Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,501
- 6,201
Ni kipa wa timu ya soccer ya kwa mtogole,happy now?TTCL ndio kitu gani?
Ni kipa wa timu ya soccer ya kwa mtogole,happy now?TTCL ndio kitu gani?
Sasa na wewe sijui unashabikia nini, tunafahamu kuwa Ttcl ndio wanawahosti hii mitandao mingine wangebaki na hiyo kazi yote haya hayangekuwepo, shida hapa ni kuwa nao wameanza kuingia mtaani wanataka washindane na hao wadogo zake, sasa approach wanayokuja nayo kwenye market ni mbovu kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa biashara za kiushindani. hawa ttcl wangekuwa siriaz wangeteka hata soko la afrika mashariki, wenyewe wamebaki kuzunguka na viti na kupulizwa na viyoyozi ofisini wenzao wanapishana huku mitaaniPoleni sana msiokuwa na ufahamu wa Kutosha kuhusu TTCL..Right mgelijua hayo makampuni mmayoyasfia na kuiponda TTCL Yananunua huduma zake TTCL ndio mnauziwa nyinyi!!Kama aivyo ongekuwa imekufa.Tangu mmeanza kusema inakufa nileo!!!???Mnasahau viongozi wenu walioshika makampuni ya simu kwa kuwa ahare humo.Acheni ujinga nyie malimbukeni mnaolipwa kuitukana TTCL hameni nchi mbwa koko msio kuwa na mikia.Mtasubiri kuona inakufa
Mtashangaa mnakufa mnaiacha.Waulizeni hao Tigo ma Voda kuhusu hao mnosema wazeee. Wanjua mawasiliano ya ncji yetu kuliko hivyo vinyangalakata vyenu bya makampuni ya nje .Kama vipi jameni Tanzania tumewachokaaa
Wazo zuri sana. Unajua tena hizi nchi zetu watu wanaamiliwa mambo na wake zao. Hakuna utafiti hakuna ushauri. Biashara itumie jina linawloweza kukumbukwa na kutamkwa kwa urahisi na wateja. Sasa watu wa vijijini watakumbuka kweli mlolongo wote huo TTCL....?Wajiite T-PESA (Kizazi cha T) ndio jina tamu kuliko TTCL PESA
Line zao zinasoma kwenye simu yenye 3G na 4G pekee mkuu so kama uliweka kwenye simu ya 2G haitasomaHao nilisajili laini jumatano iliyopita mpaka leo haijafunguka
We bwana hebu kwenda weee ....Wamekumbuka shuka alfajiri! Wamezidiwa coverage na Halotel, kampuni ya serikali lakini imelala sana labda JPM akiisukuma ingawa kuna watu baada ya miaka 10 wanaweza kuiua, Dawa yake ijisajiri kwenye DSE ili watu waimiliki kwa walau 35%
Hongera TTCL,you can.Keep it up. Hivi tayari wana SIM cards?Naiona nchi yangu Tanzania ikisonga mbele ni baada ya kampuni ya kampuni ya simu ya TTCL kuja na huduma ya kifedha
Hatua hii ni kubwa sana italifufua kampuni na kujilikana zaidi
Pia itafanikiwa kutoa ushindani kwa kampuni nyingine za mawasiliano
Hongera Rais Magufuli kwa uzalendo unaonyesha kwa kutanguliza maslah ya nchi kwanza
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] kwanza# team mzalendo#
Naiona nchi yangu Tanzania ikisonga mbele ni baada ya kampuni ya kampuni ya simu ya TTCL kuja na huduma ya kifedha
Hatua hii ni kubwa sana italifufua kampuni na kujilikana zaidi
Pia itafanikiwa kutoa ushindani kwa kampuni nyingine za mawasiliano
Hongera Rais Magufuli kwa uzalendo unaonyesha kwa kutanguliza maslah ya nchi kwanza
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] kwanza# team mzalendo#
Hongera TTCL,you can.Keep it up. Hivi tayari wana SIM cards?[/QUOT
Mkuu ndio wanaSIMCARDS zinazotumia 3G/4G technology, mm ofisini natumia router ya 4G sio mchezo, iko vizuri. Nafikiri huduma ya TTCLPESA itawasaidia katika kusolve problem of vouchers availability.
Mtandao hauna hata wateja hapa dar es salaa halafu mnausifia mtakuwa mnakasoro uliousifia
Katika kampuni ambazo haziko siriaz na biashara hii nayo imo yani inafanya biashara kizamani mno, wenzao wanasambaza maflilensa mitaani wenyewe wamejifungia tu ofisini
Hii ndio point ya muhimu sana TTCL kampuni, asilimia kubwa ya wafanyakazi wamebebwa bebwa mule wangejaribu kupiga chini wazee wengi ambao ni body of directors ambao, awajui sokoni kunaitajika nini? Mfano mzuri sasa ivi makampuni yanapata faida kubwa sana katika DATA na MONEY TRANSACTIONS. Sasa sijajua awo wazee wana uelewa huo. Maana sector ya TTCL, TRA na BOT ni sector muhimu sana aziitaji ubinafsishaji ili kulinda nchi kutokana na wawekezaji wenye malengo mabaya kwa nchibado hili shirika lina safari ndefu sana kuweza kuwa na ushindani thidi ya makampuni mengine kwa sababu kuu moja: wafanyakazi wake wengi wanaelimu ndogo na uelewa mdogo jambo ambalo linasababisha maendeleo yake kuwa na kasi ya kinyonga. mpaka watakapostaafu wote walioingia kufanya kazi kwa uzoefu na sio elimu hapo ndipo ttcl itafufuka rasmi.