Trump kwisha habari yake....

Trump kwisha habari yake....

Sio kawaida, mid term kuwa namna hio...
Ukweli ni kwamba Republican wameanguka ndani ya kipindi kifupi mno, Epstein gang na MAGA gang kazi wanayo, hio ni mvua ya rasharasha uchaguzi mkuu ujao ndipo itashuka El Nino...

Jaribu kufuatilia siasa za mashariki ya kati na US, kuna mabadiliko makubwa yanakwenda kufanyika hasa ya kisera, wananchi sasa hawataki habari za "Iran ni adui yetu" , "Iran ana nyuklia" , "Iran ni magaidi"...
Hizo propaganda za wanasiasa wa kizayuni nchi US sasa zimekosa nguvu... ni muda sasa Wazayuni kutafuta mbinu nyinginezo za kuipeleka US kwenye vita zisizo na kichwa wala miguu.....

And soon msaada unakwenda kukatika, hivi sasa imeanza mijadala ya kwanini US ipeleke billions of dollars kwenda Israel hali ya kuwa ndani ya US kuna matatizo mengi ya kushughulikia...

Wananchi hawataki tena siasa za u pro Israel...

Kuna mabadiliko makubwa ya kimfumo yanakwenda kutokea... wala usijipe moyo eti ni kawaida...
Ww utakuwa kitoto cha 2000 sio bure unachotakiwa kujua ni kwamba mgogoro wa Marekani na Iran haujaanza kipindi cha Trump pengine kipindi hata baba Yako alikuwa hajazaliwa
 
Wandugu Wananchi wa USA hawataki utani .
Wamemchoka Trump na Drama zake .
Alipoingia alikuta wananchi wake wakinunua mafuta dola 3 na sasa ni dola 6 kwa gallon.
Alidanganya Dunia kwamba akipata Uraisi angemaliza tatizo la Ukraine ndani ya masaa 24 ila kinachoendelea ni shidaaaaaaa.
Alikengeuka akamsikiliza Netanyahu kuvamia Iran bila yeye kuomba kibari cha bunge sasa kinachokwenda kufanyika watamkaanga kwenye vikao .
Yeye na yule msenge mwenzake netanyahu wamefanya maisha yamekuwa magumu duniani kote mafuta juu, gas ulaya shida na winter ndio inqingia ,wamarekani wenyewe hawataki kusikia kitu kinaitwa AIPAC, hadi wayahudi pia hawataki kusikia aipac na vita
KWa marekani 36% ya wayahudi ndio wamewapigia wagombea wanaosapotiwa na AIPAC
dunia imeanza kupona na kugundua ukweli ,wazungu sasahivi bora wampigie kura muarabu awaongoze kuliko kumpa mgombea anayesapotiwa na AIPAC
 
mgogoro ulikuwepo ila hakukuwa na vita, trump amekiri vita ya iran imemuqngusha na anajuta kumsikiliza netanyahu, juzi siku ya mwisho ya kupiga kura akaja na habari eti anasitisha msaada kwa israel, kitu ambacho hakikusaidia chochote kwenye kura ,wamarekani siyo wajinga,
Leo anafikiria eti kumfukuza kazi waziri wa vita, ila watu wanaona ni mbuzi wa kafara tu, waziri alikuwa anafuata order za raisi
Trump ile vita na iran ndio lilikuwa anguko lake ,kujinasua kashindwa akawa analeta story za uongo kila siku, iran akashikilia hapo hapo hadi israel na marekani kote regime changez zimetokea
 
Lioness mara ya mwisho record ya kura alizopata ilikuwa 1947
 
Attachments

  • f70855ff2ff008a7e6ee8f4305c33ba8.mp4
    7.8 MB
Ww utakuwa kitoto cha 2000 sio bure unachotakiwa kujua ni kwamba mgogoro wa Marekani na Iran haujaanza kipindi cha Trump.
Huelewi nini hapo mzee... hadi unaanza matusi...

Je gharama ya mafuta iliyopo sasa ndio Trump ameikuta?

Hukumsikia Obama kwenye kampeni za mid term pale Ohio, alifafanua vizuri sana chanzo cha gharama ya maisha kupanda na mafuta kuwa juu...

Mgogoro kati ya Iran na US hakuna anayekataa ni wa muda mrefu, lakini je marais wa nyuma wa US walikuwa wanakabiliana vipi? Ama wanatatua vipi?

Netanyahu kamuingiza Trump kubaya, Netanyahu alishawahi kumshawishi Obama walivamia Iran kijeshi, Obama alikataa... Akamshawishi Biden naye alikataa...

Huyu MAGA gang kaja kuingia cha kike... Sasa yanamtokea puani....

Vita ya Iran ndio imepelekea machafuko Ulaya, ndio imepelekea Netanyahu kafeli kupita kuwa PM, ndio imepelekea Republican kuanguka vibaya....
Msimumunye maneno, hilo hata Trump kakiri....
 
Miaka 2 hii anaweza kubadilisha hali, na baadae akashinda kwa kishindo. Japo mie sio Republican, mie ni Democrats.
Hana akili hizo ndio maana hata kwenye kampeni ndio kazidi kujiaharibia, alisema he doesnt care kama fuel prices are up, as lonh as he is making money, yule jamaa ni mgonjwa na mnaguzi, hao jews wa marekani hawataki hata kumuona
Sasa anaweza kusimama kwa hoja na obama? Tuanzie hapo
 
Trump hawezi simama kubishana kwa hoja hata na Kamala tu, ila ndio hivyo Dunia inamtaka mtu km yeye.
Lol
 
Ww utakuwa kitoto cha 2000 sio bure unachotakiwa kujua ni kwamba mgogoro wa Marekani na Iran haujaanza kipindi cha Trump pengine kipindi hata baba Yako alikuwa hajazaliwa
Haya trump kakubali vita ya iran imewaangusha
 
Attachments

  • Screenshot_20261104_231522_Instagram.jpg
    Screenshot_20261104_231522_Instagram.jpg
    185 KB · Views: 2
Miaka 2 hii anaweza kubadilisha hali, na baadae akashinda kwa kishindo. Japo mie sio Republican, mie ni Democrats.
Kubadilisha hali inabidi Iran wafungue Hormuz.

Ili Iran ifungue Hormuz kuna option mbili.
1. US watumie nyuklia.
2.Wafanye mazungumzo.

Kwenye kutumia nyuklia hio vita itakuwa WW3.
Na US kufanya mazungumzo inabidi wakubali Iran iendelee na project yake ya nyuklia, Iran imekataa katakata katika mazungumzo ya aina yeyote kuhusisha mazungumzo ya nyuklia.

Israel nayo haitokubali US wafanye makubaliano na Iran, US kukubali mazungumzo inabidi kufuata matakwa ya Iran kitu ambacho kwa US ni kuonekana imepiga magoti kwa Iran.

Hapo umeelewa Trump yupo katika wakati mgumu kiasi gani...

Ukweli ni kwamba mafuta yataendelea kupanda zaidi iwapo Iran ikiendelea na misimamo yake.

Trump achague moja, awabwage mabwana zake wa kizayuni kwa kufuata matakwa ya Iran, ama aendelee na vita na Iran ambayo itazidi kuumiza uchumi wa US... atachagua asuke ama anyoe...
 
Oooh ahsante kwa somo pia.
 
Ww utakuwa kitoto cha 2000 sio bure unachotakiwa kujua ni kwamba mgogoro wa Marekani na Iran haujaanza kipindi cha Trump pengine kipindi hata baba Yako alikuwa hajazaliwa
Wananchi wa USA hawataki kusikia sera za vita ya Iran ndio iwe maisha yao jamaa yupo sahihi mhenga hauna taarifa unarukia kutukana hadi wazazi kisa uchaguzi wa USA daah..
 
mgogoro ulikuwepo ila hakukuwa na vita, trump amekiri vita ya iran imemuqngusha na anajuta kumsikiliza netanyahu, juzi siku ya mwisho ya kupiga kura akaja na habari eti anasitisha msaada kwa israel, kitu ambacho hakikusaidia chochote kwenye kura ,wamarekani siyo wajinga,
Leo anafikiria eti kumfukuza kazi waziri wa vita, ila watu wanaona ni mbuzi wa kafara tu, waziri alikuwa anafuata order za raisi
Trump ile vita na iran ndio lilikuwa anguko lake ,kujinasua kashindwa akawa analeta story za uongo kila siku, iran akashikilia hapo hapo hadi israel na marekani kote regime changez zimetokea
Trump anakiri makosa yake harafu Mmarekani wa vikindu anakataa kazi ipo..
 
Yeye na yule msenge mwenzake netanyahu wamefanya maisha yamekuwa magumu duniani kote mafuta juu, gas ulaya shida na winter ndio inqingia ,wamarekani wenyewe hawataki kusikia kitu kinaitwa AIPAC, hadi wayahudi pia hawataki kusikia aipac na vita
KWa marekani 36% ya wayahudi ndio wamewapigia wagombea wanaosapotiwa na AIPAC
dunia imeanza kupona na kugundua ukweli ,wazungu sasahivi bora wampigie kura muarabu awaongoze kuliko kumpa mgombea anayesapotiwa na AIPAC
Iran nimeionyooshea mikono...

Nahisi Iran kuna kikundi flani cha watu ambacho hatukufahamu, ambapo wao ndio watoa maamuzi, nawaza pia hawa watu hawaonekani na pengine hawajulikani..

Maana kete wanazosukuma aisee ni za moto mno... maana jamaa hawana papara, kila kete wanayogusa inaingia kingi...

Imagine wameuawawa viongozi ambao tulijua ndio vichwa haswa, lakini bado kete zinazosukumwa ni za moto kuliko hata mwanzoni...

Iran kwa wakati mmoja imefanya political warfare, economic warfare hapohapo wakapigana information warfare achana na vita ya makombora na silaha... yaani gharama ya maisha US imepanda, wakati huohuo Trump kapoteza ushawishi na chama chake kinaanguka, wakati huo huo wananchi wamefahamu ukweli kwamba mchawi si Iran bali ni Israel... wakati huo huo Netanyahu kushindwa kuwa PM na hakubaliki kama awali...

Hao Waajemi ni nyoko... hivyo vichwa ni hatari sana...
 
Back
Top Bottom