Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
Mkuu 'MCHINA' wangu ana:sio vyote ila wana coverage kubwa sana ya 3g, Tafuta simu yenye quad band za 3g halafu uiangalie kama ipo kwa kusearch network.
flagship zote za karibuni zina quadband, simu kama galaxy s2, s3, s4 mpaka s7, lumia zote etc usitumie simu za kichina nyingi hazina band za smart
Halotel huo.Mkuu 'MCHINA' wangu ana:
2G: GSM 850/900/1800/1900MHz
3G: WCDMA 850/1900/2100MHz
Vipi anasupport?
Nimejaribu kusearch kuna mtandao umeingia kama 64009 sijajua ni mtandao gani mkuu!
Hata dar kwenyewe wanazingua kwakwenda mbele,nimeshaitafuna line kama big g back to halotelTtcl wanazingua wapo dar tuu huku mikoani hamna network kabisaaa
sikumbuki vizuri ila ni 850 au 900mhz,Mkuu 'MCHINA' wangu ana:
2G: GSM 850/900/1800/1900MHz
3G: WCDMA 850/1900/2100MHz
Vipi anasupport?
Nimejaribu kusearch kuna mtandao umeingia kama 64009 sijajua ni mtandao gani mkuu!
Ok Sir.sikumbuki vizuri ila ni 850 au 900mhz,
halotel na smart wote network zao zinatokea kama namba, sometime smart inatokea kama tritel pia.
jaribu hio network na line ya halotel ikikataa ni ya smart, tafuta line ya smart upime speed kama ni nzuri enjoy unlimited internet kwa 20,000
Duh[emoji119] ...mwenye ya TTCL nae atuwekeeTigo 4g Iringa
Mhh hili ni tangazo gb 1 kwa 3400 huku halotel 1200 1.2gb
We uko wapi inasumbua??Labda huko
Mmmmmh! !!.sihami Tigo ng'oMimi huwa nanunua data pekee kwa TZS 3400 napata 1GB wiki nzima na pia Social Network zote ni bure!
Mkuu nijulishe jinsi ya kujiunga kifurushi hichi.Kwa hii bei naendelea kutumia VODA 2000 GB 3 Wiki nzima na spidi mwendo mdundo.
Hicho kifurushi cha upendeleo sio kila mteja atapata hapo ndo voda waliponiudhiiiiMkuu nijulishe jinsi ya kujiunga kifurushi hichi.
Kacharge simu yako mkuuDuh[emoji119] ...mwenye ya TTCL nae atuwekee
Hee unakijua unacho kisema hapa au ndy ugeni wa mitandao?halotel mpambanishe na 3g wenzake kama airtel anaekupa 2gb kwa buku (uni) hii ni 4g, mitandao ya 4g ni Tigo, voda, Ttcl, smart, smile na zantel (wanatumia net ya tigo)
Hahaha huyo jamaa kwenye hiyo fani anajua hadi anakera.....Hee unakijua unacho kisema hapa au ndy ugeni wa mitandao?
Tatizo vifurushi gharamaWakuu hali zenu!!!
Kwakweli nimekuwa nikitumia mitandao ya kampuni tofauti tofauti hasa kwenye maswala ya Internet lakini nimeonja radha ya TTCL 4G kwa DSM na ZNZ Mashallah jamaa wako vizuri saana kwakweli.
Naweza kustream video vyema kabisaa na hata zile short films za social network kama Instagram vids yaani zina flow kwa haraka zaidi.
Kwa hakika hawa jamaa wamejipanga vyema!!
Hongera kwao. Wajitahidi kasi hii iwe endelevu zaidi.