Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

Kamwambie Nape,bulembo, na msukuma waache kumdhalilisha waziri mkuu mstaafu

.
Haya yanayoendekea nchini kwa ukosefu wa maadili wa kiango kilicho pindukia ni tunda la mkuu wa nchi tulie nae kwa awamu hii ya nne. Ameyadharau yote yaliyo mema na ya adili yaliyo asisiwa na waasisi wa taifa hili. Hilo linaweza kudhihirika kwa jinsi alivyokuwa mwepesi kuwatunuku vyeo watukanaji na wadhalilishaji wa wazee wetu mfano wa Makonda, Nape, Kibajaji nk.
Binafsi ninaona huku kuugua kwa taifa kwa sasa ni ishara ya maumivu ya uchungu wa kuzaliwa Tanzania mpya. Mungu jalia tuingie katika mapambazuko mapya kwa amani ukituepusha na kikombe hichi cha tambo za wale waliyoivuruga mioyo ya watanzania wanaojifanya wasimamizi wa amani kwa nawasi walizopewa baaa ya kufanya matendo ya kudhalilisha utu na ubinadamu.
.
 
Hahahaha,Shonza bwana..unachokifanya ni kujaribu kumgombanisha Mama Regina na Chadema...but its too late dada yangu mpendwa..ni vigumu sana kuwabadilisha walioamua kubadilika
 
Kuna vitengo maalum vimeundwa na CCM kwa kazi ya kueneza propaganda chafu mitandaoni, kwa sasa mpaka StarTv wamejiingiza huko.

Kazi kuwazalilisha hao wazanzibari tu wewe.. what about kitengo chako wewe mwenyewe cha propaganda si ukajiunge na ITV wakupe promo.
 
Una mawazo finyu sana.

Sidhani kama nina mawazo finyu.Kama ungemsoma mtoa mada in between the lines ungemuelewa ana maana gani.Kama tunatakiwa kuangalia historia ya mgombeaji kwa nini pia tusiangalie historia ya mtoa mada...hebu angalia hiyo mada kwenye angle ingine utamuelewa vizuri.Hakuna sababu ya kutokugawanyika kama tunatakiwa kugawanyika na tukakubali.
 
Ulivyoileta wewe pia kama una maslahi na jambo hili. Sijaona huo udhalilishaji unaousema bali nimeona kitendo cha kihuni kilichofanywa na huyo jamaa kumgusa mama lowassa paja na siyo kumfunua. Nakemea jambo hilo lakini wewe naye usilikuze sana ikaingia siasa humo
 
.
Haya yanayoendekea nchini kwa ukosefu wa maadili wa kiango kilicho pindukia ni tunda la mkuu wa nchi tulie nae kwa awamu hii ya nne. Ameyadharau yote yaliyo mema na ya adili yaliyo asisiwa na waasisi wa taifa hili. Hilo linaweza kudhihirika kwa jinsi alivyokuwa mwepesi kuwatunuku vyeo watukanaji na wadhalilishaji wa wazee wetu mfano wa Makonda, Nape, Kibajaji nk.
Binafsi ninaona huku kuugua kwa taifa kwa sasa ni ishara ya maumivu ya uchungu wa kuzaliwa Tanzania mpya. Mungu jalia tuingie katika mapambazuko mapya kwa amani ukituepusha na kikombe hichi cha tambo za wale waliyoivuruga mioyo ya watanzania wanaojifanya wasimamizi wa amani kwa nawasi walizopewa baaa ya kufanya matendo ya kudhalilisha utu na ubinadamu.
.

Nyie Bavicha Matusi indigo kazi yenu sema Juliana ni mwanasiasa kijana mahiri kila akipost uzi hapa badala ya kuchangia na kujenga hoja mnamtukana.
Kwa sasa hakuna namna ya kurekebisha acha iwe hivyo, Rais wetu Kikwete mmemtukana sana wakati Ugonjwa alitangaza.
 
Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.

Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.

Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.

Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.

Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.

Juliana Pongezi lakini kwa sasa huwezi kurekebisha hii, pia umefanya Kosa kumtaja unayedai kasambaza hiyo Video ili hali ukishindwa kutaja wanaokutukana.

Kusema ilikua imetosha CCM hasa Rais ametukanwa sana Tz Siasa yetu ni kumsema mtu kwa yale aliyoyatenda Bora uwe na ushahidi.

Regina anatakiwa yeye Binafsi ajiangalie, mumewe anagombea cheo namba 1 yeye "Mungu apishie mbali" anatafuta kua mwanamke namba 1
 
.
Haya yanayoendekea nchini kwa ukosefu wa maadili wa kiango kilicho pindukia ni tunda la mkuu wa nchi tulie nae kwa awamu hii ya nne. Ameyadharau yote yaliyo mema na ya adili yaliyo asisiwa na waasisi wa taifa hili. Hilo linaweza kudhihirika kwa jinsi alivyokuwa mwepesi kuwatunuku vyeo watukanaji na wadhalilishaji wa wazee wetu mfano wa Makonda, Nape, Kibajaji nk.
Binafsi ninaona huku kuugua kwa taifa kwa sasa ni ishara ya maumivu ya uchungu wa kuzaliwa Tanzania mpya. Mungu jalia tuingie katika mapambazuko mapya kwa amani ukituepusha na kikombe hichi cha tambo za wale waliyoivuruga mioyo ya watanzania wanaojifanya wasimamizi wa amani kwa nawasi walizopewa baaa ya kufanya matendo ya kudhalilisha utu na ubinadamu.
.

Hapo sasa na wewe unataka kuwatoa watu kwenye mstari,wakati watu wanajenga wewe unaleta majungu,pombe anywe mwenywewe then lawama kwa JK,are you serioz?
Sio vema watu wanapoweka mambo sawa then wewe unaleta mambo ya vyama!
 
Sidhani kama Hekima imekuongoza vilivyo Juliana katika kuwashambulia vijana wa CCM..,kesho utaujua ukweli halisi wa kinachoendelea BAVICHA.
 
Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.

Naona taratibu akili inakurudi! Tatizo ni Chama chako na ndiyo waanzilishi wa hayo unayodai kuyakemea leo. Ni heri kwa kiasi umetambua siyo vibaya kufungua ukurasa mpya!

Usilaumu timu ya wanamabadiliko laumu wanaonufaika na hiyo video ambao bila chenga ni Lumumba ukliko wewe!

Narudia chanzo cha lugha chafu ni Lumumba najua utabisha lakini tuyaache na tuendelee na vita ya kulaini ilituendelee kuaminiana na kuheshimiana-tusisahau kuwalaani wenzako ndani ya Chama yaliyopita siyo ndwele kugange yajayo!
 
Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.

Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.

Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.

Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.

Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.

Hivi ni kweli unamaanisha hicho kichwa cha thread yako ama bado unaendelea kudhalilisha watu. Unalia kilio cha mamba!
 
wakiwa wameshindwa hata walau kumstiri; mama wa watu??? mpaka wamevujisha video za huyo mama??? migogoro yenu ndo inazidi kwadhoofisha; mjipange upya tar 25 magufuli anapewa nchi yake

Nilidhani mada ni udhalilishaji. Kumbe ujinga wetu unatufanya tupuuze mada ya msingi tena yenye kugusa nafsi na maadili yetu kama watanzania tunajikuta tukilazimisha mijadala ambayo hata unabii hauwezi kutumika.
 
Watu mnakuwa wepesi kurubuniwa kwa pipi. huyu dada naye wa kumwamini na matamko uchwara yake???????

usikute hata ana mkono kwenye hayo ya 'udhalilishaji' maana sijamsahau enzi zile alivojitoaga CHADEMA. Mweeeh alikuwa anatema kama chemba za uhindini.

Sidanganyiki!!!
 
Hayo ya kudhalilishana ambayo matusi ni kati yake,kama ndio siasa ni bora watu wanaojiheshimu waache kuwa wanasiasa.Kwa maana hiyo tuwaachie wahuni siasa.Kwa masikitiko makubwa viongozi watu wazima wengine wenye zaidi ya 50yrs ndio walianza mchezo huu mchafu wa matusi mwaka huu wakikampeni, kisa LOWASSA kahama ccm.Sasa tutegemee vijana wafanyeje? Mie kama babangu akisimama kwenye jukwaa akaanza kuporomosha matusi,nitamkana kuwa sio babangu kama ni laana bora anilaani. WAZEE WA TZ MWATUAIBISHA.Tutawakana kama mbwai mbwai tu.
 
Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.

Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.

Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.

Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.

Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.

Ni ajabu kwa maana sheria ile ya matumizi mabaya ya mitandao inatumika tu pale anapohusishwa kiongozi mkubwa kama Mwamuyange, akitukanwa Regina inaonekana vyombo vyetu vya sheria havihangaiki!!!! Nani alaumiwe kama si serikali inayosimamia vyombo hivyo? Rule of Law ni kama sheria inafuatwa na wote na kutokuwa na demokrasia ni pale sheria inapoundwa kwa ajili ya kundi fulani la watu wa tabaka zinazodhaniwa ni za chini tu na tabaka nyingine zikibaki huru. Tutafakari dhana ya utawala bora kama tuko namna hiyo katika serikali yetu au tunatawala kwa matakwa ya akili zetu na si sheria zetu
 
Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.

Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.

Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.

Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.

Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.

Tumeshuhudia watu wanaodhalilisha wazazi wakipewa ukuu wa wilaya,ila najua malipo ni hapa hapa duniani,hawawezi kukwepa madhara ya laana hiyo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kwasababu mwanamke mwenzako amefanyiwa hivyo ndo umekuja kukemea hapa?
Wakati Lowasa anadhalilishwa ulikuwa wapi?
CCM mmeanzisha hizi siasa. Anza kuwakemea Nape na wenzake.
Huu sio wajibu wangu pekee.,kabla ya kuniuliza mimi nimefanya nini umewahi kujiuliza wewe umefanya nini..?
Wakati mwingine muwe mnajitahidi kufikiri kwa umakini na kuacha ushabiki, tunazungumza juu ya hatma ya kizazi chetu kimaadili.
 
Nashindwa kuelewa kama Julie umekua au basi tu leo Mungu wa haki kakutumia...

Anyway ni bora umeyaona haya na umetanguliza kwanza nafsi ya utu kabla ya siasa...

Kama hili umelimaanisha bila shaka hata udhalilishaji uliofanywa na Msukuma, Nape na wengineo utakuwa umekukera pia...

Isipokuwa sijui kwa nini watu hao walipomchafua Lowassa kwa makusudi hukuamka na kuwakemea pia au vile Lowassa si mwanamke?

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.
 
Huu sio wajibu wangu pekee.,kabla ya kuniuliza mimi nimefanya nini umewahi kujiuliza wewe umefanya nini..?
Wakati mwingine muwe mnajitahidi kufikiri kwa umakini na kuacha ushabiki, tunazungumza juu ya hatma ya kizazi chetu kimaadili.
Hao wanamabadiliko waliorekodi hiyo video na kuisambaza wachukuliwe hatua maana ni ijinga usiyoweza kuvumiliwa wa kumdhalilisha huyo mama.
 
Back
Top Bottom