Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,880
Jambo Zur Hili
Waiter Zungusha Tena
Waiter Zungusha Tena
Wajiite T-PESA (Kizazi cha T) ndio jina tamu kuliko TTCL PESANaiona nchi yangu Tanzania ikisonga mbele ni baada ya kampuni ya kampuni ya simu ya TTCL kuja na huduma ya kifedha
Hatua hii ni kubwa sana italifufua kampuni na kujilikana zaidi
Pia itafanikiwa kutoa ushindani kwa kampuni nyingine za mawasiliano
Hongera Rais Magufuli kwa uzalendo unaonyesha kwa kutanguliza maslah ya nchi kwanza
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] kwanza# team mzalendo#
WE MTU KUWA NA AIBU BASI MKUUTtcl nafasi kubwa nai zinazohitaji maamuzi yenye tija wapo watu ambao ni std seven.mna kazi kubwa sana maamuzi mengi ya kizee tu ndio yamejaa hapo
Dah Mkuu polePoleni sana msiokuwa na ufahamu wa Kutosha kuhusu TTCL..Right mgelijua hayo makampuni mmayoyasfia na kuiponda TTCL Yananunua huduma zake TTCL ndio mnauziwa nyinyi!!Kama aivyo ongekuwa imekufa.Tangu mmeanza kusema inakufa nileo!!!???Mnasahau viongozi wenu walioshika makampuni ya simu kwa kuwa ahare humo.Acheni ujinga nyie malimbukeni mnaolipwa kuitukana TTCL hameni nchi mbwa koko msio kuwa na mikia.Mtasubiri kuona inakufa
Mtashangaa mnakufa mnaiacha.Waulizeni hao Tigo ma Voda kuhusu hao mnosema wazeee. Wanjua mawasiliano ya ncji yetu kuliko hivyo vinyangalakata vyenu bya makampuni ya nje .Kama vipi jameni Tanzania tumewachokaaa
mkuu vipi imeshaanza kutumikaNaiona nchi yangu Tanzania ikisonga mbele ni baada ya kampuni ya kampuni ya simu ya TTCL kuja na huduma ya kifedha
Hatua hii ni kubwa sana italifufua kampuni na kujilikana zaidi
Pia itafanikiwa kutoa ushindani kwa kampuni nyingine za mawasiliano
Hongera Rais Magufuli kwa uzalendo unaonyesha kwa kutanguliza maslah ya nchi kwanza
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] kwanza# team mzalendo#
Magufuli ni mfanyakazi wa TTCL?Naiona nchi yangu Tanzania ikisonga mbele ni baada ya kampuni ya kampuni ya simu ya TTCL kuja na huduma ya kifedha
Hatua hii ni kubwa sana italifufua kampuni na kujilikana zaidi
Pia itafanikiwa kutoa ushindani kwa kampuni nyingine za mawasiliano
Hongera Rais Magufuli kwa uzalendo unaonyesha kwa kutanguliza maslah ya nchi kwanza
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] kwanza# team mzalendo#
Maxmalipo, Mpesa na Selcom unanunua vocha na kujiunga.Hawa wanataka kuleta shida.vocha tu hazipatikani wanataka kuleta mambo ya hela
Kupata line shs 2000 ...vocha ya kuongeza salio kuipata sasa utatembea maduka yote....wao wanadao ununue ya kurusha kutoka max malipo au selcomTTCL wagawe line bure watapata wateja
Kununua 2000 watu wanaona kero
Hakika umenena.Wakomae tu kwenye data, huko kwingine watafeli kama walivyofeli Zantel
Nilienda ofisini kwao ...nilikuta wamama ukiwauliza maswali hawajui hata kinachoendelea katika kampuni yao wapo kimazoea tuu....bila kuliunda upya shirika safari bado ndefu na ngumu!Bila kustaafisha wafanyakazi wote na kuanza na menejimenti mpya na wafanyakazi wapya, TTCL haiwezi kufika popote.
Hawawezi kuhimili ushindani wa kisasa kutoka katika makampuni binafsi ambayo yamewekeza sana katika menejimenti na rasilimali watu, kitu ambacho TTCL hawezi kumudu kutokana na muundo wao.