Trump aionya Iran itarajie mambo mabaya kuipata isipokubali mazungumzo kusitisha mpango wake kutengeneza silaha za nyuklia

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,188
Reaction score
9,165
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached​

14 hours ago
Share
US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025.
US president Donald Trump warned Iran on Friday that “bad, bad things” would happen if Tehran did not agree to a nuclear deal, a day after Iran declined to have direct talks under his stepped-up sanctions.

“My big preference ... is we work it out with Iran. But if we don't work it out, bad, bad things are going to happen to Iran,” Trump told reporters in the Oval Office.

This is what Trump said he conveyed in his letter to Iran's supreme leader Ali Khamenei last week.

Tehran confirmed on Wednesday that a response to the letter had been sent via Oman.

"Our policy remains not to engage in direct negotiations under maximum pressure and military threats. However, indirect negotiations as existed in the past can continue," foreign minister Abbas Araghchi said.

Iran denies seeking a nuclear weapon but the UN's nuclear watchdog says it has enriched more uranium than any state lacking a bomb. While Washington assesses Tehran is not actively building one, it doubts Iranian intentions.

Trump last month reinstated the "maximum pressure" campaign of sanctions on Iran from his first term, with the stated aim of driving its oil sales to zero.
 
Uzuri Iran atalipiza pale pale karibu, Marekani ana vingi vya kupoteza kuliko Israel.
Marekani ameuhusu Israel kufanya yake kisha yeye amlinde na yafuatayo.
Marekani akifanya basi pale ME bases hazitakalika maana zote hazina AD
 
Hatari sana...

Mzee Trump aliiondoa nchi yake kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran yaliyofikiwa enzi za Obama ila ameshindwa kabisa kupata makubaliano mapya
 
Trump alikulupuka sana kuvunja makubaliano yale la nyuklia, ambapo zilifanyika jitihada nyingi sana zilizopelekea mpaka kufikia makubaliano hayo na irani. Ambapo makubaliano hayo yalikua yanasaidia kuvi monitor vinu vya nyuklia vyote vya irani sio tu kile cha natanz hata cha fordow. Na alivyokua mjinga akataka iran ingie nae kwenye makubaliano mapya ya kipumbavu ambayo yatahusisha kukaguliwa kwa siraha zote za kijeshi za irani, hapo ndipo serikali ya irani ikamwona ni kituko.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached​

14 hours ago
Share
US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025.
US president Donald Trump warned Iran on Friday that “bad, bad things” would happen if Tehran did not agree to a nuclear deal, a day after Iran declined to have direct talks under his stepped-up sanctions.

“My big preference ... is we work it out with Iran. But if we don't work it out, bad, bad things are going to happen to Iran,” Trump told reporters in the Oval Office.

This is what Trump said he conveyed in his letter to Iran's supreme leader Ali Khamenei last week.

Tehran confirmed on Wednesday that a response to the letter had been sent via Oman.

"Our policy remains not to engage in direct negotiations under maximum pressure and military threats. However, indirect negotiations as existed in the past can continue," foreign minister Abbas Araghchi said.

Iran denies seeking a nuclear weapon but the UN's nuclear watchdog says it has enriched more uranium than any state lacking a bomb. While Washington assesses Tehran is not actively building one, it doubts Iranian intentions.

Trump last month reinstated the "maximum pressure" campaign of sanctions on Iran from his first term, with the stated aim of driving its oil sales to zero.
Mazungumzo huwa yanalazimishwa
 
Aliabiwa na wazayuni wenzake usa ijitoea ili iweze kuiwekea vikwazo vitakavyoifanya iran kuwa dhaifu ili wakitaka kuishambulia iwe kama iraq au syria badala yake iran ikawa inakuwa ndo kinachowatesa wazayuni
 
Hata Sadam hussein alikuwa na haki ya kujilinda dhidi ya vitisho vya Marekani.
Sadam hussein na Iraq sio hii irani, maana sadam hussein alikua ananunua siraha zote kwa nchi za magharibi hasa ufaransa, ulitegemea niny?
Hii irani sio ya mchezo kumbuka alivyokua anazidaka ndege za kijasusi za USA.

kumbuka alivyopiga kambi za kijeshi za marekani kumbuka yupo kwenye vikwazo vya kiuchumi zaidi ya miaka 40.
ila still yupo imara na bado siraha zake za kijeshi zote zinatengenezwa na wanasayansi wa ndani kwa asilimia 99% hiyo asilimia moja ndio anaagiza nje hivyo usimlinganishe irani na vitu vya kipumbavu.
 
Silaha za maangamizi za Iraq zilizozua vita vya ghuba zilikuwa zinatengenezwa na taifa gani?
 
Uzuri Iran atalipiza pale pale karibu, Marekani ana vingi vya kupoteza kuliko Israel.
Marekani ameuhusu Israel kufanya yake kisha yeye amlinde na yafuatayo.
Marekani akifanya basi pale ME bases hazitakalika maana zote hazina AD
Iran hawatopiga karibu tu
 
Attachments

  • Screenshot_2025-03-29-15-28-18-499.jpg
    Screenshot_2025-03-29-15-28-18-499.jpg
    310.7 KB · Views: 22
Sadam hussein na Iraq sio hii irani, maana sadam hussein alikua ananunua siraha zote kwa nchi za magharibi hasa ufaransa, ulitegemea niny?
Hii irani sio ya mchezo kumbuka alivyokua anazidaka ndege za kijasusi za USA.

kumbuka alivyopiga kambi za kijeshi za marekani kumbuka yupo kwenye vikwazo vya kiuchumi zaidi ya miaka 40.
ila still yupo imara na bado siraha zake za kijeshi zote zinatengenezwa na wanasayansi wa ndani kwa asilimia 99% hiyo asilimia moja ndio anaagiza nje hivyo usimlinganishe irani na vitu vya kipumbavu.
Hii ni mikwala tu
 
Back
Top Bottom