IT Guru
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 635
- 113
siku moja. usiku tuHiki kifurushi ni cha siku ngap mkuu?
siku moja. usiku tuHiki kifurushi ni cha siku ngap mkuu?
torrent ngani ni nzuri kwa movie?Muda si kikwazo na bei yao ni nzuri tu mana 4G ya Ttcl ni tamu haswa kulinganisha na Airtel japo siku 3 ila nawaama Airtel konokono speed siitaki tena, napanga torrent kisha asubuhi wakuta vitu vimejipa
Spesho for mapopoozni kwa usiku mmoja au vip
airtel unajingaje hiyoooAirtel wanayo pia kwa 600 GB 10 in 3 days
Hiyo ilikuwa zamani kwenye kifurushi cha night pack ila siku hizi ni 1GBairtel unajingaje hiyooo
Kwa apa Dar es salaam, vyuo vinavyouza izo line ni sehemu gani mfano apa chuo cha Udsm, sehemu gani? Wanauza izo lineNipo Dar
Kweli.laini yao nimeweka kwenye simu yangu ya tochi imekataa kusomaLine zapo zipo poa na mnala unasoma H+ popote pale ulipo,
Shida ni kwamba kwenye simu za smart phone mpaka uweke 3G ndio inasoma kinyume na hapo haikubali




Hawa jamaa ni mikojo mkojo unaafadhali. Yani kama kuna mfanyakazi wa airtel huku em aje PM anieleze kidogo tu kwanini wameamua kua mikojo kiasi hikiAirtel wanayo pia kwa 600 GB 10 in 3 days
upo maeneo gan? dar posta kijito nyama au nikupe #? jmaa wa ttcl?nawezaje kupata laini ya TTCL ??? wadau
Laini za chuo anazo? Japo sisi wengine sio wanachuoupo maeneo gan? dar posta kijito nyama au nikupe #? jmaa wa ttcl?