wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,939
Ni aibu kwa kampuni yenye mkongo wake kushindwa biashara ya bundle na kina halotelHii nafikir itatusaidia kidogo sisi wazee wa heavy usage hata kama mida sio mizuri.View attachment 497569
Ni aibu kwa kampuni yenye mkongo wake kushindwa biashara ya bundle na kina halotelHii nafikir itatusaidia kidogo sisi wazee wa heavy usage hata kama mida sio mizuri.View attachment 497569
Uko maeneo/Mkoa gani? Je hadi huku Kolomije itafika?4G LTE ya TTCL inatisha mimi natumia smart phone 3G na inapiga mzigo sio kawaida.......hawa jamaa ni wazalendo kiukweli
unaunganishaje hii mkuuAirtel wanayo pia kwa 600 GB 10 in 3 days
nenda tu kwa wakala wa karibu utapata line, nq zinakubali simu za kawaida kwa 3g na 4g ni band 1800Line zao zinapatikananaje wakuu??? na vipi zinaweza kutumika kwenye hizi smart foni zetu?
cc Chief-Mkwawa
Kolomije!Pembezoni wapi maana jamaa wamefunga 4g hadi kibaha
4G lteJaman laini zao tafadhali huo muda kwangu sio shida as long as bundle napata na kuna H+ or 3G
Inapatikana kwa bei gani mpendwa.Nashukuru kuwa na line ya ttcl ya chuo
Halotel wanatoa ngap mkuu, naomba na menu piaDah mida ya halotel hiyo japo imepungua jero... Hiyo mida yataka moyo kujilipua
Naomba menu mkuuAirtel wanayo pia kwa 600 GB 10 in 3 days
Inapatikanaje hi i mkuuAirtel wanayo pia kwa 600 GB 10 in 3 days