Zinauzwa kwa wanachuo tu au had watu wa kawaida?!2000
Nipo DarUpo mkoa gan
Hahaha, wamekua watamu wacha nitafute line yao fastaHii nafikir itatusaidia kidogo sisi wazee wa heavy usage hata kama mida sio mizuri.View attachment 497569
Kwani hichi kifurushi ni hadi uwe na line ya chuo?Nashukuru kuwa na line ya ttcl ya chuo
kwA chuo tu hiiAirtel wanayo pia kwa 600 GB 10 in 3 days