Trump aipiga mkwara Greenland (Denmark) na NATO kuhusu vita ya Iran. Iran yasema safari hii itailinda NATO

Mkuu ushindi wa vita huwa hauwamliwi hivyo bali huwa una amliwa na kutimiza malengo yaliyo kupeleka vitani.
Mfano Marekani aliuwa watu zaidi ya milion1 nchi Vietnam na Marekani ilipoteza watu elfu 50 tu lakini historia imeandikwa kuwa Marekani alishindwa vita dhidi ya Vietnam.

Upo Sawa lakini kumbuka hapa Tunazungumzia Marekani akiwa na mazayuni
 
Jasiri huwa hajifichi kwenye banker mkuu. Bali hum face adui yake face to face ili kumuonesha uwezo wake na nguvu zake.

Kama Yesu angejificha kwenye banker kuwahofia maadui zake na kifo chake kama Netanyahu na wahuni wenzie 🤣🤣🤣 leo hii ni nani angesema amepata ukombozi kupitia kifo chake!
Yesu kufa msalabani ndio 😂😂😂😂
 
Kwa sasa ukikamatwa unaifanyia ujasusi Israel au Marekani, basi watakurudisha Israel kupitia adhabu hii 🤣🤣🤣🤣
FB_IMG_1774205593733.jpg
 
Baada ya Viongozi wa Irani kuuliwa nilijua wazi kazi imeisha na soon Iran ita- Surrender lakini kinachitokea hadi sasa bado sijapata jibu hawa watu mfumo wao wa uongozi upoje?
Halafu bila shaka hawana uchu na madaraka na pia linapokuja swala la kitaifa wanakuwa na umoja zaidi kuliko wakati wowote ule kitu ambacho hata US na Israeli hawakukifanyia ujasusi na hawaani wanachokiona.

Trump anakili wazi kuwa Iran kwa sasa haina kiongozi maana viongozi wa Iran wamawaua na sasa hakuna kiongozi wa kufanya nao mazungumzo.

Kifupi Trump haelewi afanye nini na aanzie wapi maana vitisho vyake Iran haitishiki kabisa hata kidogo.
 
Upo Sawa lakini kumbuka hapa Tunazungumzia Marekani akiwa na mazayuni
Suala la uwepo wa mzayuni hakubadilishi tafsiri ya ushindi wa vita.
Kama malengo yao yaliyo wapeleka vitani hayaja timia ni wanakuwa wameshindwa vita bila kujali upande wa pili umepoteza vingapi.
Na sidhani kama kuna nchi inayo anzisha vita kwa ajili ya kwenda kuuwa wanasiasa na viongozi wa kijeshi.
 
Baada ya Viongozi wa Irani kuuliwa nilijua wazi kazi imeisha na soon Iran ita- Surrender lakini kinachitokea hadi sasa bado sijapata jibu hawa watu mfumo wao wa uongozi upoje?
Halafu bila shaka hawana uchu na madaraka na pia linapokuja swala la kitaifa wanakuwa na umoja zaidi kuliko wakati wowote ule kitu ambacho hata US na Israeli hawakukifanyia ujasusi na hawaani wanachokiona.

Trump anakili wazi kuwa Iran kwa sasa haina kiongozi maana viongozi wa Iran wamawaua na sasa hakuna kiongozi wa kufanya nao mazungumzo.

Kifupi Trump haelewi afanye nini na aanzie wapi maana vitisho vyake Iran haitishiki kabisa hata kidogo.
Mfumo wa Iran ni bora, na nimeshauelezea vizuri kule juu kwa comment namba 7.

Kuhusu kauli ya Trump kuwa hakuna kiongozi wa Iran wa kufanya nae mazungumzo baada ya viongozi kufa, ni uongo. Mfumo wa Iran ni wa kata mti, panda miti. Hivyo akifa kiongozi, anachaguliwa kiongozi kwa mujibu wa katiba yao.

Na viongozi hao ndio wanaotoa order kila siku, kwamba jeshi lishambulie wapi, lishambulie nini, lini, na nchi gani.

Trump anashindwa kuongea ukweli kwamba kwa hali iliyopo huko Israel, na falme za kiarabu sasa hivi, plus gharama kubwa za vita zinazowagharimu mabilioni ya dola kila week anatamani kuacha kuendelea na vita.

Ila sasa masharti ya Iran ya kusitisha, au kuacha kabisa vita na Marekani - Israel ni magumu kutekelezeka.
 
Suala la uwepo wa mzayuni hakubadilishi tafsiri ya ushindi wa vita.
Kama malengo yao yaliyo wapeleka vitani hayaja timia ni wanakuwa wameshindwa vita bila kujali upande wa pili umepoteza vingapi.
Na sidhani kama kuna nchi inayo anzisha vita kwa ajili ya kwenda kuuwa wanasiasa na viongozi wa kijeshi.
Kukimbilia kuuwa viongozi bila kufanikisha malengo ya uanzishwaji wa vita, ni dalili za uoga na uviziaji usiokuwa na tija.
 
Vita hivi vinavituko Sana.

Iran ishindwe kulllinda viongozi wake wanaouliwa kama mende ati alinde nchi nyingine😂😂😂
Comment yako imetawaliwa na chuki ya wazi kabisa dhidi ya Iran,sometimes ushabiki wa kijinga unaweza kumfanya mtu kuonekana kua ni mjinga,

Umeongelea kulinda viongozi,Iran wameongelea kulinda nchi,

Hao US nao wangekua wanajilinda kwa asilimia mia wangepigwa na lile tukio la 9/11 ?

Unajua ni marais wangapi wa US waliuawa? Unajua kua Trump alikosa kuuawa na risasa ikampata kwenye sikio?
 
Vita hivi vinavituko Sana.

Iran ishindwe kulllinda viongozi wake wanaouliwa kama mende ati alinde nchi nyingine😂😂😂
Kuuwa kiongozi haifanyinushinde vita, ndio maana unaona anayehangaika kutaka vita iishe ni marekani na israel sio muiran, leo trump kasema kaongea na iran kwamba wapo kwenye mazungumzo ya vita kuisha, wiki iliyopita alisema iran hana uwezo wa kurusha makombora ,wameyaharibu yote
Vita siyo kama movie za hollywood, kinu cha dimona watu wameharibu huko
 
Umeongelea kulinda viongozi,Iran wameongelea kulinda nchi,
Naam hakika ume comment kisomi zaidi 🤝
Hao US nao wangekua wanajilinda kwa asilimia mia wangepigwa na lile tukio la 9/11 ?

Unajua ni marais wangapi wa US waliuawa? Unajua kua Trump alikosa kuuawa na risasa ikampata kwenye sikio?
Watu wenye hoja nzuri na za maana kama wewe ni wachache san hapa JF
 
Kuuwa kiongozi haifanyinushinde vita, ndio maana unaona anayehangaika kutaka vita iishe ni marekani na israel sio muiran, leo trump kasema kaongea na iran kwamba wapo kwenye mazungumzo ya vita kuisha, wiki iliyopita alisema iran hana uwezo wa kurusha makombora ,wameyaharibu yote
Vita siyo kama movie za hollywood, kinu cha dimona watu wameharibu huko
Hahaha leo Trump anasema wapo kwenye mazungumzo na viongozi wa Iran ili kumaliza vita. Siku chache zilizopita alidai Iran haina kiongozi wa kufanya nae mazungumzo, eti wote wamekufa.

Huyu mzee wamchunguze, huenda ni teja wa kimya kimya.
 
Back
Top Bottom