Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

Ijue nguvu ya buku...
Watu wanapambana kweli..
Your offer is exploitative, PERIOD!
Kwa kuchora vibonzo ni hela ya kawaida kabisa. Mana wachoraji wa kwenye magazeti ni waandishi wa habari pia. Hivi vidude Mimi naweza chora hata mia 4 kwa siku nkiwa Sina stress na idea n kama idea imeeleweka.

Mtoa Dili sijamuelewa mantiki yake, na kwa Dunia ya wachora vibonzo kama sisi hiki Cha kwakei ni skeleton tu.. nashindwa kumuelewa kakipendea nn? Na hapo nimepata ukakasi na kuona kwamba nitapata ugumu mkubwa kudeliver mchoro wenye quality itakaofit exactly na Content ZAKE.

So, kwa kulinda heshima ya jf naomba nikabidhi ili kwa vijana Wengine.
 
Back
Top Bottom