granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,885
- 11,384
Kula nondo hzo, mamaayeeeOooh ahsante kwa somo pia.
Kula nondo hzo, mamaayeeeOooh ahsante kwa somo pia.
Basi sawaaKula nondo hzo, mamaayeee
na watakapoanza kuchunguza familia yake kwa kashfa za ufisad ndo atachanganyika kabisaTrump anakiri makosa yake harafu Mmarekani wa vikindu anakataa kazi ipo..
Jamaa kasababisha gharama za kuishi Duniani kupanda kila kukicha vita harafu unashangaa wahuni wanampa sapoti ingawaje huko kwao kakataliwa atabadili sera zake mbovu ni kama Netanyahu nae huko kwake..na watakapoanza kuchunguza familia yake kwa kashfa za ufisad ndo atachanganyika kabisa
mpaka white house imechanganyikiwa, jana wemetweet "trump bado ni rais wenu" hii miaka 2 inaweza kuwa migumu sana kwa trump maana democrats wana hasira naye.Jamaa kasababisha gharama za kuishi Duniani kupanda kila kukicha vita harafu unashangaa wahuni wanampa sapoti ingawaje huko kwao kakataliwa atabadili sera zake mbovu ni kama Netanyahu nae huko kwake..
endelea kuwa mpole hvo hvo.Basi sawaa
Sawaendelea kuwa mpole hvo hvo.
Hili ni kosa kubwa,democracy ni kukubali kushindwa piaHiyo ndiyo demokrasia. Siyo wananchi wanakukataa halafu unaingiza majeshi yenye silaha mtaani kuua maelfu kwa maelfu.
Sema Trump kajichanganya Hapa Katikati, akirudia interview zake za nyuma atajiona kituko Sana, sasa hivi anapiga U turn za kutosha na kumlaumu Kila mtu...Yaani inaonekana kuna kundi lilimuingiza Chaka Hapa Katikati na yy akaingia mazima miguu yote.
Hizo ni siasa za kawaida Kwa wamarekani imekuwa hivyo miaka nenda rudi na zitaendelea hivyo miaka yote regardless ya sera za nje za marekani
Kwan Democrat ya kipindi cha Obama kwann ilipigwa chini?
View attachment 3704761
Washaanza kutafutana sasa.
Sizani kama mtoa mada anachokiandika hapa kama anakielewahivi gallon ni Lita ngapi vile
ZeSonic hii ndiyo mijadala anaitakaga, na anajua siasa za marekani kuliko wamarekani wenyewewameaanza kugeukana, huyu makamu anajulikana ni nyoka alikuwa anasubiri hiki kitokee ili aoshe uso wake apate nafasi kuwa mgombea wa uraisi
View attachment 3704857