TTCL waja na TTCL pesa, nawapongeza kwa hatua hii

Mzalendo39

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
578
1,000
Naiona nchi yangu Tanzania ikisonga mbele ni baada ya kampuni ya kampuni ya simu ya TTCL kuja na huduma ya kifedha

Hatua hii ni kubwa sana italifufua kampuni na kujilikana zaidi

Pia itafanikiwa kutoa ushindani kwa kampuni nyingine za mawasiliano

Hongera Rais Magufuli kwa uzalendo unaonyesha kwa kutanguliza maslah ya nchi kwanza

[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] kwanza# team mzalendo#
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,367
2,000

Wamekumbuka shuka alfajiri! Wamezidiwa coverage na Halotel, kampuni ya serikali lakini imelala sana labda JPM akiisukuma ingawa kuna watu baada ya miaka 10 wanaweza kuiua, Dawa yake ijisajiri kwenye DSE ili watu waimiliki kwa walau 35%
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
28,780

Waweke na huduma zingine kama za malipo ya bilinetc! Nitakuwa mteja wao, maana kwa sasa sina mbadala wa hawa waliopo wote wapigaji.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
12,744
2,000
Wamekumbuka shuka alfajiri! Wamezidiwa coverage na Halotel, kampuni ya serikali lakini imelala sana labda JPM akiisukuma ingawa kuna watu baada ya miaka 10 wanaweza kuiua, Dawa yake ijisajiri kwenye DSE ili watu waimiliki kwa walau 35%
No. Inatakiwa 51% iuzwe kwa umma ili iendeshwe full kibiashara bila stress za kisiasa pale watakapokuwa na full maamuzi yanayotegemea utashi tu wa viongozi
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
28,780
2,000
Wamekumbuka shuka alfajiri! Wamezidiwa coverage na Halotel, kampuni ya serikali lakini imelala sana labda JPM akiisukuma ingawa kuna watu baada ya miaka 10 wanaweza kuiua, Dawa yake ijisajiri kwenye DSE ili watu waimiliki kwa walau 35%
Wao ndo serikali, dawa wawe na huduma bora, wapige promo na wajiweke chini upande wa gharama za huduma kwa miaka kadhaa watasogea tu!!
 
paul c

Senior Member
Jan 20, 2015
122
225
bado hili shirika lina safari ndefu sana kuweza kuwa na ushindani thidi ya makampuni mengine kwa sababu kuu moja: wafanyakazi wake wengi wanaelimu ndogo na uelewa mdogo jambo ambalo linasababisha maendeleo yake kuwa na kasi ya kinyonga. mpaka watakapostaafu wote walioingia kufanya kazi kwa uzoefu na sio elimu hapo ndipo ttcl itafufuka rasmi.
 
jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
6,842
2,000
TTCL kuanza sio kufika, ila mnabidi mkimbie haswa! Twajuwa sababu zilikuwa kufanya kazi kwa mazoea na kutokuwa makini, ila mkimbie haswa, maana kila kitu mnacho, kazi kwenu..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom