TTCL 4G siyo ya Mchezo Mchezo...!!!!!

Niliunga kifurushi cha Ttcl Night pack juzi najuta kupoteza buku langu yani hata 2GB sikumaliza bora nibaki na halotel na Tigo yangu
 
Hiv 4G ya TTCL ipo nchi nzima au baadhi ya mikoa????
 
Coverage yao bado ndogo sana,mimi binafsi wameniboa...
 
Haibebeki au vipi maana leo uzi upo page ya saba ila bado sioni anayepost speed test result's za hiyo TTCL ili tujue kweli sio mchezo.
 
Tena kama mm natumia lain ya chuo buku gb1.2 kwa wiki,,,huko kama 3400 endeleen,nikiweka halotel ya 3000 naata GB 3.6 nadownloud series mwanzo mwsho
ila halotel shida yao ni mb siku hizi hazjkai
 
Haibebeki au vipi maana leo uzi upo page ya saba ila bado sioni anayepost speed test result's za hiyo TTCL ili tujue kweli sio mchezo.
Wanaisifia kwa maneno tu cheki mambo ya tigo 4g haya unadownload kitu cha mb 200 kwa dakika 1au 2
 
hapa ofisini iko ttcl 4g (niko posta) na inalipiwa 60000 per month lakini download speed imezidi sana labda 150kb/s (asubuhi sana au usiku)

otherwise ikishafika saa nne asubuhi inakata. ttcl hovyo sana huduma mbovu halafu bei juu
 
kama ni business package ni bei rahisi tu hio na decent speed. usifananishe mobile data na hizo zenye dedicated speed kwa ajili ya biashara.

sasa hivi TTCL wana speed nzuri kwenye 4G kama hamna issue za maana hapo ofisini kwenu hamieni huko.
 
bila shaka wewe ni mwajiriwa/mkereketwa wa TTCL, waambie waache mambo uchwara kama ya tigo watoe huduma nzuri kama wanavyoadvertise yani hata video conferencing inashindakana?

U-Bashite tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…