwa na comment yako.
Labda kipi ambacho hujaridhishwa nacho labda? Binafsi nimeelezea kua hizi unazoziita udhalilishaji hazikuanza leo kwa huyu mama, mbona hukusikika ukizikemea?
 
Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.

Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.

Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.

Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.

Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.

wewe ulishajidhalilisha

mbaya zaidi huaminiki na hakuna kitokacho kinywani au mawazoni mwako kiko reliable

changanya lapa
 
kweli kabisa

huyu nia yake anataka tu kuendeelea kuisambaza hiyo clip

Unafiki mkubwa wa mafisadi ya ccm

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.

Wakati mwingine mjiongeze basi..,hivi mnawaza nini..?
 
Mwa mara ya kwanza leo nimekuelewa Juliana Shonza. Lakini isije tu ikawa ni technical know how baada ya kuona jahazi linazama.
 
Last edited by a moderator:
I real get hard time to understand what U people have in ur minds..!!! Hivi ni nini hasa kipo kwenye mioyo yenu, chuki, dharau au..?
Watu wanaongea kwa points, wanaongea specific issues, wewe unaongea general issues. Mtu anauliza nini motive ya thread yako we una-generalize kua ana chuki au/na dharau.
 
kwani alinyoshewa pombe au alikunywa mwenyewe tena bila aibu anawambia watu aliowazunguka amekunywa bia tena kwa kutumia kinywa chake mwenyewe sasa hapo nani alaumiwe anakunywa bia hovyo anaenda kuzungumza kwanza ajiheshimu na ache mambo ya kijinga anayofanya yeye kama kioo cha jamii anatakiwa awe nuru mbele ya jamii yake,,amejidhalilisha mwenyewe na nafsi yake
 
huyu mama anahubiri mabadiliko ya kijinga maana kama alikuwa anaenda kuhubiri mabadilko alikuwa na ulazima gani wa kunywa pombe ama nili kusudi anadi sera lazima anywe? na kuna haja gani ya kujitangaza kuwa kanywa pombe? si ni kuwadharau watanzania? ashukuru Nyoso hakuwepo
 
wewe ulishajidhalilisha

mbaya zaidi huaminiki na hakuna kitokacho kinywani au mawazoni mwako kiko reliable

changanya lapa

kp_16032013.jpg
 
Wazee wetu wakisema kizazi hiki ni cha nyoka,hawaelewi.WALAANIWE WOOOOOTE WALIOMDHARIRISHA MAMA REGINA,SIASA ZA KIJINGA KABISAAAA.WENYE AKILI TULIPINGE KWA NGUVU ZOTE.
 
Watu wanaongea kwa points, wanaongea specific issues, wewe unaongea general issues. Mtu anauliza nini motive ya thread yako we una-generalize kua ana chuki au/na dharau.
Umeanza na attacks tena personal, nashindwa kuelewa nini hasa kinakusumbua.,nikadhani labda ni chuki ama dharau.
 
Wazee wetu wakisema kizazi hiki ni cha nyoka,hawaelewi.WALAANIWE WOOOOOTE WALIOMDHARIRISHA MAMA REGINA,SIASA ZA KIJINGA KABISAAAA.WENYE AKILI TULIPINGE KWA NGUVU ZOTE.

ccm wote wako hivi ukianza na mzee Mkapa hadi kwa aliyeanzisha uzi huu
 
0719 500853 namba Za kijana anayesambaza video ya mama Regina Lowassa!
 
Back
Top Bottom