Jasiri huwa hajifichi kwenye banker mkuu. Bali hum face adui yake face to face ili kumuonesha uwezo wake na nguvu zake.Vita hivi vinavituko Sana.
Iran ishindwe kulllinda viongozi wake wanaouliwa kama mende ati alinde nchi nyingineπππ
Jasiri huwa hajifichi kwenye banker. Bali hum face adui yake face to face ili kumuonesha uwezo wake na nguvu zake.
Kama Yesu angejificha kwenye banker kama Netanyahu na wahuni wenzie π€£π€£π€£ leo hii ni nani angesema amepata ukombozi kupitia kifo chake!
Style ya Iran inaitwa kata mti panda miti π€£π€£π€£ππππ
Wewe wasapuze hao. Mwisho wa vita tutakuja kudai hesabu na mshindi
Daa Dunia inakimbia sana Iranian inasimama na NATO π€ π€ π€ π€Niaje waungwana
Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani.
Hapo chini na vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama na NATO π
Trump: If NATO and EUROPE can't stop Iran, we will take Greenland from EUROPE.
Iran: If EUROPE and NATO can't protect Greenland, just call us. We will protect very well Greenland from Donald Trump.
Baada ya majibu hayo ya Iran, Trump ameonekana kunywea π€£π€£π€£
Vita hivi vinavituko Sana.
Iran ishindwe kulllinda viongozi wake wanaouliwa kama mende ati alinde nchi nyingineπππ
Umeandika comment yako vizuri sana π€Unajua Marais wangapi wa USA wameuwawa wakiwa madarakani ndani ya USA iyo iyo!!??
matendo ya kigaidi kuwauwa viongozi ufanywa na waoga zaifu zaifu kijesh!!
Umeona Russia imeuwa kiongozi yoyote wa kisiasa. ??
Ukiwa na nguvu!!
huna sababu ya kumtafuta mwasiasaπ€
MAJESHya Russia yapo ndani ya Ukraine hakuna wa kuyatoa!!
nguvuuu ni vitendo sio kubahatisha!!!
Sio kuvizia Wanasiasa eti pengine Kunatokea Mapinduziπ€ π€
Akili za zaifu
ZaifuβUnajua Marais wangapi wa USA wameuwawa wakiwa madarakani ndani ya USA iyo iyo!!??
matendo ya kigaidi kuwauwa viongozi ufanywa na waoga zaifu zaifu kijesh!!
Umeona Russia imeuwa kiongozi yoyote wa kisiasa. ??
Ukiwa na nguvu!!
huna sababu ya kumtafuta mwasiasaπ€
MAJESHya Russia yapo ndani ya Ukraine hakuna wa kuyatoa!!
nguvuuu ni vitendo sio kubahatisha!!!
Sio kuvizia Wanasiasa eti pengine Kunatokea Mapinduziπ€ π€
Akili za zaifu
π€£π€£Daa Dunia inakimbia sana Iranian inasimama na NATO π€ π€ π€ π€
NATOπ€£π€£
π Wote na ObamaNATO
Imeonyesha ukomavu Jo Biden atakua anachekea Chopin
Chanzo cha habari hii ni wapi?Niaje waungwana
Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani.
Hapo chini na vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama na NATO π
Trump: If NATO and EUROPE can't stop Iran, we will take Greenland from EUROPE.
Iran: If EUROPE and NATO can't protect Greenland, just call us. We will protect very well Greenland from Donald Trump.
Baada ya majibu hayo ya Iran, Trump ameonekana kunywea π€£π€£π€£
Mkuu ushindi wa vita huwa hauwamliwi hivyo bali huwa una amliwa na kutimiza malengo yaliyo kupeleka vitani.ππππ
Wewe wasapuze hao. Mwisho wa vita tutakuja kudai hesabu na mshindi