• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

TTCL hoi kwenye soko la mawasiliano nchini

The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,631
Points
2,000
The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,631 2,000
TTCL is a hopeless company.
Nina namba yao. Nina mpango wa kuitupa.Nilikuwa na ki-modem chao, nimeshakitupilia mbali huko.
 
Rene Jr.

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Messages
3,607
Points
2,000
Rene Jr.

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2014
3,607 2,000
Biashara ya simu za mkononi ni nyanya sana kwa TTCL, ndiye anayewawezeshea mawasiliano karibia wote uliowataja, Tanzania mpaka nchi jirani!
Hapa chini ni takwimu zilizotolewa na TCRA kuhusiana na mgawanyo wa soko miongoni mwa makampuni mbalimbali ya mawasiliano hapa nchini.

Wasiwasi ambao Watanzania wengi tunapaswa kuwa nao kutokana na takwimu hizi ni uwezekano kwa serikali hii kuzi "Fastjet"-isha Vodacom, Tigo, Airtel, nk ili TTCL ibaki peke yake kwenye soko.

Just like how Fastjet was made extinct in favour of ATCL.

Now a sobering question to you wananchi.... when you have a state-owned communication network as the sole provider, can anyone envision the plight of information sharing (internet, social media, etc) in the country in the near future, with October 2020 beckoning on the horizon?

View attachment 1294654
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
20,846
Points
2,000
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
20,846 2,000
TTCL iko vizuri mkuu, hiyo internet unayotumia kupost hapa iwe ni unatumia Vodacom, tigo, smart, Zantel au airtel jua tiari ushawalipa TTCL, unapoona wanatoa gawio usidhani ni hadithi.
We huwajui...
1. Market share 1% utasemaje wapo vizuri..??

2. Zamani backbone sites za makampuni mengine ilikuwa ni kupitia towers za TTCL... MFANO..pale Mkutanga AIRTEL walikuwa wanapitisha mawasiliano yao pale yakielelea Mtwara Lindi, Masasi na Tinduru. Mnara wa mkuranga ukizima tu, inamaanisha huko kote hawana mawasiliano... sasa kumpata mhandisi wa TTCL aje atatue tatizo, nayo ni down time nyingine... gari analo dereva..mafuta anasaini mtu wa logistic, then atafutwe mhandisi aliko apelekwe kutatua tatizo. Na usiombe iwe Wekend ndo balaa.... UKIRITIMBA... WENZAO MAGARI WALIKUWA NAYO WAHANDISI MAJUMBANI.. IKITOKEA ISHU ANACHOMOLA STRAIGHT KWENDA ENEO LA TUKIO

Hali hii ilipelekea wengine kuamua kuhama.. wakajenga towers zao na TTCL inakosa mapato makubwa yaliyotokana na wengine kutumia sites zao... ISHU NI UIKITIRIMBA.. kuanzia huko uhandisini mpaka malipo ya suppliers wao
 
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
11,141
Points
2,000
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
11,141 2,000
Tatizo la TTCL hakuna business plan, wanalamisha watumishi wa umma watumie laini zao ila mtaani siwaoni wakitafuta wateja

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanasema soko la kuanzisha kampuni ya simu ni gumu lakini mimi napinga. TTCL kama wangekuwa na uongozi wenye maono na juhudi wangewagagaza hawa kina Vodacom, Tigo etc vibaya sana. Nyingi za kampuni za simu tulizonazo zinaendesha huduma zake bila kujali malalamiko lukuki ya wateja. Inahitaji kampuni itakayokuwa inajali wateja na kuwapunguzia bei tu na hao wengine watalimia meno. Ila si ajabu ukakuta hata uongozi wa TTCL uko kwenye payroll ya haya makampuni mengine ili wasiifanye TTCL iinuke.
 

Forum statistics

Threads 1,402,661
Members 530,964
Posts 34,401,489
Top