Trump aacha wosia endapo atauliwa na Iran

Trump aacha wosia endapo atauliwa na Iran

Iran hawana hiyo nia ya kumuua Trump. Na wanajua consequences za kumuua au kufanya hilo jaribio. Trump kama kufa atauwawa na Israel ili wapate visingizio vya Marekani kuishambulia Iran.
Secret service wataruhusu Rais mwingine auwawe miaka mingi baada ya JFK ?..... hiyo pia ni too risky kwa Israel...labda iwe inside job japo ni ngumu sana kwa US..
 
Mjinga Hawez kuongoza USA.
Haya, ww ambaye una akili unaongoza nn
USA kitu gani, Genghis Khan aliongoza Mongol Empire na ujinga wake ukasababisha anguko la Mongol Empire!

Napoleon Bonaparte pamoja na kuwa kuwa mwamba kwelikweli, lakini kila mtu anajua alikuwa mjinga kushindwa kujua kuwa kuishambulia Russia ndio anguko lake lilipo.

Trump ni nani mbele ya hao miamba wawili mpaka useme hawezi kuwa mjinga?

Trump ni mjinga, na ujinga wake ndio unamfanya aende kuingia vitani na Iran!
 
Siku ambayo Irani itathubutu kumuua Trump ndio siku ambayo Dunia itaandika historia ya nzito dhidi ya Irani , nasisitiza ndio siku ambayo hatasalia muiranj hata mmoja kwenye USO wa Dunia.
Lakini nimesikia kuwa Marekani anawapenda sana Wairan, na moja kati ya sababu ya Marekani kutaka kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Iran ni kuwasaidia wananchi wa Iran kupindua utawala wa Ayatollah.

Itakuwaje sasa?
 
Siku ambayo Irani itathubutu kumuua Trump ndio siku ambayo Dunia itaandika historia ya nzito dhidi ya Irani , nasisitiza ndio siku ambayo hatasalia muiranj hata mmoja kwenye USO wa Dunia.
Akiuliwa ataapishwa rais mwingine na atatoa amri tofauti
 
Huyu dingi sio mzima huko X anaongeaga ujinga ujinga mwingine TU, Ayatollah kampa direction Leo atamreset Hilo wenge
Hackers wa Iran wame hack Siri inayofichwa ya Trump akivitafuna vitoto vidogo kwa mpango wa Jeffrey
Sasa Iran anasema nipige niachie video
 

Attachments

  • IMG_1986.jpeg
    IMG_1986.jpeg
    264.1 KB · Views: 13
Back
Top Bottom