TTCL waja na toboa bando

TTCL waja na toboa bando

ttcl na watumiaji wake akili za kizee wote

watumiaji humu wanaulizwa line zinapatikana wapi na bei gani wako kimya.

je ni maeneo yote ama dar tu wako kimya

wenye mtandao nao hawana matangazo wala vipeperushi ...yaani bado wanaishi ki analog tu
 
Ukienda offisi yoyote ya mauzo ya ttcl utapata line tena fasta kwa shilingi 2000/=, tena hata ukitaka special namba inayoendana na line yako ya mtandao mwingine uliyonayo hapo hapo.
 
Tatizo line zao zina mashart sana ukiweka kwenye hizi smart hazifanyi Kazi hadi sijui ufanyeje
 
Line zapo zipo poa na mnala unasoma H+ popote pale ulipo,
Shida ni kwamba kwenye simu za smart phone mpaka uweke 3G ndio inasoma kinyume na hapo haikubali
 
Pembezoni wapi maana jamaa wamefunga 4g hadi kibaha
mkuu ninaishi mitaa ya chamazi dovya.....huku nimejaribu mitandao yote kuanzia tigo,airtel,vodacom bila mafanikio hadi pale nilipoanza kutumia halotel ndipo matatizo yalikwisha ndio maana nina mashaka na ttcl je nitaitapa 4G??

asante mkuu
 
Hapo mkuu ni kununua tu lain na kujionea mwenyew...huwez jua mana jamaa covarage yao wnaongeza kila siku
 
ttcl na watumiaji wake akili za kizee wote

watumiaji humu wanaulizwa line zinapatikana wapi na bei gani wako kimya.

je ni maeneo yote ama dar tu wako kimya

wenye mtandao nao hawana matangazo wala vipeperushi ...yaani bado wanaishi ki analog tu
Wanawaza kustaafu pesheni itakuwa Tshs ngapi?
 
nimeitumia jana hii toboa bando. iko poa sana, speed ya ajabu
 
TTCL hii ndo nafasi ya nyie kujitangaza sasa fanyeni makeke sijui wamelala wekeni matangazo kila kona watu wamependa huduma zenu.
 
744c14c3a86bd10dd0af35db357f82f5.jpg

Hawa Ttcl kweli wamejipqnga nilijiunga Jana kwa namna ya Ku test speed yao kwa upande wa night ila nilichokigundua jamaa wamewekeza na wanamaanisha kweli kutoa 4G mana aikushuka chini ya 1.5mb/s no buffer kwenye stream. Kiukweli shatumia 4G za wengine ila aikunivutia kama hii ukilinganisha na vifulushi vya usiku wengi wao huwa wanapunguza speed baada ya kufikia data usage flan ila kwa Ttcl tangu napata adi namalza ilinilzsha haswa .kiukweli tunahaja ya kuludi nyumbani tulipokuwepo siyo kwetu
 
Back
Top Bottom