Rais wa tozo kawa mjumbe mdogo USAMoja kwa moja kwenye mada.
Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.
Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.
JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.
Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.
Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.
Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Ww ni kichaa labda........Legacy ya Mwendazake kuita wazungu mabeberu na kupoteza watu ukijumlisha na uropokaji wa Tundu Lissu na Siasa za fujo za CDM zinashusha sifa na hadhi ya kidoplomasia nchi..
Na angekutana na Kamara Harriss angetamba hatari, believe me Kama angefata Democracy angekutana na Kamara ata na Angela Meker( sjui nimepatia spelling)Mwanzo alianza vizuri mana alikuwa na washauri wazuri akiwemo mzee wa Msoga,
Lakini zikaanza kelele za wafuasi wa Mwendazake kwamba nchi inaongozwa na awamu ya 4,Msoga akakaa pembeni bora yakwake yanamnyookea.Sasa mama anapuyanga hana mshauri wa Maana
Jiwe kaacha legacy ambay ni ngumu kufutika na alikuwa mwamba anayeishi ndani ya watu na sio ndani ya tozoWw ni kichaa labda........
Magu siku nyingi alishakufa
Legacy ya Magu ni nzuri sana.......Jiwe kaacha legacy ambay ni ngumu kufutika na alikuwa mwamba anayeishi ndani ya watu na sio ndani ya tozo
Dikteta ,acha ujuhaTrue
Kwani hao unawaita makahaba si watanzania. Neno kahaba si zuri kulitumia kwa watu ambao huwafahamu vizuri . Kukutana na watanzania wa ngazi mbali mbali ni dalili njema ambazo Rais wetu anazionyesha, anataka kujenga Tanzania ya watu wanaojiamini na kutumia nguvu ya hoja katika utawala wake.Nilishangaa kiongozi mkubwa wa machifu anapokelewa na genge la makahaba likiongozwa na mangekimavi
Kama siasa za CDM mbovu, kwa nini mlilazimisha wamama wao 19 kuingia bungeni?Legacy ya Mwendazake kuita wazungu mabeberu na kupoteza watu ukijumlisha na uropokaji wa Tundu Lissu na Siasa za fujo za CDM zinashusha sifa na hadhi ya kidoplomasia nchi..
Kila siku hao wadangaji wanatupia picha za uchi mitandaoni za matangazo ya biashara kama hujui kakojoe urareKwani hao unawaita makahaba si watanzania. Neno kahaba si zuri kulitumia kwa watu ambao huwafahamu vizuri . Kukutana na watanzania wa ngazi mbali mbali ni dalili njema ambazo Rais wetu anazionyesha, anataka kujenga Tanzania ya watu wanaojiamini na kutumia nguvu ya hoja katika utawala wake.
Hakuna kumuonea huruma na yeye Yuko nyuma ya hili refer interview with BBcNamuonea Huruma sana Mama angu mpenzi Nampenda sana huyu mama lkn ccm wenzake wanampelekesha ovyo sana hili kesi la mbowe litamtia gundu sana huko US au Europe kwa ujumla.
wee legeza tako dawa ikuingie, sindano isivunjike. Tulia mwanamke mwenzako akuongoze.Moja kwa moja kwenye mada.
Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.
Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.
JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.
Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.
Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.
Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
ItsNa angekutana na Kamara Harriss angetamba hatari, believe me Kama angefata Democracy angekutana na Kamara ata na Angela Meker( sjui nimepatia spelling)
Sasa h. Wanapokelewa na mange
Lakini watu fulani wasiofuga ndevu wakifanya ugaidi kwa wenye ndevu ana wasio na ndevu (US na Newsland) wao hawachorwi na Kingo kisa tunaambiwa ni wehu. Hii si sawa.