dullynho
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 348
- 240
asubh tuLaini za chuo anazo? Japo sisi wengine sio wanachuo
asubh tuLaini za chuo anazo? Japo sisi wengine sio wanachuo
Hii nafikir itatusaidia kidogo sisi wazee wa heavy usage hata kama mida sio mizuri.View attachment 497569
Sijakusoma mkuuasubh tu
maanake ndioSijakusoma mkuu
Nipe namba zake, yupo eneo gan?maanake ndio
Ndo maana nalitafta hapa silioni..Naona wameiondoaaa
Itarudi soon.Wamezingua awajui tu...ata ile GB 1 kwa buku na yenyew wametoa
Buza sehemu gani?Tatizo la mtandao wa TTCL kuna baadhi ya maeneo network inasumbua hususan huku maeneo ya kwetu buza
Mpaka majogoo kitu hakijaisha tu.kwa speed yao ya 4G nkiunga hiki kifurushi mpaka inafika saa nane huwa kinakua kimeisha
Safi kabisaHiyo nzuri kwa sie wazee wa kudownload unaset tu queue, kisha unalala huku nyuma mambo yanajipa taratibu.