Trump aipiga mkwara Greenland (Denmark) na NATO kuhusu vita ya Iran. Iran yasema safari hii itailinda NATO

Comment yako imetawaliwa na chuki ya wazi kabisa dhidi ya Iran,sometimes ushabiki wa kijinga unaweza kumfanya mtu kuonekana kua ni mjinga,

Umeongelea kulinda viongozi,Iran wameongelea kulinda nchi,

Hao US nao wangekua wanajilinda kwa asilimia mia wangepigwa na lile tukio la 9/11 ?

Unajua ni marais wangapi wa US waliuawa? Unajua kua Trump alikosa kuuawa na risasa ikampata kwenye sikio?

Kuhusu chuki hilo nakuachia wewe.
Sina maslahi yoyote kwa pande zote mbili. Iwe ni Marekani au Iran. So sioni sababu ya kumpenda au kumchukia yeyote.

Kwangu apigwe yoyote ashinde yoyote haina maana yoyote kwangu. Zaidi nikitaka nitengeneze maslahi nitatamani vita iendelee ili wanyoroshane vizuri mpaka waheshimiane.

Kuhusu Iran kulinda Nchi nyingine hizo ni porojo.
Baada ya hii vita utajua kwamba Iran kama anashindwa kujilinda mwenyewe atawezaje kulinda nchi nyingine.

Kuhusu kuuliwa kwa Marais wa Marekani nilisikia na kusoma soma lakini haijawahi kutokea mataifa hayo Safu za viongozi wa juu karibia wote kufyekwa kama Kuku na ndani ya Siku 14 tuu.

Kijeshi na kiintelejensia ukiona nchi viongozi wa juu karibu robo tatu inawezekana kuuliwa ndani ya Siku Saba za mwanzo WA vita ujue hapo hiyo nchi haina ulinzi wowote.
 
Bado unarudi kule kule,vita havijadiliwi kwa ushabiki kama vile unashabikia ligi ya Uingereza,unakijua kilichomkimbiza US kule Afghamistan,Vietnam na Somalia? Aliweza kulinda hizonchi?

Nimekwambia toka mwanzo kua kuna tofauti kati ya kulinda viongozi na kulinda nchi,viongozi wa Iran hawajifichi kwenye mashimo kama Panya,

Kwenye vita kila nchi ina prioriry zake na mipango yake,
Je baada ya US kuua viongozi,nini kimebadilika? Kila jambo hupimwa kwa faida zake,Iran ameleta madhara ya kiuchumi kwa Dunia nzima na hicho ndicho kinachompa pressure Trump,kuua viongozi sio solution wala sio ushindi,

Bado una safari ndefu sana ya kujifunza haya mambo kama tu utaweka ushabiki uchwara pembeni.
 
Sijaipata hoja yako.
Kwamba Iran ndio ililinda hizo nchi au hoja yako ni ipi kwenye mfano uliotoa?

Viongozi wa Iran hawajifichi?
Hivi unajua Rais au kiongozi mkuu analindwa kuliko kitu au mtu yeyote ndani ya nchi au taifa husika?

Mkuu labda hujui kiusalama na kijeshi matokeo ya kuwaua viongozi wakuu hasa wale waanzilishi.
Baada ya hii vita utagundua Baba sio mtoto. Na mtoto sio Baba.

Unapoua viongozi wakuu kuna madhara makubwa kimedani. Kuliko kupiga majengo au kulipua visima vya mafuta au nyuklia.

Usije ukategemea Iran kubaki vile ilivyo baada ya viongozi wake wakuu na waanzilishi wa Dola la kiislam la Iran kuuawa katika vita hivi.

Na wala huu sio ushabiki bali ndio uhalisia wenyewe WA mambo na maisha.
Baba sio mtoto
 
Hujajibu hata swali moja kati ya maswali niliyouliza,badala ya kujibu unaleta ramli za future tense,eti "Usije ukategemea" Hamas waliuawa viongozi wao,nini kimebadilika so far? Hizbullah aliuawa kiingozi wao,nini kilibadilika? Iran inaongozwa na system na sio individual,elewa hilo kwanza.
 
System imejengwa na viongozi. Huwezi iondoa system bila kuangamiza viongozi walioijenga. Ndicho anachokifanya Marekani

Hamas na hivyo vikundi vingine nguvu Yao kubwa ipo Iran. Kama vile Israel nguvu yake ipo Marekani.

So Iran ikidondoka hivyo vikundi ulivyotaja vitajifia vyenyewe.
 
System ni muongozo uliojengwa na viongozi,so hao viongozi wawe hai au wasiwe hai,system ndio inayoongoza nchi,kwani hao viongozi waiouawa wangeishi milele? Iran akifa kiongozi mmoja anakamata kiongozi mwingine.

Narudia tena,Iran kama nchi haiongozwi na individual kwa utashi wake.

Iran haiwezi kudondoka kisa kiongozi kuuawa,system itabaki pale pale,hata US alijidanganya kua kumuua Ayatullah ndio angekua amemaliza kila kitu.
 
System inadondoka kwa sababu mbalimbali.
Moja ya sababu kuu ni Kufa au kuondoka kwa viongozi waanzilishi.

Kumuua Ayatollah na wakuu wenzake ni moja ya mkakati Bora WA kuangusha Dola la Iran.
Usitegemee warithi watakaokuwepo kuwa kama Version ya kwanza. Ni mawili wawe juu ya watangulizi au waende chini ya Watangulizi. Mara nyingi ni ngumu uongozi mpya kuwa na msimamo thabiti wa muda mrefu kama uongozi uliotangulia.

Hapo ndio ushindi wa Marekani ulipo.
 
Endelea tu kuota hizo ndoto,utasubiri sana.
 
Niaje waungwana

Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani.

Hapo chini ni vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama na NATO 👇

Trump: If NATO and EUROPE can't stop Iranian missiles strikes on Israel, we will take Greenland from EUROPE.

Iran: If EUROPE and NATO can't protect Greenland, just call us. We will protect very well Greenland from Donald Trump.

Baada ya majibu hayo ya Iran, Trump ameonekana kunywea 🤣🤣🤣
Trump ni moumbavu sana 🤣🤣

Wlishaonywa na wanajeshi wazoefu, security advisor wenye uzoefu. Akaishia kuwafukuza

Ona sasa
 
Bado unarudi kule kule,vita havijadiliwi kwa ushabiki kama vile unashabikia ligi ya Uingereza,unakijua kilichomkimbiza US kule Afghamistan,Vietnam na Somalia? Aliweza kulinda hizonchi?

Nimekwambia toka mwanzo kua kuna tofauti kati ya kulinda viongozi na kulinda nchi,viongozi wa Iran hawajifichi kwenye mashimo kama Panya,

Kwenye vita kila nchi ina prioriry zake na mipango yake,
Je baada ya US kuua viongozi,nini kimebadilika? Kila jambo hupimwa kwa faida zake,Iran ameleta madhara ya kiuchumi kwa Dunia nzima na hicho ndicho kinachompa pressure Trump,kuua viongozi sio solution wala sio ushindi,

Bado una safari ndefu sana ya kujifunza haya mambo kama tu utaweka ushabiki uchwara pembeni.
Aisee... 😂😂😂
 
Sijaipata hoja yako.
Kwamba Iran ndio ililinda hizo nchi au hoja yako ni ipi kwenye mfano uliotoa?

Viongozi wa Iran hawajifichi?
Hivi unajua Rais au kiongozi mkuu analindwa kuliko kitu au mtu yeyote ndani ya nchi au taifa husika?

Mkuu labda hujui kiusalama na kijeshi matokeo ya kuwaua viongozi wakuu hasa wale waanzilishi.
Baada ya hii vita utagundua Baba sio mtoto. Na mtoto sio Baba.

Unapoua viongozi wakuu kuna madhara makubwa kimedani. Kuliko kupiga majengo au kulipua visima vya mafuta au nyuklia.

Usije ukategemea Iran kubaki vile ilivyo baada ya viongozi wake wakuu na waanzilishi wa Dola la kiislam la Iran kuuawa katika vita hivi.

Na wala huu sio ushabiki bali ndio uhalisia wenyewe WA mambo na maisha.
Baba sio mtoto
Kazi kweli kweli wakuu. Mimi hoja zenu nazipenda, na hakuna hata moja ninayoipinga 😂
 
Trump ni moumbavu sana 🤣🤣

Wlishaonywa na wanajeshi wazoefu, security advisor wenye uzoefu. Akaishia kuwafukuza

Ona sasa
Ameingia maji yenye kina kirefu na kutoka anashindwa 🤣🤣
 
Marekani wanajuta kumuweka joti ikulu. Huyu mzee alitakiwa awezeshwe ili angalau afikie nafasi ya Mr Bean. Lakini sio kumpa nchi mchekeshaji, inawa cost pakubwa.
Kama ilivyo kwa yule ngedere huko yukrein wali mtoa kutoka kwenye fani yake ya uchekeshaji wakampa madaraka ya kuongoza nchi mwisho yukrain inawaka moto na ardhi ina megwa kwa ajili ya mjinfa mjinga comedian 😆 😄
 
Unajua Marais wangapi wa USA wameuwawa wakiwa madarakani ndani ya USA iyo iyo!!??

matendo ya kigaidi kuwauwa viongozi ufanywa na waoga zaifu zaifu kijesh!!
Umeona Russia imeuwa kiongozi yoyote wa kisiasa. ??

Ukiwa na nguvu!!

huna sababu ya kumtafuta mwasiasa🤠

MAJESHya Russia yapo ndani ya Ukraine hakuna wa kuyatoa!!

nguvuuu ni vitendo sio kubahatisha!!!

Sio kuvizia Wanasiasa eti pengine Kunatokea Mapinduzi🤠🤠

Akili za zaifu
unazungumzia Russia ipi?
 
Back
Top Bottom