Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

...mapovu ni dalili ya kutokuwa na hoja, na watu kama ww mnaoishi kwa kuuza maneno mko wengi ndani ya chama, na Magufuli atalala na nyie mbele, maana mnafikiri kwa kutumia matumbo, stay tuned, ndo MABADILIKO Magufuli anayotaka kufanya kunyosha chama, siasa za kutukana wazee ili mpate ukuu wa wilaya zama zake zimekwisha #HapaNiKaziTu , nidhamu ndio Ushindi, shame on you

Na abarikiwe yule mwenye kuusema ukweli japo ni mchungu. Jaribu kumfahamisha kwa taratibu huyo ndugu yako! atakuelewa tu hasa kwa vile munazungumza lugha moja ijapokuwa kwa different tunes!
 
Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU. Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima. Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa. Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho. Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye. Maoni yangu: Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina. NB: Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.
NIlidhani uliingia CCM kwa vile ulikuwa na uwezo wa kuzuia hayo.Kumbe unalalam km wahanga wengine?Kwanini sasa ulijiingiza huko ,ili uwaongezee idadi na kuwapa ujasiri wadhani wana watu wengi..Sasa unaiingiza ukawa ili nini,ili upate kuwashutumu ?au uipe promo na kujipendekeza kwao.Ulishakuwa reject kula uozo wenu.Si wewe wa kwanza kuchagua upande mbaya wa historia ktk watu wa kwenu.Una laana.
 
I wish ningekuepo eneo la tukio kwa maana iyo ingekuwa kesi yangu ya kwanza ya kujeruhi mpaka kutaka kuua, ccm mnasiasa za kipuuz sana na nyinyi ndio mnaoshangalia huu ujinga na ndio maana hawa vijana wanafanya upuzi kwa sababu viongozi wakubwa wanafanya ujinga huo huo kiongozi anapomtukana mtu na heshima zake hana tofauti na jambo alilolifanya huyo kijana mfike mahali mjitafakari huu sio wakati wa ushenzi na upuuzi mliwanyima watz elimu na ndio maana hawa wanaofanya haya wanaona ni sawa tu.

Huo mkutano ulikua wa ndani tena wa wanamabadikiko tu
 
Nasoma UZI wako huu mara mbili mbili, hata siamini.

Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.

Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.

Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.

Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.

Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.
 
maskini mama wa watu vijana tuwe naheshima walau kidogo siasa zisitufanye tukodeane heshima hiii ni game tucheze vizuri pole mama
 
Mimi mwana ccm tena ni kiongozi, tunaposikiliza utenzi wa matusi jukwani huku tunaomba uongozi wa juu kabisa wa nchi, na kutabasamu juu ya tenzi kama hizi, baada ya dakika chache unasema una hofu ya Mungu, binafsi sifurahii, hivi ni kweli hatuwezi kumshinda Lowassa mpaka tumtukane? Ama ushindi wetu utajikita katika kuumwa kwake? Tutafakari, siasa za hovyo na za kutukana wazee ziishie awamu inayoisha!!! Hiki ni kati ya kipindi tulichofanya siasa za hovyo! CCM tuwe mfano, tunaweza kushinda kwa kutumia siasa za kistaarabu kabisa, ili mradi tusiwafanye watu wa darasa la nne ndo great thinker wetu

Kiongozi unakumbuka shuka kumeshakucha ??? Siku ya kufungua mlianza na Matusi ya malofa na wapumbavu mkapigilia msumari wanaume wabebe mimba
Kujuta kwenu sasa hivi ni sawa na kumbatiza Paka aache kula panya
 
Uchuguzi una mengi Kama una Roho nyepesi wallah unajitundika mume anadhalilishwa Kwa kujitakia maana Ni ukweli ila Kwa upande hasa wa huyu Mwana mama mie Leo imeniuma kabisa na Hawa vijana wa Chadema Hawa Kama hamumpendi Lowassa msimdhalilishe Mkewe!

Chaguo letu ni Magufuli,hapa kazi tu
 
Kumbe muda mwingine unakuwa na busara au ni style kurudisha heshima yako ya zamani au nia yako watu wengi kuwa aware kuwa kuna kitu kama hicho kilitokea.
 
Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.

Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.

Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.

Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.

Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.

Wewe dada mnafiki mkubwa..... Tokea lini Kasera yuko Uvccm... Kasera tunayemjua yuko Ukawa, alihama na Lowassa....

Na lini alikutumia hiyo video, na alimtumia nani, na kwa lengo gani lete ushahidi hapa.....
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu ee.
 
bora uchaguzi upite tu....manake tunaanza kuwavua nguo wazazi wetu
 
Tumepiga sana kelele juu ya udhalilishaji mpaka tumechoka. Udhalilishaji hauna chama wala nini. Mtu anapodhalilishwa sharti tukemee na kuweka tofauti za kiitikadi pembeni. Kuwa na mitizamo tofauti hakutupi sbabu ya kuwadhalilisha wengine
 
Juliana Shonza Hongera sana kumbe kuna wakati una akili sana, ila kemea na zile kauli za Bulembo na Nape kumhusu Lowasa maana naye ni kama Mzazi wako
 
Last edited by a moderator:
Kwan uyo mmama alifanyaje anaejua anihadithie ata kiduchu, hiyo video
 
Kwani hiyo video ina maudhui gani?
ili tupate picha halisi...

Inaonyesha Mama yetu akinyosolewa tena Jamaa Anamnyoso kwa Mapozi. Kimtindo mtindo nahisi wanajuana coz kwa tendo alilolitenda yule jamaa na heshima ya yule mama either angepewa kipigo cha mwizi au polisi. Ila naona mama akaamua kumgusa na mic. Kama kweli kaamua kusamehe basi huyu mama ana roho ya huruma sana.

Nimeshtuka nimetaka mabadiliko. MAGUFULI 4 change. Kura kwa Magufuli Rais Mtarajiwa
 
Udhalilishaji umeuasisi wewe ulipotua rasmi CCM! Umesahau? Tumeshavumilia tumechoka sasa tutapambana!

Natoa onyo kali kwa FaizaFoxy na wahuni wenzake waache kuchezea utu na dini za watu! Tunawaangalia kwa umakini mkubwa sana na hilo walielewe! Hatutothubutu kuwaacha waendelee kudhalilisha utu wa mtu eti kwa sababu ya imani tofauti na itikadi tofauti! Tusije kulaumiana!!

Fuatilia kwanza kabla ya kutoa hukumu. Hao waliompiga finger bimkubwa ni vijana wenzetu wa Ukawa. Tuwalaumu hao sio hawa walipata nafasi ya ku exploit hiyo issue. Kama ni Adabu zianze kwanza kwetu bavicha. Tuache kutumika kwa vijisenti na Pia tuache kutumia Viroba.

Nimeshtuka kama first lady mtarajiwa na mnaemjua tunampiga finger vipi kwa hawa wakina mama wengine na dadazetu tusio wajua. Jibu pekee la KULINDA HESHMA NA UTU WA DADA NA MAMA ZETU NI SAMIHA SULUHU NA MAGUFULI.

I SAY VOTE FOR MAGUFULI VOTE FOR CCM.

LETS SAY NO TO WAPIGA FINGER AND SAY YES TO CCM.
 
Last edited by a moderator:
CCM baada ya kuona matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya Lowassa hazisaidii chochote, wakaona bora wamdhalilishe na mama Regina Lowassa.
Lakini yote yana mwisho hayo, tarehe 25/Oktoba tutaionyesha dunia kuwa wanyonge tumeamua kufanya Mabadiliko katika nchi yetu.

Kuwa na akili timamu nyie ndio mnaofanya Wote Ukawa tuonekane hatuna akili. Huo mkutano ulikuwa wa ukawa, Mpiga picha wa ukawa na aliyesambaza kapata wapi kama sio kwa watu wa chama chetu. Tuache kulaumu bila kuwa na akili

Huyo aliyempiga finger huyo mama anajulikana na ni mwanachama wa upinzani na humu kuna watu wanamtaja kama Mchungaji CCM hapo anaingia wapi? Au CCM ndio iliyompiga Finger BI MKubwa?
 
Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.

Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.

Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.

Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.

Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.

Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.

NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.

Kwa haraka haraka waweza kuiona nia "njema" ya mwandishi "kumhurumia" Mama Lowassa kwa "udhalilishaji" aliofanyiwa na hao wahuni. Kwa upande wa pili ni kulipa tukio hili a wider coverage hapa kuliko huko whatsapp lilikokuwa linasambaa kwa wachache! Sina hakika iwapo huruma ya dada ni genuine au ni machozi ya mamba.
 
Back
Top Bottom