TTCL wagawe line bure watapata wateja
Kununua 2000 watu wanaona kero
Acha uongo mkuuSa ivi wanagawa bure,
Acha uongo mkuu
Mjanja ss kumbuka mjini ulikuja na kibegi cha Montana.TTCL ndio kitu gani?
This is an express world, hakuna brand kubwa yenye jina bovu au leeeeefu.Kimkakati zsidi. T inaweza kutafsiriwa vingine.Acha jina Ttcl lijitangaze masikioni. Ttcl pesa
Elimu ndogo maana yake nini? Tz hatuna wasomi?
Hao waliopo Tigo voda zsin wametoka wapi?
Hiyo ndio furssa ya ajira.
Negative minds zimewaharibu sanaWamekumbuka shuka alfajiri! Wamezidiwa coverage na Halotel, kampuni ya serikali lakini imelala sana labda JPM akiisukuma ingawa kuna watu baada ya miaka 10 wanaweza kuiua, Dawa yake ijisajiri kwenye DSE ili watu waimiliki kwa walau 35%
Kwa hiyo TTCL ikifilisika pia wa kulaumiwa ni JPM????Big up. Tutafika tu. Hongera JPM pamoja na wasaidizi waaminifu na waadilifu kwa serikali
Kweli mkuu.Tatizo la Zantel, mambo ya dini naona kama yanaendekezwa sana.
- Anyway TTCL PESA naona kama jina lefu, wangeita tu " T - PESA" !